Mbu
JF-Expert Member
- Jan 11, 2007
- 12,752
- 7,876
Sasa Babu si tujue pa kuanzia?? We unawezanithaminisha Laki mbili ukaona umenithaminisha wakati mwenzio Mbu yu tayari kutoa milioni huoni kama utakuwa unajidhihirishia kuwa hujalea vema mjukuu wako? na kuwa Mbu ndiye anayeijua vema thamani ya mjukuu kuliko Babu? ngoja atupe ceiling!
ha ha ha, huyu babu yako anakufundisha ku bargain eeh? ha ha ha...
mahari haimalizwi malipo yake,...kila siku ni ku top-up mpaka kifo kitapotutenganisha.
Nyie wawili hapo juu..... msifikiri nimeondoka........... am watching!
...LOL!...Kibabu kimepandishia matofali kinapiga chabo,...utaporomoka ukose hip replacement!