Unakuta kazee kamepanga hata geto kanaishi kenyewe kumbe kametengwa, wanaume tunapitia mengi,watoto huamishia upendo wote kwa Mama yao. Ndo maana kuna wazee wajanja wanajenga nyumba nyingine kisirisiri vitimbi vikianza anaenda kwenye nyumba yake nyingine maana hizo ni dakika za lala salama.