ha ha labda kama huna plan ya kukaa na hilo li gari lililochoka kwa muda mrefuMzee kwani nawe si unakuwa ushaendesha gari nyingine,
Ununue gari mpya nawe uwe ndio dereva mpya.
We dereva ushaendesha mitandam huko, gari breki unauma meno, clutch unakanyaga mpaka mwisho kisha Leo unataka mpya, si utapasua CLUTCH.
Na wewe ushauza gari, bado unaitamani huo ni unywanywa, uliiuzia nini?
Masuala ya mabikra tunawaachia nyie,
Sisi tunataka mijitu konkodi, mguu wa mtoto wanaupaka asali, mara kalamba NYANYA MSHENZI
😂
u mean used women (non virgin ladies)???Ukinunua gari used/ mtumba, utabeba mzigo wote wa aliyepita nalo.
Dent, engine knock, interior mbovu – zote ni zako sasa.
Cha kuchekesha, yule mmiliki wa kwanza aloyekuuzia bado analiangalia kwa jicho la kumbukumbu, na kuna muda analitamani kabisa hilo gari aliendeshe tena.
Kila akikuona nalo barabarani, anajisemea:
“Hii ngoma nimesukuma zaidi ya km 200,000 kwa miaka niliyokaa nalo si mchezo.”
Atawaambia marafiki zake, majirani, na hata waliomshuhudia akilikabidhi kwa mwingine.
Na wengine walilitumia tu hadi likaisha radha, ulivyo bumunda ukanunua hivyo hivyo😀😀.
Na mbaya zaidi?
Mmiliki wa zamani bado ana spare key – anaweza kulifikia hilo gari lako muda wowote na akaliendesha so sad.
Mwandishi hauwawi kazi yangu ni kuwaandikia wamiliki wa magari used, kila la kheri kwenu wamiliki wa magari used.
kama unaplan kumiliki gari jitahid usiwe dereva wa gari lililopitia mikononi mwa kila mtu
Kama una nafasi – chukua jipya, uanze mwenyewe, na ulipe direction unayotaka.
NYANYA MSHENZI😄😄😄Mzee kwani nawe si unakuwa ushaendesha gari nyingine,
Ununue gari mpya nawe uwe ndio dereva mpya.
We dereva ushaendesha mitandam huko, gari breki unauma meno, clutch unakanyaga mpaka mwisho kisha Leo unataka mpya, si utapasua CLUTCH.
Na wewe ushauza gari, bado unaitamani huo ni unywanywa, uliiuzia nini?
Masuala ya mabikra tunawaachia nyie,
Sisi tunataka mijitu konkodi, mguu wa mtoto wanaupaka asali, mara kalamba NYANYA MSHENZI
😂
Vitoto vidogo lakini mambo makubwa, havipumzishi injini za vyenyewe.tena hizi gari new model nyingi ukinunua used ndo inakua imechoka zaidi
Magari mapya yoote nawaachia nyingi.ha ha labda kama huna plan ya kukaa na hilo li gari lililochoka kwa muda mrefu
Eehh . NYANYA MSHENZI 😂NYANYA MSHENZI😄😄😄
Gari ni gari, bibie mzuri ni bibie mzuri.Ukinunua gari used/ mtumba, utabeba mzigo wote wa aliyepita nalo.
Dent, engine knock, interior mbovu – zote ni zako sasa.
Cha kuchekesha, yule mmiliki wa kwanza aloyekuuzia bado analiangalia kwa jicho la kumbukumbu, na kuna muda analitamani kabisa hilo gari aliendeshe tena.
Kila akikuona nalo barabarani, anajisemea:
“Hii ngoma nimesukuma zaidi ya km 200,000 kwa miaka niliyokaa nalo si mchezo.”
Atawaambia marafiki zake, majirani, na hata waliomshuhudia akilikabidhi kwa mwingine.
Na wengine walilitumia tu hadi likaisha radha, ulivyo bumunda ukanunua hivyo hivyo😀😀.
Na mbaya zaidi?
Mmiliki wa zamani bado ana spare key – anaweza kulifikia hilo gari lako muda wowote na akaliendesha so sad.
Mwandishi hauwawi kazi yangu ni kuwaandikia wamiliki wa magari used, kila la kheri kwenu wamiliki wa magari used.
kama unaplan kumiliki gari jitahid usiwe dereva wa gari lililopitia mikononi mwa kila mtu
Kama una nafasi – chukua jipya, uanze mwenyewe, na ulipe direction unayotaka.
Hao wanawake sealed wapo wapi??tuelewe neno "gari" kwanza
Na huyo ndio atakua wife matirio😂😂😂😂😂Ukinunua gari used/ mtumba, utabeba mzigo wote wa aliyepita nalo.