maslahi
Najua wapo ambao watakata huu ukweli..!
Ualimu ni Course ambayo inasomwa na watu wengi walipata ufaulu wa kawaida sana.
Watu wengi sana wenye uwezo mkubwa sana wa masomo ya Science, huwa wanandoto za kusoma Course ambazo zitawapatia Ajira yenye kipato kikubwa kuliko Ualimu.
shinikizo; Wazazi wetu, utasikia "mwanangu usuthubutu kusoma ualimu,utakufa masikini"
Ni wazi kuwa watanzania tumewekeza sana kwenye elimu tukiwa tunaamini Elimu ndio itatufanya tuyashinde maisha baada ya masomo, na kuwa komboawazazi na ndugu zetu pia, hivyo pia huwa tunapata hata mashinikizo kutoka kwa wazazi na ndugu zetu kuwa tusithubutu kuchukua Ualimu pale wanapotuona tunamudu masomo ya science, hutupendekezea Udaktari,Uhandisi na kazi nyingine zenye mshahara mzuri.
Ualimu una dharaulika sana.