Ulikutana wapi na mwandani wako?

Swali lako kama halikueleweka?! unamaanisha the most current mwandani au kwa wenye ndoa- mwenzi wake, au wanao-date bado -the semi-permanent. Maana humu jamvini yaelekea ni cheatings tu mwanzo mwisho!
 
Nilikutana nae Steers K'nyama - na tulimatch kabisa, lakini sasa hivi najuta kumfahamu... maana ya kwangu haikuwa happy ending.
 
Vyovyote vile, si lazima muwe mmeshafunga ndoa, hata kama unadate tu unaweza kumwaga data zako hapa cha muhimu awe ni yule anaye exist sasa..tuendelee
 
Dah pole sana mkuu nenda kapime afya yako ujilizishe kwanza

Yupo "Fit" Mzee, si unajua "used" ni bora zadi kuliko "genuine!"...

Sijapima lakini sasa tuna "two kids" na wote wametoka mswano hajazuiliwa kunyonyesha hata mmoja!...vipimo vya wengi tuliooa nowdayz ni kupitia akina "mamsapu" akiwa na ujauzito na kilinki akipewa "green light" kuwa yupo "negative" na wewe kama hukufanya utundu kwa kitambo, una feel upo salama pia, Japo mh!....
 
Mimi wala sijapata mwandani wangu mwaya.

Wakaka wenyewe siku hizi wala hawasemi ukweli na wala si waaminifu.
 
Du mimi nilikutana nae wakati tukinyakua na kutembea kwa mwendo wa ndege kuelekea usawa wa gudulia!.
 
Mimi wala sijapata mwandani wangu mwaya.

Wakaka wenyewe siku hizi wala hawasemi ukweli na wala si waaminifu.

Big Lady afadhali umeweka jambo hili wazi, vumilia kidogo watajitokeza wengi tu very soon tena kutoka humuhumu JF, kuna vijana wapo shapu humu usipime kabisa.,wewe utaona tu jinsi applications zinavyomiminika through PM's.
 
Wangu nilikutana naye mtandaoni. Najuuuuuuuuuuuuuuuta kumfahamu.

No inquiries are welcome.
 
Nilikutana nae Steers K'nyama - na tulimatch kabisa, lakini sasa hivi najuta kumfahamu... maana ya kwangu haikuwa happy ending.

Pole sana labda safari ijayo itakuwa na happy ending.
 
lol......

mimi nilikwenda kwa mganga wa kienyeji kusafishwa mikosi.......
nikamkuta pale kwao.baba yake ndo mganga mwenyewe....

acha tu .ngoja niishie hapa.......

eh! ha ha ha ha ha Endelea Boss mbona unaishia mahali ambapo story ndiyo inaanza kunoga.
 
Na mara nyingi nikienda maeneo ya UDSM huwa naukumbuka sana ule mti maarufu pale wa "mdegree" katika vimbweta vya pale ndipo nilipotolea proporsal ilikuwa mida ya usiku hivi na hall 5 na 6 ndipo palikuwa "matrimonial home"

Mti ule una history nyingi sana za wengi waliofanikiwa kupita pale.
 
Back
Top Bottom