Ujue ktk kila tendo au maamuzi lzm kuwe kuna kitu kinaitwa kujitoa muhanga. Unapojitoa muhanga kwa maamuzi uliyochukua basi utakuwa na posibility kubwa ya kufanikiwa.Habari zenu wadau wa MMU.
Leo ningependa kuja kuliongelea hili suala la watu wengi sana kutopata mapenzi ya dhati ama kwa wenzetu huyaita True love.
Kwa utafiti wangu nlio ufanya ambao sio rasmi, nimegundua kuwa watu wengi siku hizi wanasukumwa na matamanio ya ngono (sexual desires) katika kuingia katika mahusiano. Unakuta couples hazina affection wala mutual feelings other than getting laid.
Wengi utawasikia wakisema kuwa mapenzi ya dhati ni kwa drama za kifilipino na wakorea tu.
Nimegundua watu wengi hawaamini katika mapenzi ya dhati, na hilo ndio tatizo.
Trust me, If you never believe in true love, you will never find one.
Update 1:
Baada ya kusoma hizi comment nyingi hapa chini nimegundua sababu nyingine kwa nini watu wengi hawatopata true love. Na sababu yenyewe ni kutoijua hiyo true love at all. Nimegundua wengi hawaielewi vizuri true love.Na kutafuta kitu usichokijua ni ngumu kukipata.
View attachment 501921
by: Agent wa True love.
Una heri wewe. Nahisi watu kama nyie mko wachache sana.Mapenzi ya kweli ni adimu lakini yapo.
Naamini katika mapenzi ya kweli...
Tehe!Kamwe sitokuja kufanya ungumbaru ( upumbavu ) wa huyo Jamaa hapo katika Picha eti kwasababu tu ya Mbunye na usikute unaweza ukafanya hivyo na bado ukaja kukuta hiyo hiyo Mbunye mpo hata Njemba 7.
Nimeipenda hiyo.Kuna watu wanavumilia ndoa zao, na kuna watu wanaoenjoy ndoa zao. So wanandoa kudumu kwenye ndoa yao kwa miaka 35 doesn't always guarantee kwamba wana mapenzi ya dhati. Inawezekana wanaishi tu pamoja ila in reality walishaachana zamaniiii, maana waafrica kutalikiana mmh. True love haibagui hata
Duuuuuuuuuu!!!Na ukitaka kujua wanawake wengi hapa nchi wana asili ya Eritrea jifamye unataka mahusiano nao ndo utapata nafas ya kujua njaa aliyonayo ni zaidi ya Eritrea na South Sudan ataanza mizinga kiasi ujute kwann FAO hawakumtangaza ana jaa la njaa.Mungu wa kuna vitu vya kijinga jinga ataomba kias hutopenda hata kumuona tenaaaaaaa
Yep! Hili ni tatizo pia.Nimekuambia True love ni function unit ya vitu viwili AKILI/KUJIELEWA NA KUTOENDEKEZA UMASIKINI MPAKA KUHARIBU HALI YA KUPENDANA.Huku bongo demu kwao wakiwa wamefulia likajitokeza li jamaa linataka kumuoa anaweza kukuacha wewe ulietoka nae mbali tangu enzi za utotoni na akigoma hadi wazazi wanamjia juu na kumuambia unaacha bahati
Wanaoamini hivyo ni wachache.Mh usisahau kuolewa ni heshima kubwa sana bana, so no matter what; wewe vumilia tu.[emoji33] [emoji33]
Ila siyo vizur mungu anakuona km ungekuwa na msimamo hata hizo mechi za mazoezi usingekuwa umezifanya kwa mtuu ambae hauna future naeee!!![emoji35] [emoji35] [emoji35]Mwenyewe nilimwambia na bahati mbaya ndio alianza kunitokea mtu mbishi utamfanya nini nikawa napiga mechi za mazoezi
Ila siyo vizur mungu anakuona km ungekuwa na msimamo hata hizo mechi za mazoezi usingekuwa umezifanya kwa mtuu ambae hauna future naeee!!![emoji35] [emoji35] [emoji35]
[emoji9] [emoji9]amebaki kama rafiki tu
[emoji24] [emoji24][emoji9] [emoji9]
Ka avatar kako kazuriKwa kweli wanaohesabu miaka nao ni wengi tu. Mungu atusaidie kwenye ndoa zetu
Fyuuu ovyo umeniboa hujui tu[emoji24] [emoji24]