24mil na nyumba haijaisha! Vijana tutajenga kweli na kipato Cha chini ya 500k!!!Baaada ya kununua kiwanja nilijenga kwa awamu Tatu na nimerumia almost miaka miwili na nusu
1)awamu ya kwanza nilitafuta milioni 10 nikanunua mifuko ya sementi, tofali,nondo, nikalipa fundi, jenga ukuta na kuchimba mashimo ya vyoo
2) awamu ya pili nilikaa miezi kama 12 nikapasahau pakaota mpaka majani nikajichanga milioni 12 nikapaua nyumba, bandaling kabisa, chonga madrisha ya gril, milango nilichongea kijjn coz mbao ni rahisi nilipelekea fundi sampo ya mlango, grill ya mbele na nyuma na vyoo nikanunua kabisa, nikaomba umeme,nikavuta na maji,
3) awamu ya tatu nikajipanga na 2mill nika pinga plazta vyumba viwili nikatengeneza chumba changu nikahamia
4) awamu ya nne natengeneza chumba kimoja kimoja mana siulizwi na mtu kwanza naishi kwangu na dilisha zangu za wavu nikipata ka laki nanunulia tiles mbona sina mwaka nyumba itaisha
Kwa sababu kipindi kile nilikuwa ughaibuni, karibu nyumba zangu zote na mashamba yangu yote yalisimamiwa na shangazi yetu. Hivyo, kilichofanyika ilikuwa ni kutuma fedha, kukagua ramani, maendeleo na kupokea picha za maendeleo.Habari za mda huu, Wana jamvi wenzangu
Kama uzi unavyojielezea, Kuna watu wengi wanatamani kumiliki mjengo mjini lakini hawajui, waanzie wapi, wapitie wapi, wafanye Nini, watililike vipi hatua kwa hatua za ujenzi na hivyo kukamilisha Ndoto zao.
Kwa wewe mwenye uelewa, au ulifanikisha katika hili tunaomba tips zako, na vile ulivyofanikisha kusimamisha mjengo mjini..
NB: Mimi bado sijafanikisha Ila naamini Kuna vitu vingi nitajifunza hapa, Karibuni..
Kwakweli kujenga naweza kusema ni mipango tu ya Mungu lakini ukiwa umeweka nia thabiti...Habari za mda huu, Wana jamvi wenzangu
Kama uzi unavyojielezea, Kuna watu wengi wanatamani kumiliki mjengo mjini lakini hawajui, waanzie wapi, wapitie wapi, wafanye Nini, watililike vipi hatua kwa hatua za ujenzi na hivyo kukamilisha Ndoto zao.
Kwa wewe mwenye uelewa, au ulifanikisha katika hili tunaomba tips zako, na vile ulivyofanikisha kusimamisha mjengo mjini..
NB: Mimi bado sijafanikisha Ila naamini Kuna vitu vingi nitajifunza hapa, Karibuni..
Million 5 kwa kujibana na kusimamia mwenyewe inatosha kabisaHii nyumba Ni ya vyumba viwili kimoja sebule, kingine chumba Cha kulala master
Unaweza kugharimu kiasi gani wajuzi???View attachment 1935519
mbna ndogo saannaaa?Million 5 kwa kujibana na kusimamia mwenyewe inatosha kabisa
Ni vyumba viwili hivyo inatosha kabisa kwa kujibana na kwa kusimamia mwenyewembna ndogo saannaaa?
Acha tuu24mil na nyumba haijaisha! Vijana tutajenga kweli na kipato Cha chini ya 500k!!!
Mshana utakula makofi sasaKwakweli kujenga naweza kusema ni mipango tu ya Mungu lakini ukiwa umeweka nia thabiti...
Muda unapotimia bila nguvu wala kashkash unajikuta kiwanja hicho... Unaweza kukaa muda mfupi au mrefu kidogo mara umepata pesa ya tofali, mara hiki mara kile.. Mpaka unamaliza ujenzi
Cha ajabu na cha kushangaza, ukimaliza tu ujenzi naweza kusema kwa asilimia 80 hivi pesa inakata na kupitia kipindi kigumu sana lakini uko kwako
NB: Hii haiwatokei watu wote lakini kwa asilimia kubwa huwa hivyo..
Uzi mzuriHabari za mda huu, Wana jamvi wenzangu
Kama uzi unavyojielezea, Kuna watu wengi wanatamani kumiliki mjengo mjini lakini hawajui, waanzie wapi, wapitie wapi, wafanye Nini, watililike vipi hatua kwa hatua za ujenzi na hivyo kukamilisha Ndoto zao.
Kwa wewe mwenye uelewa, au ulifanikisha katika hili tunaomba tips zako, na vile ulivyofanikisha kusimamisha mjengo mjini..
NB: Mimi bado sijafanikisha Ila naamini Kuna vitu vingi nitajifunza hapa, Karibuni..
Nilianza kutafuta ramani ninayo ipenda na nyumba ndogo ya wastani ambayo inaendana na hali ya uchumi wangu
Kazi yangu haina mshahara, ni commission so pesa zangu hazitathiminiki
Niliamua kulipia kidogo kidogo kulingana na makadirio ya mahitaji ya ramani yangu kwenye hardware ninayo iamini, nililipia takribani miezi 6 na baada ya kuona vifaa vinaweza kusogeza mjengo, nilianza kutafuta mzigo wa fundi
Baada ya hapo nilianza ujenzi kama tajiri flani hivi kumbe sales tu. Mungu ni mwema japo sijamaliza ila nmefikia pazuri
Uko sahihi kabisa. Mungu hakupi kila kitu na akakuacha urelax. He's nilliyopata Ni nyinghi Sana na tangu nimalize ujenzi Ni mwaka wa 3 huu sijapata hata robo yakeKwakweli kujenga naweza kusema ni mipango tu ya Mungu lakini ukiwa umeweka nia thabiti...
Muda unapotimia bila nguvu wala kashkash unajikuta kiwanja hicho... Unaweza kukaa muda mfupi au mrefu kidogo mara umepata pesa ya tofali, mara hiki mara kile.. Mpaka unamaliza ujenzi
Cha ajabu na cha kushangaza, ukimaliza tu ujenzi naweza kusema kwa asilimia 80 hivi pesa inakata na kupitia kipindi kigumu sana lakini uko kwako
NB: Hii haiwatokei watu wote lakini kwa asilimia kubwa huwa hivyo..
Duh.. Makofi tena!Mshana utakula makofi sasa
Watu tunataka utuelezzee nyumba yako au bado hujajeng?

Zile pesa huja na malengo ukifeli kuzitumia ipasavyo UMEKWISHAUko sahihi kabisa. Mungu hakupi kila kitu na akakuacha urelax. He's nilliyopata Ni nyinghi Sana na tangu nimalize ujenzi Ni mwaka wa 3 huu sijapata hata robo yake