Ukweli mchungu: Wengi hawatopata mapenzi ya dhati

Sijasema mapenzi ya kweli hayapo na wala sijajikatia tamaa Coz my story is going to be different IJN. Ila napinga kusema wanaokaa kwenye ndoa muda mrefu ndo wote wana mapenzi ya dhati, hapo nimekataa aisee. Nishaona watu walivyo busy kuhesabu miaka ya ndoa, ilhali humo ndani ni tafrani, Waafrica tunavalue sana ndoa, so whatever happens, we going nowhere. Tuwe tu honest, wapo wanandoa kibao tu wanaovumilia ndoa zao na wengi watakwambia nimebaki tu for the sake of my kids and others are just saving their faces tu kwa kweli. So wapo watu wanaishi tu pamoja ila ndoa zilishazikwa zamaniii.
Ndio maana hatufanikiwi, maana sifa mojawapo ya mtu anayetaka kufanikiwa ni kutokuishi kwa kutaka kumridhisha kila mtu.
 
Kwa hizi relationships ambazo watu wanaweka vigezo vya mpnz amtakae, ni ngumu kupata true love.
True love inakuja naturally. You both find yourselves loving each other na hakuna kitu physical among you ambacho anyone anaweza sema kimemvutia kwa mwenzake.
You love each other kwasababu you believe you're complete mkiwa pamoja. That feeling ikiwa kwa kila mmoja wenu naturally basi you'll find true love.

Pia kwa Heaven Sent na wengine do not take or undermine uvumilivu for granted. Uvumilivu ni lazima kwasababu the two wanakua si malaika they have weaknesses ambazo uvumilivu "huzichukulia"
 
Kupendwa ni raha sana, unakuta hata kama ni long distance relationship kila mmoja halali mpaka amemuish mwenzake a good night sleep. Mkionana hata kama mabomu yanapigwa nje nyinyi mnajiona mko peponi.
Njoo nikupende mamilooo...i've missed
 
Nimekuambia True love ni function unit ya vitu viwili AKILI/KUJIELEWA NA KUTOENDEKEZA UMASIKINI MPAKA KUHARIBU HALI YA KUPENDANA.Huku bongo demu kwao wakiwa wamefulia likajitokeza li jamaa linataka kumuoa anaweza kukuacha wewe ulietoka nae mbali tangu enzi za utotoni na akigoma hadi wazazi wanamjia juu na kumuambia unaacha bahati
Umaskini mbaya sana. Tukiendelea kuchukulia mapenzi kama daraja la kujikwamua kimaisha hakuna siku true love itapatikana.
 
Wengi sana hatyijui hiyo true love!!!

Kwa maneno tu inasemekana;
True love ni pale unajua mwenzako ni mwizi lakini humuachi unajaribu kumrekebisha...
True love ni pale mwenzako kafukuzwa kazi na bado unaendelea kua nae ukimshika mkono katika wakati mgumu.
True love ni pale unagundua mwenzako ana UKIMWI lakini humuachi.
True love ni pale upo tayari kupokea risasi ili mwenzako asidhurike.

Bunadamu tumejaa ubinafsi, tunahukumu sana wengine na kukimbia shida... Hii inafanya ngumu kua na true love.!
True love ni pale umefunga ndoa leo na mumeo akapata ajali na kuparalyse kiunoni kwenda chini na bado ukabaki nae...
True love haina michepuko no matter how hungry you are.

Ni wachache walioexperience true love... Unconditional love
 
these days I only know conditional love
I'm not used to settlin' down
I'm too used to switchin' it up, oh
And she says, "you don't know how good it is to
be you cause you're him"
And I say "well, goddamn"
 
Wengi sana hatyijui hiyo true love!!!

Kwa maneno tu inasemekana;
True love ni pale unajua mwenzako ni mwizi lakini humuachi unajaribu kumrekebisha...
True love ni pale mwenzako kafukuzwa kazi na bado unaendelea kua nae ukimshika mkono katika wakati mgumu.
True love ni pale unagundua mwenzako ana UKIMWI lakini humuachi.
True love ni pale upo tayari kupokea risasi ili mwenzako asidhurike.

Bunadamu tumejaa ubinafsi, tunahukumu sana wengine na kukimbia shida... Hii inafanya ngumu kua na true love.!
True love ni pale umefunga ndoa leo na mumeo akapata ajali na kuparalyse kiunoni kwenda chini na bado ukabaki nae...
True love haina michepuko no matter how hungry you are.

Ni wachache walioexperience true love... Unconditional love
Sio kwa wabongo aisee
 
Kwa hizi relationships ambazo watu wanaweka vigezo vya mpnz amtakae, ni ngumu kupata true love.
True love inakuja naturally. You both find yourselves loving each other na hakuna kitu physical among you ambacho anyone anaweza sema kimemvutia kwa mwenzake.
You love each other kwasababu you believe you're complete mkiwa pamoja. That feeling ikiwa kwa kila mmoja wenu naturally basi you'll find true love.

Pia kwa Heaven Sent na wengine do not take or undermine uvumilivu for granted. Uvumilivu ni lazima kwasababu the two wanakua si malaika they have weaknesses ambazo uvumilivu "huzichukulia"

Hatujaongelea Uvumilivu kama just a phase in someone's life, kwa sababu life is full of ups and downs, hata maisha ya a single person lazima at a certain point yanakuwa ya maumivu, so Uvumilivu huo ni lazima. Hauwezi kucheka siku zote za maisha yako. Mmoja kapoteza kazi, biashara imeyumba, maradhi etc, hapo Uvumilivu lazima. Tumeongelea ule Uvumilivu ambapo a person is stuck in a toxic relationship maisha yake yote and anatamani kabisa kutoka ila she/he has no guts to do that; physical abuse, serial cheating, mtu hajali mwenzie wala watoto, huheshimiwi etc; ila mtu yupo tu anacount them years in a marriage. Ndo Uvumilivu wa kumwambia mtu avumilie jamani, hadi atolewe roho au?
 
Back
Top Bottom