Ukweli mchungu: Wengi hawatopata mapenzi ya dhati

Ukweli mchungu: Wengi hawatopata mapenzi ya dhati

Mm naona wazungu ndio wenye true love, wewe unaona wanagonga na kusepa kwa sababu hawako tayari kukaa kwenye relationship that ain't working. Hivyo wanaendelea kutafuta mpaka wafanikiwe.... waafrica ni wavumilivu, halafu mtu anafikiria jamii itanichukuliaje, mara watoto itakuaje and so on. Believe me ndoa nyingi za ki Africa ni uvumilivu tu, wachache ndio kuna true love.
basi hujaishi na waafrika wewe, mimi ninachokiongea namaanisha, huo mtazamo ulio nao si wa kweli
kama ulikuwa ukiishi ndani ya uzio hutoamini uaminifu wa kimapenzi kwa waafrika
sisi tuna mapenzi ya kweli baina yetu wazungu wanapenda kurahisisha sana mambo ndo mana wao kila kitu ni bandia
 
Msituseme tu mabinti, hata wanaume nao wengi tu mnaanza juani na mtu, mnavumiliana hadi mnafika kivulini, then mtu anaanza kukwambia " wewe sio type yangu", tunawaona vizuri tu. Kama mtu atashindwa kukuvumilia, muache tu aende
Ni kweli kabisa hata sisi tunadakwa ma kina mama yenye life na kumuacha mtu uliegalagala nae tangu enzi zile na pia tunapenda kubadirika baada ya kupata kazi nzuri tunabadili wapenzi
 
Tatizo penzi la Africa na hasa Tanzania limetoka kwenye moyo sasa liko machoni watu wanatamani kila wanachoona.
 
pesa inasaidia sana kwenye eneo hili la mapenzi,japo baadhi wanabishana na ukweli huu.Mapenzi ya aina yoyote ni aghali na hiyo gharama inahusisha ankara [emoji383]
sio kweli mkuu, nadhani huijui true love ndio maana unasema hivyo. kui attach pesa na true love ni kuishusha dhamani true love. (money can never buy you true love)
 
Tatizo penzi la Africa na hasa Tanzania limetoka kwenye moyo sasa liko machoni watu wanatamani kila wanachoona.
penzi halijawahi kutoka katika moyo, ni either lilikuwepo moyoni au machoni. kama halipo moyoni wala usijihangaishe kutafuta true love, you'll waste you time.
 
sio kweli mkuu, nadhani huijui true love ndio maana unasema hivyo. kui attach pesa na true love ni kuishusha dhamani true love. (money can never buy you true love)
huwezi kununua love kweli but money can help generate love! ukiwa mkataufuta yanabaki mapenzi ya kuvumiliana tu na unafiki ambayo yana bond fulani kv u ndugu, sex,pressure ya jamii nk
 
Km mm ndiyo siamini kbs km kuna mapenzi ya dhatiii bora liendeee..... Nikipata takeaway yng akaaaa
 
Km mm ndiyo siamini kbs km kuna mapenzi ya dhatiii bora liendeee..... Nikipata takeaway yng akaaaa



yule dada sikuwahi kumpenda najua kanisamehe na kilichomuumiza zaidi kuona binti yangu na mama mtoto...alitamani sana kuishi na mwanaume wa ndoto yake sema ndio hivyo anisamehe tu
 
yule dada sikuwahi kumpenda najua kanisamehe na kilichomuumiza zaidi kuona binti yangu na mama mtoto...alitamani sana kuishi na mwanaume wa ndoto yake sema ndio hivyo anisamehe tu
Km mtu humpendii kwanini usimuweke wazi
 
yapo, hizi kauli ndio zinawafanya watu wasiamini katika true love
Hao wanaoamini kutokana na "kauli hizi" wao hawana akili? True love kwa kizazi hiki cha Facebook aisee utasubiri sana. Ugua ugonjwa wa muda mrefu au sikinika ghafla ndo utajua. Siku nikiamua kuoa (kama nitaoa) basi nitaoa with an open mind lakini siyo kwa kujidanganya eti nimepata true love[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu ume highlight tu kwa red lakini hujanisaidia ili nijifunze namna nilivyoboronga.
 
Mkuu ume highlight tu kwa red lakini hujanisaidia ili nijifunze namna nilivyoboronga.
The lines I have highlighted in red are flawed by syntax errors.

Go back to previous comments I have shared and learn how those lines were supposed to be constructed
 
Habari zenu wadau wa MMU.

Leo ningependa kuja kuliongelea hili suala la watu wengi sana kutopata mapenzi ya dhati ama kwa wenzetu huyaita True love.

Kwa utafiti wangu nlio ufanya ambao sio rasmi, nimegundua kuwa watu wengi siku hizi wanasukumwa na matamanio ya ngono (sexual desires) katika kuingia katika mahusiano. Unakuta couples hazina affection wala mutual feelings other than getting laid.

Wengi utawasikia wakisema kuwa mapenzi ya dhati ni kwa drama za kifilipino na wakorea tu.

Nimegundua watu wengi hawaamini katika mapenzi ya dhati, na hilo ndio tatizo.

Trust me, If you never believe in true love, you will never find one.

Update 1:
Baada ya kusoma hizi comment nyingi hapa chini nimegundua sababu nyingine kwa nini watu wengi hawatopata true love. Na sababu yenyewe ni kutoijua hiyo true love at all. Nimegundua wengi hawaielewi vizuri true love.Na kutafuta kitu usichokijua ni ngumu kukipata.

View attachment 501921

by: Agent wa True love.

Utakuwa kwenye maturity age, fanya kazi acha mawazo ya kijinga
 
Back
Top Bottom