Hujajibu swali langu. Hiyo ndege umeiona wapi ndani ya Tanzania?
DuhUtendaji kazi wa Mungu ni waajabu sana, ili umsikie Mungu akisema ni lazima uwe kwenye nafasi husika. Mfano kama wewe ni mwenyekiti wa mtaa Mungu atasema na wewe kuhusu mtaa wako ni mara chache atakuambia kuhusu mitaa mingine au nchi yote kwa ujumla ila uwe na uhakika mara nyingi atasema na wewe kuhusu mtaa wako kama ukimtafuta.
Hivi hadi leo tungekuwa lockdown? Hali zetu zingefananaje? Hata hao waliokuwa lockdown wanajichomoa kimya kimya maana hali zimeanza kuwa tete. Msimamo na ujasiri aliokuwa nao rais Magufuli aliupata wapi licha ya pressure kuwa kubwa sana hadi akawa apokei baadhi ya simu ya marafiki zake? Je, ni Mungu alimsemesha kitu ambacho hakutusemesha wengine?
Aina ya ujasiri na msimamo aliokuwa nao juu ya Corona naamini kabisa ni Mungu alimsemesha. Na yawezekana kuamua kwenda likizo ndefu vile ni ili kujitenga na pressure ya watu ili asije timiza matakwa yao bali mapenzi ya Mungu maana alijua Mungu amesema na yeye kuhusu Taifa la Tanzania hajasema na wengine.
Ni wakati muafaka watu kama sisi tuliokuwa kinyume nae tena kwa ukali kabisa wa kumsema vibaya, kina Mbowe and the like, wote tutoke mafichoni, tufanye press kama tulivyofanya tupongeze na kumshukuru Mungu kuwa tumevuka salama
Mimi nipo Nchi za wanaojielewa,mara ya mwisho kuondoka Tz niliondokea terminal 3.
Umeanza kuweweseka sasa, lini umetumia terminal 3 wewe? Unafikiri maigizo unayofanya wewe G Sam kila mtu anafanya?
Mimi nipo Nchi za wanaojielewa,mara ya mwisho kuondoka Tz niliondokea terminal 3.
Anajua MboweWapi Azory, wapi ben saanane?
Tanzania haijielewi kwakuwa inaongozwa na mtu asiyejielewa!Kuna nchi ambayo haijielewi? Umeulizwa lini? Kama unayoandika yangekuwa kweli usingeongopa.
Ndio tatizo la kukariri na chuki binafsi hizo. Hukumbuki hata hufahamu kama Terminal 3 Dar inafanya kazi, wala hufahamu mashirika gani yalisema yataanza kuja Dar lini nk then unarukia mambo ya kujielewa hata ufafanuzi wake huwezi kudadavua what a joke? Huko nchi inayojielewa hata kuisema huwezi, ndio ujuha wenyewe huo.Tanzania haijielewi kwakuwa inaongozwa na mtu asiyejielewa!
Naelewa kuwa KLM na Turkish airways walitangaza kuanza safari za kwenda Tz ila tangia Turkish tangia watangaze kwenda Tz hawajawahi kwenda huko na KLM walikuwa waanze July 1 ila walikwama kwa kuwa hakuna abiria wanataka kwenda Tz. Naelewa tatizo ni nini na nililijua hapo kabla. Endelea kulamba viatu na kuidumaza akili yako!Ndio tatizo la kukariri na chuki binafsi hizo. Hukumbuki hata hufahamu kama Terminal 3 Dar inafanya kazi, wala hufahamu mashirika gani yalisema yataanza kuja Dar lini nk then unarukia mambo ya kujielewa hata ufafanuzi wake huwezi kudadavua what a joke? Huko nchi inayojielewa hata kuisema huwezi, ndio ujuha wenyewe huo.
Kama unaona Tanzania haijielewi si uhame wewe na ukoo wenu mzima.
Kwa hiyo shetani wako ndiye kakuokoa?Na ambao hawaamini Mungu unawaweka wapi?Taifa la Tanzania Ni la Watanzania Wala halima uhusiano na Mungu,Taifa la Tanzania halimtambui Mungu yeyote...
