IGWE
JF-Expert Member
- Feb 3, 2011
- 9,714
- 8,118
ejoooobhaaa!
Fiki nnkamu...tukulonda ikisu ikipya=NWO
ejoooobhaaa!
freemanson at work
Ukiwa upo katika imani fulani itakuwa ni vigumu sana kuelewa hii mada.
Ndio hicho ambacho ninacho kiongelea msingi wa OWO ulijengwa katika msingi wa kuwagawa watu. Kidini, Kinchi na kikabila au kitabaka.
NWO lengo lake ni kuweka dunia kama planet as the one.
Hebu fikiria unasafiri kwenda nchi yeyote bure bila kulipa, unakula bila kulipa unakaa kwenye nyumba bila kulipa. Central system inashughulikia kila kitu duniani as one. Hapo hakutakuwa na utofauti mwenye nacho na asiye nacho na tutakuwa na better planet. Tutaanza kufikiria kwenda planet zingine. Please open your mind.
Tatizo lililopo ni kuitokomeza OWO ile ya kikatili ya kibaguzi na kutumikia watu wachache. I like NWO
Deceptions...dotrine ya lucifer...oneness haikupeleki popote hii new age religion inawapotosha wengi...hata Ophray alileta hii mada kwenye talk show zake wamama alimletea shida...Hivi wewe kama binadamu ukikaa usiku na mchana ukiangalia juu angani..hata basi zile images za hubble telescope utajua jinsi ulivyo mdogo the universe is infinity...sasa how can you redem yourself...ndo maana Yesu alisema yeye ndio njia na kweli...hakusema kwa kubatisha halijua watu kama nyie mtakuja potea njiani...Hiyo doctrine sio kabisa...hata Lucifer aliamini anaweza kuwa mungu now he is working among us...
Mkuu dunia ya sasa inapoenda you can not afford to be netraul, upepo wowote utakao vuma utakupeleka..na ninaamin kila mtu ana imani yake either your luciferian or God believer...kama hupo hapo katikati ni mbaya kwasababu ujui unapoenda ni kama kipofu tu...Heri kuamin kuna Mungu alafu umkose, kuliko kuamini hakuna Mungu halafu umkute
Huo udogo unaouongelea hata yesu alikuwa nao
Hizo ni kauli za kujikatia tamaa mzazi
Ndugu unanikwepa sana. jibu hoja zangu namba 273 na 276 ili twende sawa. ulisema utajibu naona unajibia pembeni kukwepaUkiwa upo katika imani fulani itakuwa ni vigumu sana kuelewa hii mada.
Naushindwe kwajina la Bwana wetu Yesu Kristo
Open your mind
Mkuu dunia ya sasa inapoenda you can not afford to be netraul, upepo wowote utakao vuma utakupeleka..na ninaamin kila mtu ana imani yake either your luciferian or God believer...kama hupo hapo katikati ni mbaya kwasababu ujui unapoenda ni kama kipofu tu...Heri kuamin kuna Mungu alafu umkose, kuliko kuamini hakuna Mungu halafu umkute
Nilikuwa nina fikiria sana ninamuna gani ninaweza kukujibu. Na nimejaribu kukujibu kwa njia fulani lakini kwa kweli umeshindwa kunielewa.
View attachment 299038
Hivi ndio vitu mnataka tuamini? Where is the free mind wakati mmeshamuweka huyo joka lenu. Mbaya zaidi mnamuweka Lucifer katika utukufu fulani. Nimejaribu kusoma huo upuuzi huko nikakuta nako kuna mkanganyiko kweli. Yaani picha, clips, maelezo ni very confusing. Ni ushetani fulani, japo si kila lililoandikwa huko si sahihi. Na hii ishu ya mpinga Kristo niliisikia kitambo sana kabla hata sijabalehe, miaka ya themanini huko. Naona sasa mambo yanaanza kujidhihirisha. Labda uniambe kuwa hao walioweka OWO ndio wanaoiweka NWO na si vinginevyo.
Fiki nnkamu...tukulonda ikisu ikipya=NWO
Dunia ya sasa haina uhusiano wowote na swala lako la kuwa bendera fata upepo, na kuna watu wa aina nyingi kuliko hao ulowataja. Na wala sio lazima uwe luciferian wala God believer.
Hii kauli yako tu ya kuwa ni heri kuamini kuna Mungu halafu umkose kuliko kuamini hakuna Mungu halafu umkute inadhihirisha jinsi ambayo mnabahatisha na wala hamjui unachokiamini.
Kwa taarifa yako tu ni kwamba sio kwamba tunaamini hakuna Mungu, bali ndivyo ilivyo kwamba Mungu hayupo hiyo sio imani.
Imani ni hiyo mnayoamini kuwa Mungu yupo wakati mnajua fika kuwa hilo swala halina ushahidi wowote ule.