Ukweli kwa walimu

Ni nani aliyepata À mathematics au À chemistry ni mwalimu, walimu wengi ni watu waliofeli darasani, Mtu akishindwa Maisha anakimbilia kusoma ualimu apate ajira mapema
Acha umbumbumbu walimu ni kada ya walio soma kuliko wote mf ngazi ya cheti kada zingine wanachukua kuanzia d 4 na kuendelea lkn ualimu ngazi ya cheti wanachukua division 3 we vipi unashindwa kujiongeza
 
Ukweli mchungu walimu wengi ni vilaza sana, watoto wengi hufaulu masomo ya science wakifundishwa mitaani na watu ambao sio walimu, walimu wengi walipata madaraja ya mwisho hata masomo wanayofundisha wengi walifeli
Acha zarau za kijinga,rais wa kwanza Mwalimu ,wa pili Mwalimu ,wa tano Mwalimu pamoja na wazir Mkuu.je kuna kada nyingine ilishatoa rais zaidi ya ualimu
 
Watu wengi ambao hawakusoma ualimu ndio wanaojua vizuri masomo ya hisabati, kemia na biolojia, Tatizo mfumo uliopo ndio uliwafanya wasome kozi zingine, Ukichukua watu waliosoma Engineering au Commerce wapo vizuri kwenye hesabu kuliko walimu waliosomea darasani.

Hivyo hawa walimu tulionao wa Science wengi ni vilaza sana, Fuatilia masomo ya kidato cha tano wengi hufundishwa na watu ambao hawana mpango wa ualimu na wapo vizuri, Naunga mkono serikali ikague vyeti vyao walipata nini huko sekondari, utawezaje fundisha hesabu kidato cha sita wakati ulipata herufi za mwisho darasani.

Mtoa mada rudi nyuma toka ulivyokuwa shule ya msingi na sekondari walioshindwa kusoma sayansi wengi wao walikuwa hawajiwezi, mpaka leo watoto wenye uwezo mkubwa darasani wanasoma sayansi,

wachache sana wanasoma arts kwa kupenda wengi uwezo mdogo ndo unawafanya wasome arts.

Walimu pia wanamadaraja mwalimu wa msingi, secondary na chuo, vigezo vya ufaulu ili kuwa mwalimu ni tofauti ktk kila daraja, lakini ualimu pia ni kada inayojali ufaulu mzuri kuliko kada zingine.

Kuna mainjinia na madaktari wameenda kwa ufaulu wakawaida sana kuliko hata walimu. pia kuna kutoka Form 6 kwenda chuo kusoma unachoweza na pia kuna njia za kuunga toka certificate mpaka PHD ukawa unavyotaka.

Kuwa mwalimu wa sayansi Tanzania/Africa sio kitu rahisi, wape credit zao. Ndo maana ni wachache wanaweza kuwa walimu wa sayansi au kusoma masomo ya sayansi ukilinganisha na arts au biashara.
 
Acha zarau za kijinga,rais wa kwanza Mwalimu ,wa pili Mwalimu ,wa tano Mwalimu pamoja na wazir Mkuu.je kuna kada nyingine ilishatoa rais zaidi ya ualimu

Zarau = dharau

Kumbe kutoa viongozi wengi wa keliserikali ni kipimo cha akili za darasani?

Na wewe ni mwalimu?
 
Mleta maada iweje mtu anaesoma engineering au commerce leo awe vema zaidi katka hesabu kuliko aliesoma darasan? Huyo anaesoma engineering unamanisha hajafundishwa na mwalimu huyo huyo unaedai kuwa kilaza, aisee aisee before you post anything think not only twice but thrice
 
Sio siri kila mtu anajua vichwa wote waliosoma PCM wanaenda engineering na wale wa PCB wanaenda udaktari.
Hiyo PCM AU PCB umeipataje pataje?ulifundxhwa na vilaza co?mbna ninyi wnafnz mna dharau xna!!akiwa anajufundxha darasan unamwita jembe.ukifanikiwa unamwita kilaza!!!Hya 2ambie,ina maana ww tangu drs la awali hadi hapo ulipo hesabu ulifundishwa na hao mainjinia co?
 
kama umesoma saikolojia vzr, utakua umeelewa tatizo la mtoa mada,, ameanza kwa kulalamika kua **watu waliosoma kozi tajwa ndio wanajua vzr masomo tajwa hapo juu bali ni mfumo tu ndo uliwafanya wasiende kwenye ualimu** sentensi hii inatupa taarifa nyingi sana khs huyu jamaa..naomba nitoe 2 tu lkn ikibidi badae nitamfafanua zaidi.
1.hana ajira na alikua na mategemeo ya kujichomeka kwenye ualimu nafikiri ile kauli ya jafo ilimpa faraja baada ya mambo kubadilika analalamika.
2.Ni m2 mwenye wivu,, fatilia conversion anazofanya na wadau hapo juu,, amesisitiza interview interview,, anatuonea wivu walimu kupata ajira bila interview.
.
.
.
naomba nikomee hapo nisitaje matatizo yake mengine ,, coz ndio kazi zetu walimu(education & social psychologists).tunajua mtoto alie lala na mwanaume usiku au kulala njaa kisha asubuhi akaja shule bila hata kumuuliza.
USHAURI: KAMA NI MWANAMKE PUNGUZA WIVU KILA SIKU UTAKUA UNAACHIKA..
 
wako watu walipata div 4(30) o*level wakakosa sifa za ualimu wakaenda vyuo vya ufundi wakasoma cert→dip→degree na ni engineers wzr tu je hw nao watasema engineer ni bora kuliko mwl au mtu aloenda kusoma commerce CBE kwa D 5 ambazo ualimu wa cert asingeweza kupata nfs??
 
