We jamaa hujui chochote Kuhusu Ualimu...Watu wengi ambao hawakusoma ualimu ndio wanaojua vizuri masomo ya hisabati, kemia na biolojia, Tatizo mfumo uliopo ndio uliwafanya wasome kozi zingine, Ukichukua watu waliosoma Engineering au Commerce wapo vizuri kwenye hesabu kuliko walimu waliosomea darasani.
Hivyo hawa walimu tulionao wa Science wengi ni vilaza sana, Fuatilia masomo ya kidato cha tano wengi hufundishwa na watu ambao hawana mpango wa ualimu na wapo vizuri, Naunga mkono serikali ikague vyeti vyao walipata nini huko sekondari, utawezaje fundisha hesabu kidato cha sita wakati ulipata herufi za mwisho darasani.
kitu ninachofahamu hata humu JF tupo tofauti.. kuna tanzagiza na tanzamwanga.. kuna spy na wanao refresh mind... hivyo mkuu nimepitia profile yako na link connection zako zote... nimegundua mengi so... sina argument tena na uzi huu...!

ha!!! ha!!! ha!!! ha!!! mbona uzi huu uliuruka mkuu...The end wewe ni mwalimu umepanic ndio maana nasema humu wanaolalamika ni walimu
Facilitator wakati huelewi unafacilitate nini, Wewe ulipata E mathematics A level umekaa chuo miaka 3 unarudi A level kuzidi kufacilitate E au, Ndio maana tunasema serikali iwa kague upya na wale walimu wa dot Com wafanyishwe interview ili tuanze upya, Ni muhimu nyie walimu mufanyishwe mitihani ya secondary kabla ya kuajiriwa tupime uwezo wenuWe jamaa hujui chochote Kuhusu Ualimu...
Advance level.. A teacher is only a facilitator.. He/she gives only 25% and 75% ni mwanafunz mwenyew..
Sasa hapo anyone can teach.. And be a good teacher..
Unless Kama ulisoma zile private pendwa mnatafuniwa kila kitu..
Hizo A, B, C, D, E.. Sio kipimo halisi.. End result ya mfumo wetu wa Elimu haiwezi ikadetermine uwezo halisi wa mtu..Facilitator wakati huelewi unafacilitate nini, Wewe ulipata E mathematics A level umekaa chuo miaka 3 unarudi A level kuzidi kufacilitate E au, Ndio maana tunasema serikali iwa kague upya na wale walimu wa dot Com wafanyishwe interview ili tuanze upya, Ni muhimu nyie walimu mufanyishwe mitihani ya secondary kabla ya kuajiriwa tupime uwezo wenu
Kumbuka shuleni hatufanyi kazi moja,sisi ni mahakimu,walezi,madoctor,wahamuzi sisi ni kila kitu sema nyie mnaona kimoja tu!!Aaah Nimbagonza haya yanafanana na wale wazee zamani vijijini anasema anajua vitu na alifaulu ukidai cheti chake anaishia kuwa mkali
Listen to me LadySomething, I was not ready for something you were up to..Utakua unaupungufu sio bure
Yes nimekukubali hiyo ndio sifa ya Mwalimu nimbagonza upo positive sana, Unajibu kwa kutulia wala hupanic, Nina uhakika hata watoto darasani wakisema hapo mwalimu hilo swali umekosea huwa hupanic Lakini unajifunza, Wengi huu uzi hawakutafakari kama wewe wameishia kuhisi hatupendi walimu sio kweli, Lengo lilikuwa kuangalia for Science Teacher's kwanini mpaka watoto wanachukua masomo hayo, Je ni walimu tulionao na kuwapata au kuna kingine, Thank kwa kuonyesha weledi you are a good teacher keep itKumbuka shuleni hatufanyi kazi moja,sisi ni mahakimu,walezi,madoctor,wahamuzi sisi ni kila kitu sema nyie mnaona kimoja tu!!
LogicSasa hao waliochukua engineering na commerce walifundishwa na nani?!
wanakuponda tu,ila uko sahihi sanaNi nani aliyepata À mathematics au À chemistry ni mwalimu, walimu wengi ni watu waliofeli darasani, Mtu akishindwa Maisha anakimbilia kusoma ualimu apate ajira mapema