Umezamia mitumbwi ya vibwengo bwashee π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Tulipokelewa tukawekewa maji bafuni, nikaogea kopo la njano.....nilivorudi ndani nikawekewa mbege kwenye kopo la njano, nikajua yanafanana.
Asubuhi baada ya chai tunataka kumiminiwa tena mbege nikasikia "yesuuu huyu josefu kaacha kikombe bafuni" kikafatwa aaaah qmmmmm.
Sirudii tena kunywa mbege kwenye makopo nitaomba glass
min -me huko kwenu sio
Hapana sema sikusoma mchezo, wenyewe wanaoga alasiri wakati jua linaona, ikifika usiku wanatawadha na kulala. Sasa mimi niliyaingia maji mida ya saa 12 inaelekea saa 1, asee nilitetemeka kama nyigu unaambiwa.Kwahy walikuwa wanataka utoke komando? π
Mimi nyumba inayofuga paka sikaiNilienda ugenini nikawa nafukuza paka asisogele sahani yangu wakati wa kula lkn chakushangaza wenyeji baada ya kumaliza kula wakawawekea paka chakula kwenye sahani yao waliomalizia kula nikatamani kutapika..
Hiyo nyumba ya wapangaji au ina watu wengi kama familia ya kikalaNilifika tu,kesho yake nashangaa choo kimeandikwa maandishi kwa mkaa kwamba CHOONI TUMIA MAJI MENGI,USIKOJOE BAFUNI
Afu wakati huo hata chooni au bafuni nilikuwa sijaanza kupatumia
Ya kupanga ila wapangaji wawili na msimamiz wa nyumba ila ni mbibi na wajukuu zakeHiyo nyumba ya wapangaji au ina watu wengi kama familia ya kikala
Yani baada ya hiyo kauli tulibaki tunaangaliana na sista daaah!!!! Kumbe tumenywea kopo la toiUmezamia mitumbwi ya vibwengo bwashee π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Ahahha ulikuwa makini kuwafwatilia sanaUmenikumbusha mbali sana ,nilikua na safari mkoa X ya ghafla ikabidi nikalale kwao jamaa yangu anaeishi huko ila hakua kwao alisafiri akaniambia nisiwe na wasiwasi niende tu eee bwana eee ile asubuhi naamka si nikasikia baba mtu kapigwa Kofi Kwa kutokumalizia bao la pili kwenye tendo
Wachaga mbingu yetu lazima iwe na pombe ya kutosha bila hivyo tumepigwa broπ€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Yani baada ya hiyo kauli tulibaki tunaangaliana na sista daaah!!!! Kumbe tumenywea kopo la toi
View attachment 3386006
Hicho cha njano hicho sitakisahau π
ka sana asee ahahahhaTulipokelewa tukawekewa maji bafuni, nikaogea kopo la njano.....nilivorudi ndani nikawekewa mbege kwenye kopo la njano, nikajua yanafanana.
Asubuhi baada ya chai tunataka kumiminiwa tena mbege nikasikia "yesuuu huyu josefu kaacha kikombe bafuni" kikafatwa aaaah qmmmmm.
Sirudii tena kunywa mbege kwenye makopo nitaomba glass
min -me huko kwenu sio
Ningemuwasha kofi ππBaba mdogo ana nyumba dar,ila anakaa kaka yake na familia yake kwenye hiyo nyumba,yeye yuko mkoani kikazi,akija dar anafikia kwenye nyumba yake ila analala chumba cha kawaida,siku nafika hapo naye alifika ,kutokana na uhaba wa vyumba ikabidi niminye room moja na dingi mdogo,usiku sikulala dingi mdogo amezoea kulala bila kuzima taa, anadai akizima taa mbu zinang'ata mbo,pili usiku kucha ilikuwa ni kujamba na kukoroma kwa sauti ya juu,nilijuta mno siku ile
Ilikuwaje ssIle ya kuambiwa nitalala na house girl nilishangaa sana π€
Ahahah pole sanaHapana sema sikusoma mchezo, wenyewe wanaoga alasiri wakati jua linaona, ikifika usiku wanatawadha na kulala. Sasa mimi niliyaingia maji mida ya saa 12 inaelekea saa 1, asee nilitetemeka kama nyigu unaambiwa.
Ahahha sanaπ€£π€£π€£πππ Walikosa uhondo wa kupikiwa vinono
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dogo katoka zake boarding,kanikuta kwao swali la kwanza,,,,,mama huyu ndo house girl wetu
Duh hii ngumu sanaNilienda kwa aunt, kaolewa kwenye jamii ya wafugaji..... kwenye jamii za wafugaji mtoto wa kiume anaweza mfokea mama yake au dada zake wakubwa