Hakuna hata idara yeyote inayo aminika imepongeza ripoti fake ya judge Chande. Ni mbaya kiasi kwamba imewaharibia hata washikiri wake kuaminika kimataifa hasa Sefue na Mwema wamekuwa wanajificha maana ni aibu kubwa.
Kusema vijana walikufa walichomwa na mikuki, utekaji ni mambo ya...
Kuna jirani yangu ameniletea habari kutoka mitandaoni bahati mbaya au nzuri huwa sina muda wa mambo haya ya mitandao, akanambia naomba unieleweshe.
Ripoti ya Chande kuhusu mauaji ya 29, Oktoba 2025, Ripoti ya Chande imepikwa na watu wasiojua hesabu, wamesema kuna vifo 518 nchi nzima wamesema...
Jaji Mkuu Mstaafu Ibrahim Juma, Mjumbe wa Tume ya kuchunguza matukio ya Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu 2025, amesema hayo leo Aprili 28, 2026 wakizungumza na vyombo vya habari
Hii Mimi sijawahi kuona kuweweseka kwa namna hii kwa viongozi wa serikali popote duniani kama wanavyoweweseka wa serikali haramu ya Samia Suluhu Hassan na CCM...
Just see what has happened today..
Eti hawa walioitwa viongozi wa Tume ya Jaji Mstaafu Othman Chande wamekuja tena kutolea...
Kupitia ukurasa wa LHRC wamechapisha taarifa hii;
Asasi za kiraia na watetezi wa haki za binadamu tuna jukumu kubwa katika jamii la kulinda na kutetea haki za binadamu, pamoja na kufuatilia masuala ya uwajibikaji na utawala bora.
Baada ya Tume iliyoundwa na Rais Samia Suluhu kuchunguza matukio...
Porojo zote, usushi wote, stori nonsense na uongo wote wa hata baadhi ya wadau wa JF kuhusu Oct.29.2025 umefutwa na kuzikwa rasmi na ripoti maalumu ya tume ya jaji chande, iliyojaa ukweli na uhakika wa kilichotokea Oct.29.2025.
Mathalani
Kuna yule mbibi mTanzania ambae pia ni kibaraka wa...
Askofu Dkt. Benson Bagonza wa KKKT Dayosisi ya Karagwe ameandika haya katika mtandao wa FaceBook
NASIKIA WAJALUO WANASUBIRI..
Iko hivi:
Siwezi kusema kuwa NI NZURI au ni MBAYA maana siyo yetu. Yeye kasema ni ya kwake.
Msimsumbue.
Nasubiri ya kwetu.
Msinisumbue tena nyie Wajaluo. Babu yenu...
Mwanzo wa ngoma lele, hivyo ndivyo tulivyofundishwa.
Sasa hivi ni wazi mzigo wa lawama kwa yaliyotokea Octoba 29, atabebeshwa nani.
Ukitaka kumuua mbwa wanasema sharti umpe jina baya.
Jaji Chande katika ripoti yake kaeleza yaliyotokea yalipangwa, yaliratibiwa na kufadhiliwa. Hii ni hatua...
"...Watanzania tusikubali kurubuniwa kuharibu nchi yetu. Tusikubali kuchochewa, iwe na wanasiasa, wanaharakati, wahalifu au watu wenye chuki na wenye maslahi binafsi kwa njia yoyote ile kuvuruga tunu ya amani yetu.
Tusimame imara na kwa umoja tulijenge taifa la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
Tafuteni wataalamu ndani na nje wafanye SWOAT ANALYSIS ya ripoti ya mchongo ya Chande et al.
Msiache ikapita bila kuonesha STRENGTHS( kama zipo anyway),BUT za kuwasaidia ku impeach serikali zipo; WEAKNESS ( hapa ndipo pa kuichimbia), OPPORTUNITY seize this opportunity to expose the brutality of...
Waliruhusiwa machawa wachache ku-comment ili sisi wengine tulipigwa pini tusitoe mawazo yetu wakati Jaji Chande alipokuwa anawasilisha ripoti yake ya mauaji ya MO29.
Kulikoni Ikulu ya Tanzania kuwa waoga na maoni ya Watanzania kiasi hiko?
Wallah tena nawaambia, ukiwa kwa mbali unaweza kudhani macho na masikio vinakudanganya maana muonekano wake unakufanya udhani ni mtu mwenye busara na maarifa, kichwani kuna nondo za kutosha, na moyoni amejaza utu na upendo!
Msogelee sasa, ndio utajua kumbe fala falasi, mbinguni hayupo, akhera...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.