Nikweli kabisa,na watu wengi wanadhani ualimu ni kutema material tu pale mbele ya wanafunzi basi hiyo inatosha,kumbe ni zaidi ya hapo,ikiwa ni hivyo kila mmoja anaweza kuwa mwalimuSi kila anaeliongoza gari kwenda mbele au nyuma basi ni dereva. Dereva ni lazima awe na mafunzo ya ziada kujua sheria mbalimbali za barabarani. Kwa uelewa huo huo mdogo hamishia kwenye ualimu utapata majibu
FactSi kila anaeliongoza gari kwenda mbele au nyuma basi ni dereva. Dereva ni lazima awe na mafunzo ya ziada kujua sheria mbalimbali za barabarani. Kwa uelewa huo huo mdogo hamishia kwenye ualimu utapata majibu
DhahiriNikweli kabisa,na watu wengi wanadhani ualimu ni kutema material tu pale mbele ya wanafunzi basi hiyo inatosha,kumbe ni zaidi ya hapo,ikiwa ni hivyo kila mmoja anaweza kuwa mwalimu
Walimu hakika ni vilaza mno.Ukweli mchungu walimu wengi ni vilaza sana, watoto wengi hufaulu masomo ya science wakifundishwa mitaani na watu ambao sio walimu, walimu wengi walipata madaraja ya mwisho hata masomo wanayofundisha wengi walifeli
Utabiri umetimiastress za kukosa ajira unaelekeza kwa walimu ???!!!!
Swali kuntu wakupe jibuSasa hao waliochukua engineering na commerce walifundishwa na nani?!
Na kama alifaulu mtaani anafanya niniNa mtu asikudanganye kwamba kazi hupatikana kwa kuwadharau walipo kazini huo ni ujinga na kukosekana kwa elimu ,wewe kama unafundisha hesabu na uko mtaani usidhaninkuwasema walimu walio kufundisha ukafika hapo ndio kutakufanya nawewe upate kazi ni kujichuria tuu maana hapo ulipo kama ulisoma umepita katika mikono ya hao hao unao unao wananga ,kwanza sina hakika kwanza kama hata shule umesoma maana msomi yeyote hujua umuhimu wa mwalimu haijalishi awaje ,na kwa akili hizi utakaa sana mtaani kijana huku ukiendelea na majungu yako ya kuwa nanga walio kupa ujanja,
Safi sana mkuuUkweli mchungu walimu wengi ni vilaza sana, watoto wengi hufaulu masomo ya science wakifundishwa mitaani na watu ambao sio walimu, walimu wengi walipata madaraja ya mwisho hata masomo wanayofundisha wengi walifeli
Kupata A ktk masomo hakumaanishi kuwa wewe unajua kufundisha. Kufaulu vizuri na kuweza kufundisha ni mambo mawili yasiyoendana.Ni nani aliyepata À mathematics au À chemistry ni mwalimu, walimu wengi ni watu waliofeli darasani, Mtu akishindwa Maisha anakimbilia kusoma ualimu apate ajira mapema