Ukweli kwa walimu

Ukweli kwa walimu

Ukweli mchungu wengi mnaochangia ni walimu ambao mliingia vyuo kipindi cha kati 2005 mpaka 2017 ,kuanzishwa kwa Loan board na kutoa pesa kwa walimu kama kipaumbele kuliingiza vilaza wengi kwenye elimu hasa hawa walimu mara Voda fasta sijui tigo, Na ndio chanzo kuanza kuporomoka kwa elimu Ceteris peribus mambo mengine yapo
Ukweli upi? Usilete dharau na maisha ya watu wewe ukadhani kila mtu ni mdogo wako wa kumuweka kwenye hilo kundi,watu kama wewe ni wajinga sana wa Ku attack watu personal eti wengi .....wengi unawajua wewe? Unajua Mimi nna umri gani? Nna elimu gani? Tusizoeane maisha haya
 
Ahaaa Teacher's au Picture's, hawa walimu wa science wa sasa ni Pictures sio Teachers, Ngoja wafanyishwe interview na serikali ya hayo masomo ukweli utajulikana, Naamini wizara itaweka interview standard kupima Teachers na Pictures
Nilichokizungumzia hakiendani na ulichojibu,kasome upya alafu ndio unijibu
 
Nilichokizungumzia hakiendani na ulichojibu,kasome upya alafu ndio unijibu
Kwa ufupi serikali ipite Tuition centres nyingi iangalie wanaofundisha hayo masomo ni akina nani, Wengi ni Form Six leavers na Engineer's wanafundisha vizuri kuliko hao qualified Science teacher's ,Kwa Dsm kuna centre nyingi zinajulikana,

Hata member's wa Jf ambao wanaijua Dsm wanafahamu hizo Centre wanaofundisha ni nani, Hivyo huo ukweli kuhusu walimu wa science upo hivyo,

Serikali lazima ipunguze gharama kwa kuchukua walimu productive wa science na siyo kuajiri kundi kubwa lenye watu wasiotoa matunda hivyo interview nzito lazima zifanyike kupunguza idadi
 
Watu wengi ambao hawakusoma ualimu ndio wanaojua vizuri masomo ya hisabati, kemia na biolojia, Tatizo mfumo uliopo ndio uliwafanya wasome kozi zingine, Ukichukua watu waliosoma Engineering au Commerce wapo vizuri kwenye hesabu kuliko walimu waliosomea darasani.

Hivyo hawa walimu tulionao wa Science wengi ni vilaza sana, Fuatilia masomo ya kidato cha tano wengi hufundishwa na watu ambao hawana mpango wa ualimu na wapo vizuri, Naunga mkono serikali ikague vyeti vyao walipata nini huko sekondari, utawezaje fundisha hesabu kidato cha sita wakati ulipata herufi za mwisho darasani.
huyu bwana mtampuuza sababu ya uandishi wake lakini hoja yake ina mantiki ukiamua kutulia kumuelewa.
 
Ukweli upi? Usilete dharau na maisha ya watu wewe ukadhani kila mtu ni mdogo wako wa kumuweka kwenye hilo kundi,watu kama wewe ni wajinga sana wa Ku attack watu personal eti wengi .....wengi unawajua wewe? Unajua Mimi nna umri gani? Nna elimu gani? Tusizoeane maisha haya
Punguza hasira mwalimu
Jibu hoja zangu mnaogopa interview Safari hii eeh, Chezea ukipewa tena ile physics ya advanced kwenye interview utatoka wewe maana ulibahatisha inaonekana
What I have realized is that. Your chronological age doesn't
correspond to mental age and this makes your arguments to be childish. I'm not a teacher but I respect them a lot.
 
Punguza hasira mwalimu
Jibu hoja zangu mnaogopa interview Safari hii eeh, Chezea ukipewa tena ile physics ya advanced kwenye interview utatoka wewe maana ulibahatisha inaonekana
Everyone respect good teacher's but for those teacher's with Low skills no one shall respect them especially for science subjects teacher's, We do respect for what you produce
 
Watu wengi ambao hawakusoma ualimu ndio wanaojua vizuri masomo ya hisabati, kemia na biolojia, Tatizo mfumo uliopo ndio uliwafanya wasome kozi zingine, Ukichukua watu waliosoma Engineering au Commerce wapo vizuri kwenye hesabu kuliko walimu waliosomea darasani.

Hivyo hawa walimu tulionao wa Science wengi ni vilaza sana, Fuatilia masomo ya kidato cha tano wengi hufundishwa na watu ambao hawana mpango wa ualimu na wapo vizuri, Naunga mkono serikali ikague vyeti vyao walipata nini huko sekondari, utawezaje fundisha hesabu kidato cha sita wakati ulipata herufi za mwisho darasani.
Unapozungumzia Ualimu, unazungumzia taalum yenye ngazi mbalimbali. Kuna ualimu wa shule ya Msingi, upili, elimu ya upili ya juu, na Elimu ya chuo kikuu.

Unajua mwalimu aliyetoka chuo kikuu Kama Dar es salaam(Udsm) kuwa Kidato cha sita alipata Daraja gani??
 
yaani wee unadhani ualimu ni kuokotaokota walimu ni professional ambayo inahitaji weledi na maarifa ya kiualimu.Tuache dharau eti mtu wa Engeneering science afundishe wapi na wapi.
 
