Ukweli mchungu: Wengi hawatopata mapenzi ya dhati

Ukweli mchungu: Wengi hawatopata mapenzi ya dhati

True love haliendani na njaa na akili za kiafrika.
Na ukitaka kujua wanawake wengi hapa nchi wana asili ya Eritrea jifamye unataka mahusiano nao ndo utapata nafas ya kujua njaa aliyonayo ni zaidi ya Eritrea na South Sudan ataanza mizinga kiasi ujute kwann FAO hawakumtangaza ana jaa la njaa.Mungu wa kuna vitu vya kijinga jinga ataomba kias hutopenda hata kumuona tenaaaaaaa
 
Wewe unae sema hakuna upendo wa dhati,wewe ndio kiongozi mkubwa wa kuumiza wenzio sasa unsfikiri mapenzi ya dhati nani atakua nayo,mapenzi ya dhati yaanzie kwako
 
sasa mkuu watu wakikaa miaka 35 whatever happens hao ni wakuwapongeza
Mbona huwa wanapongezwa tu hata kama humo wanaishi separate rooms na hawasemeshani au wanadundana daily, what matters ni wanaishi nyumba moja so we keep on counting the years. Afu si unajua kwa sisi wanawake Ndoa ni heshima, so tutavumilia tu chochote ila sio kuvunja heshima hiyo[emoji78] [emoji78]
 
mbona dada waonesha kukata tamaa sana?
hiyo hali kama ipo (kuwa kwenye ndoa kwa muda wote huo halafu wasiwe na amani) basi ni kwa asilimia 11% tu na 89% wanafurahia mahusiano yao
nina uhakika na hili.. mapenzi ya kweli yapo tena kwa kiwango kikubwa sana
 
kuna watu wanamaisha ya kimaskini na njaa lakini wana mapenzi ya dhati (true love). na kuna matajiri kibao hawana true love.
Nimekuambia True love ni function unit ya vitu viwili AKILI/KUJIELEWA NA KUTOENDEKEZA UMASIKINI MPAKA KUHARIBU HALI YA KUPENDANA.Huku bongo demu kwao wakiwa wamefulia likajitokeza li jamaa linataka kumuoa anaweza kukuacha wewe ulietoka nae mbali tangu enzi za utotoni na akigoma hadi wazazi wanamjia juu na kumuambia unaacha bahati
 
Who told you if u believe in true love then u have a guarantee of getting one???!..ts not about beliefs aisee,ndoa na mahusiano ni zaidi ya hapo...ts tough,
 
Kamwe sitokuja kufanya ungumbaru ( upumbavu ) wa huyo Jamaa hapo katika Picha eti kwasababu tu ya Mbunye na usikute unaweza ukafanya hivyo na bado ukaja kukuta hiyo hiyo Mbunye mpo hata Njemba 7.

yani nipate monia kwa upuuzi wa kumfanya mtu asiloe.....hiyo ni moja ya upuuzi
 
mapenzi ya dhati yapo sana hasa kwetu sisi waafrika, wazungu hakuna kitu wale wapo mbele ya ngono tu.
huku afrika unaweza kuta ndo ina zaidi ya miaka hata 35, ila kwa wazungu, mweeeh mavi ya kuku... mtindo wao ni 'gonga na sepa' na wanaona kawaida sana
maisha yako afrika tu
mapenzi yako afrika tu
maadili yako afrika tu
ustaarabu uko afrika tu
kujaliana kuko afrika tu.
HASA TANZANIA
Mm naona wazungu ndio wenye true love, wewe unaona wanagonga na kusepa kwa sababu hawako tayari kukaa kwenye relationship that ain't working. Hivyo wanaendelea kutafuta mpaka wafanikiwe.... waafrica ni wavumilivu, halafu mtu anafikiria jamii itanichukuliaje, mara watoto itakuaje and so on. Believe me ndoa nyingi za ki Africa ni uvumilivu tu, wachache ndio kuna true love.
 
You could write your comment like this

"there is difference btn the two happiness and love. Money can't buy happiness but it can buy you love"
Could you point any grammatical error in my sentence please
 
Kamwe sitokuja kufanya ungumbaru ( upumbavu ) wa huyo Jamaa hapo katika Picha eti kwasababu tu ya Mbunye na usikute unaweza ukafanya hivyo na bado ukaja kukuta hiyo hiyo Mbunye mpo hata Njemba 7.

Halafu hapo hamna true love sababu true love inaenda both ways. Hapo ilibidi huyo mwanamke amuonee huruma wangesogeleana na kujifunika mwavuli wote sio mmoja apate homa mwingine apone
 
mbona dada waonesha kukata tamaa sana?
hiyo hali kama ipo (kuwa kwenye ndoa kwa muda wote huo halafu wasiwe na amani) basi ni kwa asilimia 11% tu na 89% wanafurahia mahusiano yao
nina uhakika na hili.. mapenzi ya kweli yapo tena kwa kiwango kikubwa sana
Sijasema mapenzi ya kweli hayapo na wala sijajikatia tamaa Coz my story is going to be different IJN. Ila napinga kusema wanaokaa kwenye ndoa muda mrefu ndo wote wana mapenzi ya dhati, hapo nimekataa aisee. Nishaona watu walivyo busy kuhesabu miaka ya ndoa, ilhali humo ndani ni tafrani, Waafrica tunavalue sana ndoa, so whatever happens, we going nowhere. Tuwe tu honest, wapo wanandoa kibao tu wanaovumilia ndoa zao na wengi watakwambia nimebaki tu for the sake of my kids, wengine utegemezi anawaza akitoka humo ataanzia wapi, bora tu abaki kwenye ugali wa bure, and others are just saving their faces tu kwa kweli. So wapo watu wanaishi tu pamoja ila ndoa zilishazikwa zamaniii.
 
Nimekuambia True love ni function unit ya vitu viwili AKILI/KUJIELEWA NA KUTOENDEKEZA UMASIKINI MPAKA KUHARIBU HALI YA KUPENDANA.Huku bongo demu kwao wakiwa wamefulia likajitokeza li jamaa linataka kumuoa anaweza kukuacha wewe ulietoka nae mbali tangu enzi za utotoni na akigoma hadi wazazi wanamjia juu na kumuambia unaacha bahati
Msituseme tu mabinti, hata wanaume nao wengi tu mnaanza juani na mtu, mnavumiliana hadi mnafika kivulini, then mtu anaanza kukwambia " wewe sio type yangu", tunawaona vizuri tu. Kama mtu atashindwa kukuvumilia, muache tu aende. Sio kila mtu ana hiyo neema
 
Mm naona wazungu ndio wenye true love, wewe unaona wanagonga na kusepa kwa sababu hawako tayari kukaa kwenye relationship that ain't working. Hivyo wanaendelea kutafuta mpaka wafanikiwe.... waafrica ni wavumilivu, halafu mtu anafikiria jamii itanichukuliaje, mara watoto itakuaje and so on. Believe me ndoa nyingi za ki Africa ni uvumilivu tu, wachache ndio kuna true love.
Kwa kweli Mungu ametupa Uvumilivu wa hali ya juu
 
Back
Top Bottom