Reina princess
JF-Expert Member
- Jul 1, 2015
- 1,322
- 1,503
Mapenzi ya kweli yapo lakini ni nadra sana kuyapata.
So sweet...the song
Mapenzi ya kweli yapo lakini ni nadra sana kuyapata.
Hao wanaohesabu miaka ya ndoa tu bila kujali kama kuna amani na furaha ni utitiriKuna watu wanavumilia ndoa zao, na kuna watu wanaoenjoy ndoa zao. So wanandoa kudumu kwenye ndoa yao kwa miaka 35 doesn't always guarantee kwamba wana mapenzi ya dhati. Inawezekana wanaishi tu pamoja ila in reality walishaachana zamaniiii, maana waafrica kutalikiana mmh. True love haibagui hata
Inategemea na mazingira mnayoishi humo ndani. Kuna mazingira yanayojenga afya ya watoto vizuri tu kimwili, kiroho na kiakili; na kuna mazingira yanayo-watraumatize tu watoto zaidi na kuwaharibia future zao.hata kama ni hivyo (japo sina uhakika kama ni kweli na ni kwa asilimia kubwa) we huoni hiyo ni namna nzuri ya maisha kwa mustakabali wa kizazi chako!
Kwa kweli wanaohesabu miaka nao ni wengi tu. Mungu atusaidie kwenye ndoa zetuHao wanaohesabu miaka ya ndoa tu bila kujali kama kuna amani na furaha ni utitiri
Mapenzi ya kweli yapo lakini ni nadra sana kuyapata.
Hahahaa.. Hasa katika hili kipindi Cha uncle kidevuuTrue love haliendani na njaa na akili za kiafrika.
Hahahaa.. Hasa katika hili kipindi Cha uncle kidevuuTrue love haliendani na njaa na akili za kiafrika.
Hahahaa.. Hasa katika hili kipindi Cha uncle kidevuuTrue love haliendani na njaa na akili za kiafrika.
Money can buy you a very nice lifestyle, also money can fix few problems but money can't buy you happiness.pesa inasaidia sana kwenye eneo hili la mapenzi,japo baadhi wanabishana na ukweli huu.Mapenzi ya aina yoyote ni aghali na hiyo gharama inahusisha ankara [emoji383]
At that juncture you can then make a difference of the two 'happiness ' vs 'love' it's absolute money has got no guts to buy happiness but it can on love!Money can buy you a very nice lifestyle, also money can fix few problems but money can't buy you happiness.
Mapenzi ya kweli yapo lakini ni nadra sana kuyapata.
sasa mkuu watu wakikaa miaka 35 whatever happens hao ni wakuwapongezaKuna watu wanavumilia ndoa zao, na kuna watu wanaoenjoy ndoa zao. So wanandoa kudumu kwenye ndoa yao kwa miaka 35 doesn't always guarantee kwamba wana mapenzi ya dhati. Inawezekana wanaishi tu pamoja ila in reality walishaachana zamaniiii, maana waafrica kutalikiana mmh. True love haibagui hata
Can you read what you have written please. Your comment is flawed with errorsAt that juncture you can then make a difference of the two 'happiness ' vs 'love' it's absolute money has got no guts to buy happiness but it can on love!
Please help me correct them if you find any mistakes,I figure it's flawless! [emoji52] I value ur help,karibu lugha ya watu hii!Can you read what you have written please. Your comment is flawed with errors
You could write your comment like thisAt that juncture you can then make a difference of the two 'happiness ' vs 'love' it's absolute money has got no guts to buy happiness but it can on love!