Wewe BOD umeandika kiswahili au kimatumbi, Hujui kuandika wala kuunganisha sentensi unaleta kichefuchefu. Wewe unajiita mwalimu pia shame on you
 
Wewe BOD umeandika kiswahili au kimatumbi, Hujui kuandika wala kuunganisha sentensi unaleta kichefuchefu. Wewe unajiita mwalimu pia shame on you
Ndio mm ni mwl wa chemistry bt hw nafundisha form 1 & 2, sizidi hapo,,,STEREO CHEM,,ELECTRO CHEM,,ENVIROMENTAL CHEM N.K. hizo zote nimeachana nazo lakini niko TGTS *E* nimepanda kutoka *D* so tukishapigizana kelele huku mitandaoni badae natulia shm napiga vitu.. UNAWEZA KUTAFUTA TAKE HOME YA TGTGS *E* ujue raha niliyonayo mjini.
 
Watu wengi ambao hawakusoma ualimu ndio wanaojua vizuri masomo ya hisabati, kemia na biolojia, Tatizo mfumo uliopo ndio uliwafanya wasome kozi zingine, Ukichukua watu waliosoma Engineering au Commerce wapo vizuri kwenye hesabu kuliko walimu waliosomea darasani.

Hivyo hawa walimu tulionao wa Science wengi ni vilaza sana, Fuatilia masomo ya kidato cha tano wengi hufundishwa na watu ambao hawana mpango wa ualimu na wapo vizuri, Naunga mkono serikali ikague vyeti vyao walipata nini huko sekondari, utawezaje fundisha hesabu kidato cha sita wakati ulipata herufi za mwisho darasani.
Hvi hao walimu waliwakoseaga nn? Yan kila siku walimu hivi.. walimu vileee, muwaache watulie bas wafanye kazi kwa amani
 
Watu wengi ambao hawakusoma ualimu ndio wanaojua vizuri masomo ya hisabati, kemia na biolojia, Tatizo mfumo uliopo ndio uliwafanya wasome kozi zingine, Ukichukua watu waliosoma Engineering au Commerce wapo vizuri kwenye hesabu kuliko walimu waliosomea darasani.

Hivyo hawa walimu tulionao wa Science wengi ni vilaza sana, Fuatilia masomo ya kidato cha tano wengi hufundishwa na watu ambao hawana mpango wa ualimu na wapo vizuri, Naunga mkono serikali ikague vyeti vyao walipata nini huko sekondari, utawezaje fundisha hesabu kidato cha sita wakati ulipata herufi za mwisho darasani.
stres za kukosa ajira unamalizia kwa walimu...we jamaa vp?
 
Ndio mm ni mwl wa chemistry bt hw nafundisha form 1 & 2, sizidi hapo,,,STEREO CHEM,,ELECTRO CHEM,,ENVIROMENTAL CHEM N.K. hizo zote nimeachana nazo lakini niko TGTS *E* nimepanda kutoka *D* so tukishapigizana kelele huku mitandaoni badae natulia shm napiga vitu.. UNAWEZA KUTAFUTA TAKE HOME YA TGTGS *E* ujue raha niliyonayo mjini.

Ndugu,unajivunia take home ambayo hata bwana mdogo intern lab scientist aliyesoma miaka mitatu anakuzidi?

Watu tunatofautiana sana...Nikajua unakunja hata 2M kumbe laki saba

Hongera mkuu
 
Ndugu,unajivunia take home ambayo hata bwana mdogo intern lab scientist aliyesoma miaka mitatu anakuzidi?

Watu tunatofautiana sana...Nikajua unakunja hata 2M kumbe laki saba

Hongera mkuu
sijivuni but nimeridhika nayo sn na inatosha mahitaji yangu ya msingi na hiyo ndio tafsiri sahihi zaidi ya utajiri according to ** psychologists**
UTAJIRI= Kutosheka na unachopata + aman moyoni.
 
Msingida Utasubiri sana ajira za ualimu wa sanaa itakuwa ulimaliza 2015 sasa 2017 utastaafu kabla ya kufanya kazi, Mwalimu gani wewe umejaa matusi ndicho ulichojifunza huko Teofilo kisanji
 
Concept gani za kukariri wewe hata hujui application zake, chezea elimu ya kimerekani kuileta Tanzania, kama ungekuwa na concept usingelalamika kuhusu huu uzi, ungetumia concept hizo za physics kuleta mabadiliko na kupeleka kwenye vitendo, Hiyo science ya Teku au Tumaini hata kuandaa practical ni shiidaaa utawezaje fundisha watoto kama sio kuharibu Taifa
Hahahahahaah jamaa wewe sikuwezi! Ipo siku kama sio wewe nwenyewe basi mwanao atakuja kukuhadithia madini adimu niliyonayo ila hutajua kuwa ndio huyu unayebishana naye! Ahsante kwa changamoto unayotupa walimu wetu!
 
Usipanic kwa kukaa mtaani miezi sita mwalimu, There is life out of employment, kuna maisha mengine nje ya ajira, Ila kama ulimaliza chuo una miaka 23 mwaka 2015 Leo ni mwaka 2017.Tafuta kitu cha kufanya, mwaka huu kuna wengine watamaliza tena Just a reality joke
Mtoa mada naomba nikusahihishe hapa kidogo! Unahabari kuwa kuna wahitimu wa 2015 wa kada mbali mbali ikiwemo na ualimu wameshaingia tayari kwenye payroll ya serikali na wanaendelea kufurahia kuhitimu kwao?
 
Back
Top Bottom