Unapozungumzia Ualimu, unazungumzia taalum yenye ngazi mbalimbali. Kuna ualimu wa shule ya Msingi, upili, elimu ya upili ya juu, na Elimu ya chuo kikuu.

Unajua mwalimu aliyetoka chuo kikuu Kama Dar es salaam(Udsm) kuwa Kidato cha sita alipata Daraja gani??
Udsm chuo na taasisi zake za kufundisha walimu Duce na Muce nafananisha na "Non Communicable disease "yaani magonjwa yasioambukiza wengi wa wanafunzi hapo vichwani wamebeba jina la chuo kuwa sisi ni sisi huku wakidhani mtaani waajiri hufuata jina la chuo kumbe hufuata uwezo wa mtu, Hili suala la Udsm nitakuja kulifafanunua siku nyingine kwa bahati mbaya nilisoma hapo shahada ya kwanza yaani nilipomaliza nilishangaa cheti changu kimeandikwa Bachelor (Hons ) wakati sio uhalisia na kuna wengi waliandikiwa (Hons ) kama mimi, mpaka sasa nilishuhudia Muce na Duce vikianzishwa ,Nitaweka uzi hapa wa udsm na matakataka yake, Nimeishi kwa bahati mbaya hapo miaka fulani nikisoma shahada ya awali, nitaleta evidence za Udsm na matakataka yao ila watu wa udsm wasipanic
 
Unaelewa qualifications za ualimu kwel WW? Bas km ww unaona madaraja ya E Na S co futa weka yakwako natumain ww n daktar
 
Kuna haja ya kuanza kuwaelimisha watu kama mleta mada kuwa si kila anaefaulu haendi ualimu kama unavyosema huo ni ujinga tu kujihisi ukiwa mwalimu utadharaulika Ila fahamu kuwa ualimu ni wito
 
Mnachekesha sana walimu yaani kuna kundi la 2015 halafu kundi la 2016 mnataka mpewe kazi kufundisha science tena kipindi hiki cha awamu ya viwanda bila interview, Haiwezekani kwenye hili taifa mtachujwa tu, najua wizara husika wanaelewa uwezo wenu kulinganisha na kada zingine, Upo above 21 yrs unataka upewe kazi buree na Serikali shall never happen again kwenye nchi hii
ndo maana nakuambia we hamnazo.. umekurupuka kabisa na kuniita mwalimu... kwa taarifa yako ropoka unavyoropoka ila hubadilishi kitu.. ajira zitatoka na hizo interview unazosema hazitakuwepo... pole kwa kuwaonea wivu walioona mbali zaidi ya akili yako!
 
namshauri mtoa mada aende jukwaa la jokes kule ndo sehemu yake... huku hatuwahitaji wenye akili za unyayo....
 
Usipanic kwa kukaa mtaani miezi sita mwalimu, There is life out of employment, kuna maisha mengine nje ya ajira, Ila kama ulimaliza chuo una miaka 23 mwaka 2015 Leo ni mwaka 2017.Tafuta kitu cha kufanya, mwaka huu kuna wengine watamaliza tena Just a reality joke
 
Kuna haja ya kuanza kuwaelimisha watu kama mleta mada kuwa si kila anaefaulu haendi ualimu kama unavyosema huo ni ujinga tu kujihisi ukiwa mwalimu utadharaulika Ila fahamu kuwa ualimu ni wito
Kama ni wito kwanini usijitolee kufundisha watoto wa mtaani ukawakusanya na kuanza kufundisha at your Home, You need salary sio ndio maana unalazimisha kuajiriwa bila interview, Serikali ipo najua italifanyia kazi kwa walimu wa science pia, Tunapongeza walichofanya kwa walimu wa Sanaa walikuwa wanapiga Story tu shuleni, Soma moja kiswahili walimu 32 shule moja no gharama better stop employing
 
Sindano mwalimu zinakuingia,, Awamu ya nne walimu mlibebwa sana mpaka vilaza, mnakaa kulazimisha ajira wakati masomo ya Science hamyawezi
Imebidi tu nicheke kuliko nifanye Kazi ya uwalimu ni bora hataniuze karanga
 
Imebidi tu nicheke kuliko nifanye Kazi ya uwalimu ni bora hataniuze karanga
Yes haya mambo yapo wazi Serikali inafahamu utakuta shule moja ina walimu 21 wote wanafundisha kiswahili tu, ukweli mchungu Lakini ndio ukweli, walimu wengi wakipangwa vijijini wanareport na kuanza kuomba kuhama, Bora walivyositisha ajira za sanaa pesa isomeshe watu wengine ,Tuambiane ukweli shule za mjini walimu wamezidi watawanywe huko vijijini na Ziwekwe sheria ngumu za kuhama
 
Screenshot_20170120-102447.png
 
The end wewe ni mwalimu umepanic ndio maana nasema humu wanaolalamika ni walimu
 
namshauri mtoa mada aende jukwaa la jokes kule ndo sehemu yake... huku hatuwahitaji wenye akili za unyayo....
Sindano zinakuingia wewe mwalimu huo ndio ukweli wa walimu
 
Back
Top Bottom