Hussein Mbega
JF-Expert Member
- Jun 7, 2026
- 202
- 494
π€£π€£π€£π€£Tatizo kuna watu hawana hata hizo zao za kuchanganyia na walizo ambiwa ili waujue ukweli.
Hiyo tabia si ulinifundisha tajiri yangu π πUmejuaje π
Kama mtu hana zake basi achague upande utakaompa faidaTatizo kuna watu hawana hata hizo zao za kuchanganyia na walizo ambiwa ili waujue ukweli.
Hapo utakosa upande hapo πHebu Kutana na mwanamke anayechepuka, anavyotoa sababu za kuchepuka kwake ukimsikiliza unaweza sema huyu amechepuka ili kuuponya moyo au Kutana na mwanaume anachepuka akupe sababu unaweza kudhani kweli hapa ananyanyasika sana
Jitahidi kusikiliza utapata upande wa kukaaa ila hakikisha huo upande unakupa faida, ikiwa ni mwanaume anakusimulia yanayomsibu atasimulia kwa hisia ikiwa unatengenezewa mazingira ya kuliwa, jitahidi uchague upande kama hauna zako za kuchanganyaHapo utakosa upande hapo π
Sawa π π π .Jitahidi kusikiliza utapata upande wa kukaaa ila hakikisha huo upande unakupa faida, ikiwa ni mwanaume anakusimulia yanayomsibu atasimulia kwa hisia ikiwa unatengenezewa mazingira ya kuliwa, jitahidi uchague upande kama hauna zako za kuchanganya
Kujua kama hauna zako ni kuamini kwa mara moja yale unayoambiwa juu ya mtu fulani bila wewe mwenyewe kujitafutia ukweli halisiSawa π π π .
Sijui utajuaje kama hauna zako
Nilikuwa nasubiri Busara zako Ba mtu πNi heri kukaa tu kimya kuliko kuhadithia, maana hadithi itakuwa na uongo mwingi kuliko ukweli.
Kila mtu anataka kuonekana mwema, wachache watakubali kwamba wao ndio wakosaji.
au leo mwalimu wangu unaniktaaa ππWeeee π
Mara nyingi ukiwa na Mama anaanza kukuambia vitu alivyofanya Baba, hata kama vipo kuna namna huwa vinakuzwa sasa kama mtoto huna uwezo wa kupambanua unaanza kumchukia mzee moja kwa moja. Lakini huwezi sikia hata siku moja Baba anamuongelea Mama vibaya. Na hii hupelekea madingi wengi kutengwa uzeeni sababu ya chuki iliyopandikizwa muda mrefu.Huo ni ukweli mtupu π
Mara nyingi Baba huonekana mbaya
Nipe link yakeNilishaandika uzi mmoja unasema UKWELI NI KITU GANI?
There are three versions of truth, your truth, my truth and the truth
Nimekuja bidadaπNilikuwa nasubiri Busara zako Ba mtu π
Sema ukikaa kimya ubaya wote utakuangukia wewe.