Ulikuwa wapi siku zote...? Eh...?!

Ulikuwa wapi siku zote...? Eh...?!

hakuna kulog out hapa hadi tusikie yes i will marry you

tena ngoja nikachukue na kabia kangu kabisaaaa, Mbu, take this song from demis roussus and you will deffo have a good moment

YouTube - ‪Shania Twain - From This Moment On‬‏

acha tutumie 4WD kabla kale kababu hakajaamka. kanajifanya wajukuu zake wote lakini nashangaa ukiingia anga za nazjaz wala hakasumbui lakini ukiingiia anga za MJ1 kanakuja na mikwala kuliko serikali ya saudia.
 
aaah swahiba... hebu cheki video hiyo mtoto anavyong'aa... cant wait to hear this from MJ
YouTube - ‪Shania Twain - From This Moment On‬‏

Hahaha so nami nianze kudream kuwa ......From this moment, as long as I live..........hahahahah MTM!! am surprised unavyoni'sukumiza' wallah!!

mimi ndio lawyer wa Mbu, huyo soulmate unaemuongelea mbona hayuko kwenye file zangu?, sema Yes bana! kuna mdada hapa pembeni yangu anasubiri "Yes" tu alembee vigelegele hewani. hakyababu uswahilini kuna wambeya! khaaa!

......................Unandanganya kitoto wakati Mbu kaja tutambia hapa, signature ikabadilishwa yaani akawa new Mbu....na kutupatia ideas za romantic places.....afu wasema kwa file yako hayuko!!

Huyo anayesubiria kumwaga kigelegele huyo nahisi ni nyamayao.......mwe mbona mwaka huu wangu??
Nauliza hivi kikombe cha Samunge kinaponya na Bahati??!!
 
Mbona napata hisia kuwa haki yangu inabakwa hapa??........sijui nimwamshe Babu?! lol.
Afu Klorokwini its not fair ujue.....................

Mbu nikikataa proposal itamaanisha sikupendi?? lol leo ninalo

LOL!...ni sawa na kunikataa mbele ya kasisi,...
(Thereza- Jerry Nashon 'Dudumizi')

kibwagizo
♫ Hiyo pete yangu usiirudishe ni uthibitisho Wa penzi langu kwako ♫
 
Uwii Mbu utani pembeni naomba Lyrics za huu wimbo loh yaani naupendaje??
 
...mnh, Klorokwini ile flash disk yenye code names MJ aka Liberian Girl ndiye huyo huyo Soulmate!
basi tu anataka niuvunje mwiko hapa ni propose mara ya pili...!
Nimekutoa huko kwenye fungate uje u sign papers hapa, vumilia tu...kama ilivyokuwa Lunar Eclipse majuzi...!

Fungate lenyewe hela imeanza kuisha, mrembo anaagiza tu! namimi najifanya control tower officer staki nionekane nimefulia! hakyababu alovumbua mapenzi katutenda! khaa!

Tukirudi kwenye offu topik yetu ya uchumba, mimi nadhani MJ1 kuna pwenti anaimiss hapa. Mimi mtu mzima nimeelewa lile file hewa la soulmate lilikuwa na maana gani!
 
..........An early lunch?? For a YES to Mbu's proposal?

Give me another reason please....other than making you have an earl lunch!!

Mbu have you given up darling??

....WOW,....i felt shivers down my spine na butterflies tumboni! Klorokwini na MTM wazee wenzaangu tayarisheni champagne...jibu linakuja..

...naomba kwa uthibitisho utamke mara tatu kama wadhungu, ile YES! YES YES!...
chap chap basi kabla ASPIRIN hajaamka, ...nilipaka Chloroform kwenye
hankerfchief yake...'kajidunga mwenyewe!' ...akirudi hapa akute karamu ishaliwa!
 
...mnh, Klorokwini ile flash disk yenye code names MJ aka Liberian Girl ndiye huyo huyo Soulmate!
basi tu anataka niuvunje mwiko hapa ni propose mara ya pili...!
Nimekutoa huko kwenye fungate uje u sign papers hapa, vumilia tu...kama ilivyokuwa Lunar Eclipse majuzi...!

Hapa sijakuelewa......Thibitisha!!

Klorokwini............isije kuwa watafuta urafiki na Mbu ili akuachie utibu Malaria sugu! (Dah huyu Babu naye sijui kulala gani huku arrgh)
 
....WOW,....i felt shivers down my spine na butterflies tumboni! Klorokwini na MTM wazee wenzaangu tayarisheni champagne...jibu linakuja..

...naomba kwa uthibitisho utamke mara tatu kama wadhungu, ile YES! YES YES!...
chap chap basi kabla ASPIRIN hajaamka, ...nilipaka Chloroform kwenye
hankerfchief yake...'kajidunga mwenyewe!' ...akirudi hapa akute karamu ishaliwa!

