Royal Warrior
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 1,166
- 2,143
Habari zenu wadau wa MMU.
Leo ningependa kuja kuliongelea hili suala la watu wengi sana kutopata mapenzi ya dhati ama kwa wenzetu huyaita True love.
Kwa utafiti wangu nlio ufanya ambao sio rasmi, nimegundua kuwa watu wengi siku hizi wanasukumwa na matamanio ya ngono (sexual desires) katika kuingia katika mahusiano. Unakuta couples hazina affection wala mutual feelings other than getting laid.
Wengi utawasikia wakisema kuwa mapenzi ya dhati ni kwa drama za kifilipino na wakorea tu.
Nimegundua watu wengi hawaamini katika mapenzi ya dhati, na hilo ndio tatizo.
Trust me, If you never believe in true love, you will never find one.
Update 1:
Baada ya kusoma hizi comment nyingi hapa chini nimegundua sababu nyingine kwa nini watu wengi hawatopata true love. Na sababu yenyewe ni kutoijua hiyo true love at all. Nimegundua wengi hawaielewi vizuri true love.Na kutafuta kitu usichokijua ni ngumu kukipata.
by: Agent wa True love.