Naelewa kuwa KLM na Turkish airways walitangaza kuanza safari za kwenda Tz ila tangia Turkish tangia watangaze kwenda Tz hawajawahi kwenda huko na KLM walikuwa waanze July 1 ila walikwama kwa kuwa hakuna abiria wanataka kwenda Tz. Naelewa tatizo ni nini na nililijua hapo kabla. Endelea kulamba viatu na kuidumaza akili yako!
We mjinga sana...hapo ulipo unavuta pumzi mpka leo sababu ya nani..Ni mbinu zipo umetumia mpka leo bado unapumua jomba tuanzie hapo labdaMafanikio gani nyie ma-idiot wakati walifariki watu wengi ambao leo wangekuwa hai? Angekuwa amefanya kama Museveni ambaye hakuna hata kifo kimoja kimetokea si mngempa mananiii yenu!
Tatizo hamjielewi watu na uzi unazungumzia issue ya Corona, nyingi wazandiki mnapenyeza majina ya watu from knowhere. Ndio maana tunauliza wamepata Corona?Angekuwa mkeo ama mwanao kapotea ungeelewa uchungu ulivyo!!
Sasa wakisharuhusiwa kwenda kutembea huko wanakuongezea na level ya uchumi kutoka wa kati kwenda wa juu zaidi?..nini hasa watakachofaidi kuhusu uchumiLakini pammoja na mafanikio hayo makubwa ya Mwenyezi Mungu kutuhurumia na janga hili ,Tanzania haipo kwenye white list ya nchi 14 za Africa zinazoruhusiwa watu wake kwenda nchi za EU.Mfano ni Rwanda ipo white list.
Labda sababu ni Tanzania kugoma kutoa update za Corona kama mataifa mengine yanavyofanya.Every point counts.
Mungu aendelee kumsimamia Rais wetu ametuonyesha njia lazima tujitambue na kuwa wajasiri wakati wote.Utendaji kazi wa Mungu ni waajabu sana, ili umsikie Mungu akisema ni lazima uwe kwenye nafasi husika. Mfano kama wewe ni mwenyekiti wa mtaa Mungu atasema na wewe kuhusu mtaa wako ni mara chache atakuambia kuhusu mitaa mingine au nchi yote kwa ujumla ila uwe na uhakika mara nyingi atasema na wewe kuhusu mtaa wako kama ukimtafuta.
Hivi hadi leo tungekuwa lockdown? Hali zetu zingefananaje? Hata hao waliokuwa lockdown wanajichomoa kimya kimya maana hali zimeanza kuwa tete. Msimamo na ujasiri aliokuwa nao Rais Magufuli aliupata wapi licha ya pressure kuwa kubwa sana hadi akawa apokei baadhi ya simu ya marafiki zake? Je, ni Mungu alimsemesha kitu ambacho hakutusemesha wengine?
Aina ya ujasiri na msimamo aliokuwa nao juu ya Corona naamini kabisa ni Mungu alimsemesha. Na yawezekana kuamua kwenda likizo ndefu vile ni ili kujitenga na pressure ya watu ili asije timiza matakwa yao bali mapenzi ya Mungu maana alijua Mungu amesema na yeye kuhusu Taifa la Tanzania hajasema na wengine.
Ni wakati muafaka watu kama sisi tuliokuwa kinyume nae tena kwa ukali kabisa wa kumsema vibaya, kina Mbowe and the like, wote tutoke mafichoni, tufanye press kama tulivyofanya tupongeze na kumshukuru Mungu kuwa tumevuka salama
Siku ukijitambua ukaachana na slavery mentality akili yako itakusaidia sana ila kwa sasa haikusaidii.Lakini pammoja na mafanikio hayo makubwa ya Mwenyezi Mungu kutuhurumia na janga hili ,Tanzania haipo kwenye white list ya nchi 14 za Africa zinazoruhusiwa watu wake kwenda nchi za EU.Mfano ni Rwanda ipo white list.
Labda sababu ni Tanzania kugoma kutoa update za Corona kama mataifa mengine yanavyofanya.Every point counts.
Kutoka Tanzania kwenda nchi hizo hakuna RUKSA.Sasa wakisharuhusiwa kwenda kutembea huko wanakuongezea na level ya uchumi kutoka wa kati kwenda wa juu zaidi?..nini hasa watakachofaidi kuhusu uchumi