Ukweli mchungu kuhusu Ndoa za Kiafrika!

Ukweli mchungu kuhusu Ndoa za Kiafrika!

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
31,257
Reaction score
89,201
Siku ya kwanza, Mwanaume anasikiliza na Mwanamke anasikiliza, Padre ndio anaongea.

Mwaka wa kwanza wa ndoa, Mwanaume anaongea Mwanamke anasikiliza.

Mwaka wa pili, Mwanamke ndio anaongea. Mwanaume unasililiza.

Mwaka wa tatu, Mwanaume unaongea na Mwanamke anaongea, Majirani wanasikiliza.

Mwaka wa nne, Mwanaume unaongea, Mwanamke anongea, Majirani wanaongea, Wakwe wanaongea, Mashemeji wanaongea, hafu Mahakama ndio inasikiliza.
 
Ndoa ni muunganiko wa watu wawili walio ridhia kuishi pamoja kama mke na mume.

ili kuepusha migogoro ni kheri uchague mtu mnaye endana nae au aliye bora kimaadili, utu, imani, akili na hata utimamu wa kimwili na kiroho.

muda mwingine maisha yana changanya, sasa ukutane na mke au mume aliye changanyikiwa utajua hujui.
 
Kwenye kuchagua mwenza vijana tuna jipa matarajio makubwa Sana, tuna sahau furaha ya muda mfupi haishindi amani ya milele.

Vijana wa kiume utasikia awe na nyash, hips, mweupe, awe ana nata ili washkaji wapandwe midadi,
aisee huyo ni mke na si tangazo la mamisi au malaya wa. mtaa, ndiyo ana paswa kuvutia ila Kumbuka uzuri huisha, watu huumwa, huzeeka, mama bora hatoki bar ya element au kitambaa cheupe.

una leta msaidizi wa maisha na si secretary au barmaid wa. reception.
 
Kuhusu umri sahihi wa kuoa sijui, ila kuhusu kipato I got plenty of stories back in time kipindi nawaona mzee wangu na mkewe, wajomba zangu na hata family friends.

bro usi angalie sana hizi material things zita kuchanganya, hela au vitu havija wahi kutosha.

Kama mna kula milo 3-6, bills zina lipwa, afya na bima mnayo basi go ahead kaka thing's will sort out mbeleni.

Ukisema uzisakanye umri nao hausimami, unakuja kujikuta mtoto badala ya kukuita baba ana kuona babu kama kina Pascal Mayalla.

sasa muda wa ku enjoy uzee wewe uko bize kukimbizana na nani hajafanya homework, nani kazira kula ohh sio poa.
 
Kwahiyo we pundamilia mke hapaswi kuvutia?
 
Acha kelele wewe! We sema tu leo hela tunapataje?
 
Kuhusu umri sahihi wa kuoa sijui, ila kuhusu kipato I got plenty of stories back in time kipindi nawaona mzee wangu na mkewe, wajomba zangu na hata family friends.

bro usi angalie sana hizi material things zita kuchanganya, hela au vitu havija wahi kutosha.

Kama mna kula milo 3-6, bills zina lipwa, afya na bima mnayo basi go ahead kaka thing's will sort out mbeleni.

Ukisema uzisakanye umri nao hausimami, unakuja kujikuta mtoto badala ya kukuita baba ana kuona babu kama kina Pascal Mayalla.

sasa muda wa ku enjoy uzee wewe uko bize kukimbizana na nani hajafanya homework, nani kazira kula ohh sio poa.
💪💪
 
Kwenye kuchagua mwenza vijana tuna jipa matarajio makubwa Sana, tuna sahau furaha ya muda mfupi haishindi amani ya milele.

Vijana wa kiume utasikia awe na nyash, hips, mweupe, awe ana nata ili washkaji wapandwe midadi,
aisee huyo ni mke na si tangazo la mamisi au malaya wa. mtaa, ndiyo ana paswa kuvutia ila Kumbuka uzuri huisha, watu huumwa, huzeeka, mama bora hatoki bar ya element au kitambaa cheupe.

una leta msaidizi wa maisha na si secretary au barmaid wa. reception.
Pole sana mkuu umeongea kwa uchungu sana 😭
 
Back
Top Bottom