Ukweli mchungu kuhusu Ndoa za Kiafrika!

Ukweli mchungu kuhusu Ndoa za Kiafrika!

Ukisema uzisakanye umri nao hausimami, unakuja kujikuta mtoto badala ya kukuita baba ana kuona babu kama kina Pascal Mayalla.

sasa muda wa ku enjoy uzee wewe uko bize kukimbizana na nani hajafanya homework, nani kazira kula ohh sio poa.
Kiukweli kuna joy fulani ya ziada kuwa baba babu.

Wale watoto wakubwa wote wako busy na maisha yao, hawana tena time na wewe!, wale wadogo wa baba babu, ndio wako na wewe to warm the house.
P
 
Binadam mwenye akili timamu,hawezi kuoa ama kuolewa. Ndoa ni kwa wale wenye "UAK" Upungufu wa Akili Kichwani.
 
Afu baada ya miaka 15 ya ndoa hawaendi mahakamani tena,mwanamke ndo anaongea na mwanaume anasikiliza na wala hawana migogoro ya ndoa tena

Siku hz hii naiona sana kwenye jamii ni kama wazee wengi wameufyata
 
Back
Top Bottom