TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 31,185
- 18,201
Loh kumbe topic haijafungwa? Mie nilidhani Teamo Ti alitoa hitimisho. Nisamehe Babu mpenzi
...........aisee!!!:A S 114:
Loh kumbe topic haijafungwa? Mie nilidhani Teamo Ti alitoa hitimisho. Nisamehe Babu mpenzi
...........aisee!!!:A S 114:
Kagoma hujaona hicho kikatuni chake?Vipi mate? Umestuka au umeteleza?
Wanamwonea babu wivu.... maskini hawajui babi ni joka la Kibisa? Halina meno na haling'ati......... unalichezea utakavyo.Ehee nawe limekufika lipi?? ...mwe humu ndani watu waonevu !!
Mgomo wa nini sasa? Mjukuu hawezi kuwa mpenzi wa babu yake? LOLKagoma hujaona hicho kikatuni chake?
Wanamwonea babu wivu.... maskini hawajui babi ni joka la Kibisa? Halina meno na haling'ati......... unalichezea utakavyo.
Nashangaaaaa!Mgomo wa nini sasa? Mjukuu hawezi kuwa mpenzi wa babu yake? LOL
Mbona hiyo iko wazi! babu na mjukuu wake ni wapenziWanamwonea babu wivu.... maskini hawajui babi ni joka la Kibisa? Halina meno na haling'ati......... unalichezea utakavyo.
Mgomo wa nini sasa? Mjukuu hawezi kuwa mpenzi wa babu yake? LOL
Mbona hiyo iko wazi! babu na mjukuu wake ni wapenzi
Njoo lichezee mama, ila usijisahau siku 21 meno yanaota tena.....usijepata ajali
Babu anakuwaga na mjukuu anaempenda the most huyo ndio anabanana nae hadi akiolewa anakuwa na wivuKumbukumbu zangu zinaonyesha hata wewe ni mjukuu wangu, si eti mpenzi?
Kumbukumbu zangu zinaonyesha hata wewe ni mjukuu wangu, si eti mpenzi?
Babu anakuwaga na mjukuu anaempenda the most huyo ndio anabanana nae hadi akiolewa anakuwa na wivu
Ambaye ndio huyu hapa chini au?Babu anakuwaga na mjukuu anaempenda the most huyo ndio anabanana nae hadi akiolewa anakuwa na wivu
............Hahahahah Babu kumbe naye ni mmoja wa wasahaulifu!! Gaga tusioneane wivu bana sote wajukuu wa Babu, sote wapenzi wa Babu
Ndio manake MJ1Unamaanisha Mjukuu kipenzi? Loh kumbe!!
Kweli kabisa si umeona cheko hiloAmbaye ndio huyu hapa chini au?
Nimekubali babu lakini kwa shingo upandeMbona hujampigia makofi?.......basi wewe utakuwa mjukuu mteule...sema NIMEKUBALI BABU
Second selection babu, jealous!!!Yaani umekubali kuwa mpenzi wa babu kwa shingo upande? Astaghafirulillah!