Ukweli mchungu kuhusu Magari used

Ukweli mchungu kuhusu Magari used

Ukinunua gari used/ mtumba, utabeba mzigo wote wa aliyepita nalo.
Dent, engine knock, interior mbovu – zote ni zako sasa.

Cha kuchekesha, yule mmiliki wa kwanza aloyekuuzia bado analiangalia kwa jicho la kumbukumbu, na kuna muda analitamani kabisa hilo gari aliendeshe tena.
Kila akikuona nalo barabarani, anajisemea:

“Hii ngoma nimesukuma zaidi ya km 200,000 kwa miaka niliyokaa nalo si mchezo.”

Atawaambia marafiki zake, majirani, na hata waliomshuhudia akilikabidhi kwa mwingine.
Na wengine walilitumia tu hadi likaisha radha, ulivyo bumunda ukanunua hivyo hivyo😀😀.

Na mbaya zaidi?

Mmiliki wa zamani bado ana spare key – anaweza kulifikia hilo gari lako muda wowote na akaliendesha so sad.

Mwandishi hauwawi kazi yangu ni kuwaandikia wamiliki wa magari used, kila la kheri kwenu wamiliki wa magari used.

kama unaplan kumiliki gari jitahid usiwe dereva wa gari lililopitia mikononi mwa kila mtu
Kama una nafasi – chukua jipya, uanze mwenyewe, na ulipe direction unayotaka.
Hii thread niliisoma humuhumu au mi ndo naishi mbele ya muda,maana nilishasoma🤣🤣
 
Toleo la 20, ila odometer ni kama tolea la 80/90s.
Japo magari used hayakwepeki, lakini tafuta refurbished.
Ila pia hili gari lidumu ni utunzaji, tununue magari tunayoweza kuya maintain.
 
Toleo la 20, ila odometer ni kama tolea la 80/90s.
Japo magari used hayakwepeki, lakini tafuta refurbished.
Ila pia hili gari lidumu ni utunzaji, tununue magari tunayoweza kuya maintain.
Mbaya zaidi aliyekua anaimiliki gari alikua anaihudumia vizuri, gari imeshazoea kwa wiki matumizi ya mafuta ni 500k halaf wewe unaweka mafuta ya 10k.

Hapa ndo unakuta hata gari yenyewe inatamani kurudi kwa mmiliki wa awali
 
Hapo ndio utajua nini maana ya Zombie
 
Sasa mkuu asilimia kubwa naona wengi sana wananunua magari used ...naona ni asilimia chache sana unakuta wananunua mpya 😂.....la sivyo tu uwe mzee wa magari ya day waka sana mpk utakapotulia ununue mpya
 
Gari used mbaya zaidi unakuta hata mfumo wa "eksozi" mtumiaji wa awali ameshauharibu, inatia hasira sana na unakuta umetoa hela nyingi kulinunua.
 
Sasa mkuu asilimia kubwa naona wengi sana wananunua magari used ...naona ni asilimia chache sana unakuta wananunua mpya 😂.....la sivyo tu uwe mzee wa magari ya day waka sana mpk utakapotulia ununue mpya
atleast upate gari ambayo imetembezwa kilomita chache na walau ilimilikiwa na mtu mmoja kabla yako
 
Gari used mbaya zaidi unakuta hata mfumo wa "eksozi" mtumiajia wa awali ameshauharibu, inatia hasira sana na unakuta umetoa hela nyingi kulinunua.
kwani hamfanyi testing kabla ya kununua magari?
 
Back
Top Bottom