Hahahha haya .................Wow the ring........its beautyful!!.....am speechless donno what to say!!
 
LOL!...ni sawa na kunikataa mbele ya kasisi,...
(Thereza- Jerry Nashon 'Dudumizi')

kibwagizo
♫ Hiyo pete yangu usiirudishe ni uthibitisho Wa penzi langu kwako ♫

aaahhhh theresa... dudumizi alitesa mazee, hapa momba, hapa jerry

naijuliza kila mara na kujuta moyoni
ni penzi gani analokupa huyoo
ukachanganyikiwa na kuisahau sura yangu
siku ya harusii

xxxxxxxxxxxxxxxxxxx
 
....WOW,....i felt shivers down my spine na butterflies tumboni! Klorokwini na MTM wazee wenzaangu tayarisheni champagne...jibu linakuja..

...naomba kwa uthibitisho utamke mara tatu kama wadhungu, ile YES! YES YES!...
chap chap basi kabla ASPIRIN hajaamka, ...nilipaka Chloroform kwenye
hankerfchief yake...'kajidunga mwenyewe!' ...akirudi hapa akute karamu ishaliwa!

Mkuu i am all set and on my way to buy teh best champagne around, will deffo be the floor manager and on that day i will perform a surprise piece of a song

search for bryan white (country singer) and listen to trees of heart.... will do that one for you guys
 
Fungate lenyewe hela imeanza kuisha, mrembo anaagiza tu! namimi najifanya control tower officer staki nionekane nimefulia! hakyababu alovumbua mapenzi katutenda! khaa!

Tukirudi kwenye offu topik yetu ya uchumba, mimi nadhani MJ1 kuna pwenti anaimiss hapa. Mimi mtu mzima nimeelewa lile file hewa la soulmate lilikuwa na maana gani!

hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.... hilo fungate balaa, tunaita paka kala mbwa
 
Nyie wapambe, before I say yes to Mbu's fakisicious proposal I need him (he might be a She......this is s blind date haha) to answer me if;

  • He will be willing to help with housework, cooking, cleaning, lawn care, and other chores? lol
  • Hw will be willing to start a family with me and raise 9 children in a way that is agreeable to us both? (Am an African woman you know and giving birth is one of my proud factors;
  • Will he be willing to become a part of my family, including my siblings and parents, and may I become a part of his?
  • Will he be willing to foot the financial obligations of our lives, including debts, buying a home, paying for educations, and other expenses?
  • Will you be willing to work out our difficulties and compromise for both our sakes? bila kuhusisha washkaji??
  • Will he be wlling to grow old with me for many anniversaries? (while keeping his nyumba ndogos away from my knowledge and suspections?)
  • Will he assure me that our love will survive the hazards of a long term, changing relationship?
Answers to these questions will suffice (Mh mie naye.........Babu ashanambia sijakua, mbona natekenyeka??)
Mbu will you be willing to take care of me, love me and give me mapenzi yote incase Babu akinitema?? lol
 
love is spontaneous
love doesnt sk why
love no conditions
love no checklist

aisee...:A S 114:
 
  • Thanks
Reactions: Mbu

...mnh, kumbe wajua kupangilia wedding vows eeh?...
ila hilo la 9 kids wote twins au? mnh ...wewe sio panya bana, utachuja!

9kids*(9months *18yrs each!) =
black_couple.jpg
 
aaahhhh theresa... dudumizi alitesa mazee, hapa momba, hapa jerry

naijuliza kila mara na kujuta moyoni
ni penzi gani analokupa huyoo
ukachanganyikiwa na kuisahau sura yangu
siku ya harusii

xxxxxxxxxxxxxxxxxxx

Jamaaaniiii!!
Najiuliza kila mara na kujuta moyoniii
Ni penzi gani analokupa huyoooo
Ni dawa gani aliyokunyweshaaaa
ukachanganyikiwa na kuisahau sure yangu siku ya arusiiiX2

................Sweeetiiie nio nguo gani unavaa weweeee
................chakula gani unakula mamaaaa
................Basi sema raha ipi unatakaaaa
...............Ili nieleweee, niupoze moyo waaangu..

Najiuliza kila mara na kujuta moyoni eh.....dah

Achenii jamani hivi hawa walikuwa wapi siku zote??
 
Thx Luv, ring ni alama tu ya uthibitisho, ...haizidi thamani na uzuri wako.
Jamani vigele gele...!

She said YES!!!!!!...

Poor me nilisahau kuwa kiswahili cha Haya ni YES kwa kiinglish!!

MTM, FT na Klorokwini natamka rasmi........Oh my gosh, oh my gosh, oh my gosh........yehs, yes, yes.......yes Mbu I will marry you if my Babu gives us a permission.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom