Ulikutana wapi na mwandani wako? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ulikutana wapi na mwandani wako?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by M-bongotz, Jan 29, 2010.

 1. M-bongotz

  M-bongotz JF-Expert Member

  #1
  Jan 29, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,732
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Kila mtu ana kumbukumbu ya mahali au mazingira yaliyomkutanisha na mwandani/honey/mahabuba/mpenzi n.k wake wa sasa., mfano mie nakumbuka kilichotuunganisha ni "madesa" kwa wale waliopitia mazingira ya UDSM watakuwa wanaelewa vizuri hili, nilibahatika kuwa na madesa mengi kiasi basi huyu mpz wangu akatengeneza ukaribu na mimi ili nae aweze kubenefit kwa njia hiyo..basi madesa yakawa madesa mpaka uchumba na hadi sasa tupo pamoja.

  Hebu wadau na nyie mwageni xperiece zenu hapa jamvini tufurahike pamoja.,ni vizuri sana kukumbukia ya kale.
   
 2. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #2
  Jan 29, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,347
  Likes Received: 22,199
  Trophy Points: 280
  Kwenye daladala la mwenge posta
   
 3. A

  Akili Kichwani JF-Expert Member

  #3
  Jan 29, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,504
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  mi sijaoa lakini kna demu mmoja nimezaa nae,

  nilkutana nae njiani nkiwa na kadi ya harusi ya mwalimu wangu iliyokuwa ikifanyika siku hiyohiyo jioni pale NSSF waterfront. sasa kadi ilikuwa ya mr&mrs, nilipompigia mpenzi wangu tutoke nae, akasema hana muda muda siku hiyo, ndo nikaamua kutafuta mwingine chapchap. nilipokutana na huyu maeneo ya sayansi k/nyama nikamwomba anisaidie shida yangu, kwa vile alikuwa hanijui nilimbembeleza sana na alikubali, alinisindikiza na mawasiliano yakakolea, siku chache zilizofuata alisaula tukamega tunda na muda si muda alipata ujauzito akanizalia mtoto ninayeendelea kunjali na kumtunza kwa moyo na uwezo wangu wote hadi leo.

  sikumuoa kwa sababu viwaango vyake havikutosha
   
 4. Regia Mtema

  Regia Mtema R I P

  #4
  Jan 29, 2010
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 2,974
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  Duu..hatari lakini salama.Utabaki hivyo hivyo bila kuoa.
   
 5. Tambara Bovu

  Tambara Bovu JF-Expert Member

  #5
  Jan 29, 2010
  Joined: Dec 19, 2007
  Messages: 586
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Mimi nilikutana naye kazini kwangu...
   
 6. Regia Mtema

  Regia Mtema R I P

  #6
  Jan 29, 2010
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 2,974
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  Nilifahamiana naye humu JF
   
 7. A

  Akili Kichwani JF-Expert Member

  #7
  Jan 29, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,504
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  duh, mkuu, zisije zikawa dua hizo!!!!!! lakini i am enjoyng my wolrd na kama kwenye ndoa ndo kuna hayo ya kusachiwa simu, bora nicheleweshe kidogo nsije nkaua mtu bure na mwanagu hajamaliza shule!
   
 8. A

  Akili Kichwani JF-Expert Member

  #8
  Jan 29, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,504
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  nakushauri uondoe hii post, mabachelor watavamia humu kusaka wachmba aiseee, kumbe wanapatikana, hata mimi sasa nitaanza kutafuta humu serious!!!!!!!!!!
   
 9. Konakali

  Konakali JF-Expert Member

  #9
  Jan 29, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145

  Je, alikuwa na uzoefu kwa kiasi gani?

  Mimi nilikutana naye mbali kidogo, lakini tulipata kusoma shule zilizombali kidogo. Hivyo ilinichukua muda bila kumwona tena, na mara tulipokutana tena, ghafla kila mmoja anmwaga machozi, na kuanzia hapo ni hadi leo.
   
 10. Nsiande

  Nsiande JF-Expert Member

  #10
  Jan 29, 2010
  Joined: Jul 27, 2009
  Messages: 1,649
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  mimi nilikutana naye in my first job, na yeye ilikuwa his first job.. i thank God todate for this man i call my husband...8 years on we still cherish that place...eeh mgodi wa dhahabu wa bulyanhulu wakati unaanzishwa.
   
 11. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #11
  Jan 29, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Duh! Hili nalo jambo. Mi chuo-mambo ya kusoma pamoja si unajua tena
   
 12. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #12
  Jan 29, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,652
  Likes Received: 35,412
  Trophy Points: 280
  Mimi nilikutana naye Jolly club
   
 13. Jayfour_King

  Jayfour_King JF-Expert Member

  #13
  Jan 29, 2010
  Joined: Nov 15, 2009
  Messages: 1,142
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Nanyi mkaanzisha wa kwenu vizuri sana, congratulations.
   
 14. Anyisile Obheli

  Anyisile Obheli JF-Expert Member

  #14
  Jan 29, 2010
  Joined: Dec 13, 2009
  Messages: 3,304
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  inaonesha serikali yako kichwani mwako ni ya kifisadi 100% wewe, nina mashaka hujitambui
   
 15. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #15
  Jan 29, 2010
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  Adabu yako ndogo sana mdogo wangu.mungu akuepushe na adhabu ya dharau zako..
   
 16. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #16
  Jan 29, 2010
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  mi nilikutana naye T-Garden Bar pale Sinza
   
 17. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #17
  Jan 29, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  hueleweki
   
 18. M-bongotz

  M-bongotz JF-Expert Member

  #18
  Jan 29, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,732
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Na mara nyingi nikienda maeneo ya UDSM huwa naukumbuka sana ule mti maarufu pale wa "mdegree" katika vimbweta vya pale ndipo nilipotolea proporsal ilikuwa mida ya usiku hivi na hall 5 na 6 ndipo palikuwa "matrimonial home"
   
 19. A

  Akili Kichwani JF-Expert Member

  #19
  Jan 29, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,504
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  nimeandika mab ya duniani hujaelewa, je nikiandika ya mbinguni?

  unajua nami natafuta mchumba sasa huyu bwana akisema hapa JF wanapatikana sie mabachelor sugu tunaweza kugeuza huu uwanja wa kutafutia wachumba a ndip kutakapokuwa chaos, thats what i meant madam
   
 20. A

  Akili Kichwani JF-Expert Member

  #20
  Jan 29, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,504
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  siku hizi nimepunguza mkuu, si unajua na utoto ulikuwa unanisumbua? na kitisho cha ukimwi nacho ndio hivyo tena imebidi tu tushike adabu, hatuna jinsi!
   
Loading...