Ukweli mtupu: Ni ngumu kudai utawala wa demokrasia na haki za binadamu huku ukiwa ughaibuni

Arudi ili mu mpyu pyu pyu. Hilo sahauni na mapambano bado yanaendelea.
Mapambano kuhusu nini mama...embu fafanua..kumbe TZ kuna wengine wa napambana. ..sasa wanapambania wapi.mitandaoni ama....?halafu naomba ni inbox uchukue Mzigo wako ni nao bado
 
Unapokuwa Mwanasiasa makini lazima uingie field ili uonje machungu ya kile unachoropoka mara kwa mara kuwa hakipo ili watu wajue kweli na wewe unapata machungu!

Mtu yupo Belgium anazungumza habari za wakulima wa Mtwara na Katavi kukopwa mazao yao,hii inaleta sense?

Unaposema mtakomaa ili utawala wa kidemokrasia upatikane wewe mwenyewe uliondoka kihuni na kula kona mpaka Brussels inaleta sense? Kwa nini usikae hapa Bongo na kutuonyesha hiyo demokrasia unayosema haipo?

Kuungwa mkono na Idu na kuona kama wataweza kuleta mabadiliko kwa demokrasia ya Tanzania huoni kuwa ni ndoto za mchana? Kwani hao Idu hawajulikani kwa watanzania kuwa ni vibaraka wa mabebeberu? Nani hapa Tanzania atakubali swaga zao za kisiasa?

My opinion, mwaka 2021 umeanza watanzania wanahitaji upinzani utaokuwa na positive results kwa maendeleo yao. Sio mtu yuko Ubelgiji anakula bata alafu analeta porojo za kisiasa.
Aliyekutuma alaaniwe kam ulivyolaaniwa wewe mwuaji mkubwa.
 
Ayatollah Rahola Khomeini alitoa upinzani uliyopelekea kuangushwa kwa utawala wa Shah mwaka 1979 akiwa nchini Ufaransa na hivyo hivyo kwa Obote ambaye alikuwa hapa hapa Tanzania.

So distance isn't the barrier 🚧 and what matters is that he is fighting for the just cause whose aim is to suppress the dictatorship.
 
Unapokuwa Mwanasiasa makini lazima uingie field ili uonje machungu ya kile unachoropoka mara kwa mara kuwa hakipo ili watu wajue kweli na wewe unapata machungu!

Mtu yupo Belgium anazungumza habari za wakulima wa Mtwara na Katavi kukopwa mazao yao,hii inaleta sense?

Unaposema mtakomaa ili utawala wa kidemokrasia upatikane wewe mwenyewe uliondoka kihuni na kula kona mpaka Brussels inaleta sense? Kwa nini usikae hapa Bongo na kutuonyesha hiyo demokrasia unayosema haipo?

Kuungwa mkono na Idu na kuona kama wataweza kuleta mabadiliko kwa demokrasia ya Tanzania huoni kuwa ni ndoto za mchana? Kwani hao Idu hawajulikani kwa watanzania kuwa ni vibaraka wa mabebeberu? Nani hapa Tanzania atakubali swaga zao za kisiasa?

My opinion, mwaka 2021 umeanza watanzania wanahitaji upinzani utaokuwa na positive results kwa maendeleo yao. Sio mtu yuko Ubelgiji anakula bata alafu analeta porojo za kisiasa.
Kasome The long walk to freedom cha Mandela ndo utajua ulichoandika ni matokeo ya ujinga wako iliotopea. Sikiliza na ule wimbo wa exile wa Lucky Dube juha wewe
 
Mkamateni huko Ubelgiji
Kwani akikaa huko ana madhara gani kwa tanzania?
Ukimgundua mwizi kisha mwizi akakukimbia una mtafuta wa nini wakati amekimbia na hajaiba?
Huyo kwa sasa ni toothless dog akiwa huko aliko.
 
Sasa kinachowawasha kumuanzishia post humu ni nini?
 
Back
Top Bottom