Ukweli mchungu: Wanaume hupenda mwanamke malaya kuliko mtulivu. Ndiyo maana malaya wana bahati ya kuolewa mapema kuzidi wengine

Ameshindwa hata kuwaza wale wanafunzi Malaya vyuoni huwa siyo wasomi?
Hajawahi kuona profesa kapigishwa got na household
Pia Malaya si lazima ajipange barabara, wengi wanaoa Malaya bila kujua.
Ila wanabadilika wakishaolewa maisha yanasonga
 
Muongo ,mwanamke aliye tulia na asiye na mambo mengi ana 95% ya kuolewa. Mwanaume anapotaka kuoa anakuwaga makini sana, kutafuta mwanamke aliye tulia sababu wanaume tunatafuta mwanamke atakekufanya utulie na uwe na amani ndani na nje ya nyumba ili utafute hela vizuri.

Sasa wadanganye wadanki danki kisha wakutane na rungu la kipepe ,mimba then single mother.
 
Hakuna Mwanaume mwenye akili timamu akaoa Mwanamke Malaya.

HII SIYO KWELI.
 
Bahati mbaya nyege na akili hazina uhusiano
Kama hazina uhusiano,nakupa kazi utenganishe akili na nyege. Ukiweza kufanya hivyo naacha kutumia hii ID.

Pili,mfano wa kitambi na pesa huu si sawa na nyege na akili. Sababu nyege ni hisia na kitambi ni maumbile ? Vipi ulinganishe vitu visivyo fanana ?
 
Mfumo wa matamanio kwa mwanaume umekaa kama haja! Ukibanwa sharti ujisaidie hata porini almradi tu haja itoke!
Hii pia si kweli. Nikikuuliza ni ipi nafasi ya akili katika kuchagua kufanya au kutokufanya ?

Unao uzungumzia wewe ni uzembe na kuzembea. Si kila linalo kubana ulifanye lazima upime maslahi na hasara. Hapa ndipo kuna uhusiano kati ya nyege na akili. Huwezi kuitenganisha nyege na akili,labda uwe huijui akili ni nini na nyege hujui nyege ni nini ?
 
Ukweli ni kuwa wanao oana huwa wanafanana. Malaya huoa malaya mwenzake,mshirikina huoa mshirikina mwenzake au mfano wake.
 
Wanaume wote tunatamaa
Kwahiyo kama tunatamaa,ndiyo inakuwaje ? Sasa kazi ya akili kwako ni nini ?

Ukiona unaweza kufanya jambo fulani basi kaa ukijua unauwezo wa kuacha kulifanya pia. Kwa minajili hii huna hoja ya kutetea huu ujinga zaidi ya uzembe na kujiendekeza. Ndiyo maana sisi Waswahili huwa tunasema hivi "Tamaa mbele mauti nyuma" . Una maana sana huu msemo.
 
Unstakiwa useme tunapenda wanawake watundu kitandani.
Mwanamke mtundu unamjuaje ? Kabla ya kumuoa au baada ya kumuoa au kwa kuambiwa na wanao mjua ?

Maana yake kama ni kabla hapa hutoki katika hili yaani na muhusila lazima uwe mzinifu ndiyo umpate mzinifu mwenzako.

Nini maana yake,mtoa mada alitakiwa mada yake aipe jina hili "Wanaume Malaya hupenda kuwaoa Wanawake Malaya".
 
Huu ndio ukweli, na ukitulia ukitafakari utagundua kuna ukweli mkubwa mno katika hiki ulichoandika.
Mimi binafsi huo ukweli sijauona,samahani unaweza kunionyesha huo ukweli baada ya wewe kutulia na ukatafakari hilo ?
 
Pia Malaya si lazima ajipange barabara, wengi wanaoa Malaya bila kujua.
Ila wanabadilika wakishaolewa maisha yanasonga
Ukifuatilia kwa umakini kutafuta definition ya malaya,watakaobaki salama ni wachache sana...
 
Mleta mada ungekuja na kautafiti ka hata watu 100 from a population hoja zako zingeweza kuwa na mashiko

Lakini umeandika kwa hisia na kugeneralize mambo sana na sijafanikiwa bado kung'amua nia na dhumuni la bandiko lako ni kushawishi wanawake wasijitunze ili waolewe au ?

Vinginevyo japo najua utashambuliwa lakini naamini una uhuru wa maoni na tunalazimika kuheshimu maoni yako ushauri wangu ni rudi fanya kautafiti kadogo kisha rudi na majibu hapa kwa ajili ya mjadala mwingine
 
Mwanamke malaya ni nani ?

Na ni kwa mujibu wa marejeo gani unatafsiri mwanamke malaya ?
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…