Inapendeza Sana kipenzi,na katika hizo ofisi 2 mbili moja iwe bakery๐ค๐ค๐คKazi ngumu sana ushazoea ukiamka unaenda kazini lazima ujipange upate kashughuli cha kufanya nje ya hapo baada ya kustaafu. Mama gwamaka mimi sipendi kustaafu kama sijajipanga lazima niwe na ofisi zaidi ya moja niwe nasimamia mwenyew
Nikutafuta pesa tuInapendeza Sana kipenzi,na katika hizo ofisi 2 mbili moja iwe bakery๐ค๐ค๐ค
Acha ufala na wewe mie nikapande bajaj ya nini wakati nipo na machine ya ukweli boxer 150...inapepea kama nini.๐น๐น๐น๐น huyu atakuwa mzabzab alisema engineer ๐คฃ
Kama kawaida!Nikutafuta pesa tu
Nilipaliwa unajuaJamani!
Ni wewe bhana na pima maji yako ๐น๐น๐นAcha ufala na wewe mie nikapande bajaj ya nini wakati nipo na machine ya ukweli boxer 150...inapepea kama nini.
Yeah nipp site hapa namtafutia level boss wangu....najenga nyumba kwa bei nafuu kabisa hasa ukiwa mwanamke basi nasimamia ujenzi buree kabisa muhimu uwe unakuja site umevaa crop top na leggings
Wewe ni chokambaya wa kwanza.๐๐๐๐๐๐
Boraaa alivyo sema Da marry nyanya, sie wengine vitunguu, tunawatoa machozi wajaa.
Kila siku nasema, ukiona mwanaume JF kutwaa kuranda randa ktk nyuzi na comments holela, ni choka mbayaa.
Ma boss kubwa wako kimyaa na โจ๏ธzao.
๐๐๐๐๐
Siulisema upo single juzi tu sasa why umefunga ndoa bila taharifa dada yangu,๐Mwenziooo nachekaaa hapaa, hadi machoziii.
Hadi sahivi, wanaume wa JF, boss ni mume wangu tyuh Mjep
Woiiiiiiiiih ๐๐๐๐๐
Kwani bado haujapona?Shikamooni wakubwa wote humu ndani, wadogo zangu marhaba.
Yanasemwa mengi,.yanaongelewa mengi.nayaona meengi lakini kujiamini ndiyo kila kitu.
Leo si sikukuu wala nini ila naiona alhamis nzuri ikiisha bila matatizo yeyote,mtoto wa Kiswahili nipo niliambiwa nipo kwaajili ya kutapeli wanaume,aaaaah wapi hata niliokutana nao ni makapuku tu, mwanaume gani nguo hafui,hanyooshi shati,ataninyoosha Mimi,
Humu najua wenye pesa wapo ila ni wachache mno.
Povu ruksa,ila matusi sitaki ,tutavirugana Maria nipo mejaa teleee
Haya kujeni
Wikend wapi mshangazi mwenye titi lakeNi wewe bhana na pima maji yako ๐น๐น๐น
Ushapanda bajaji tuonane hapa kwa mfuga mbwa au wewe unataka twende kiwanja kipi fundi ujenzi wanguโฆ!! ๐น๐น๐นWikend wapi mshangazi mwenye titi lake
Jamani kusema ukweli ni ufala kumbe ๐๐Ushapanda bajaji tuonane hapa kwa mfuga mbwa au wewe unataka twende kiwanja kipi fundi ujenzi wanguโฆ!! ๐น๐น๐น
Ila marry falah sana yani nikikumbuka mbavu zaniuma..!! Matajiri wa JF bhana..!!๐คฃ
Wataje basi leo ๐นJamani kusema ukweli ni ufala kumbe ๐๐
Dadaaa unataka kunikimbiza humu ndani๐๐Wataje basi leo ๐น
Usizingue sasa walipue makapuku hao.. ๐คฃ