Ukweli kuhusu wewe na dunia

Ukweli kuhusu wewe na dunia

So there has no other power iliyotumika kuzaliwa kwako rather than yourself?.na kama ipo ni ipi?unaitukuzaje?

Kukosa jibu la swali fulani, isiwe kigezo cha kusema mungu yupo!

Je? Siku ukipata jibu la swali lako utakubali kwamba huyu mungu ni wa hadithi tu?
 
Annael uko vizur endelea kutufumbua binaadamu tumepewa akili ya kujitambua tunatakiwa tutambue mambo mengi ktk dunia hii ni vibaya sana kufa ukiwa hujatambua mambo mengi ya kidunia
 
Hebu wachangiaji wa uzi huu acheni matusi. Mleta uzi hajamtukana mtu, kwa hiyo changieni kwa hoja na sio kutukana.Kama huna la kuchangia uzi zipo nyingi JF ,hamia huko.
 
So there has no other power iliyotumika kuzaliwa kwako rather than yourself?.na kama ipo ni ipi?unaitukuzaje?

Power unayo mwenyewe hivyo kama ni kujitukuza jitukuze mwenyewe.
 
Hebu nawaomba tena mjaribu kusoma hapa ili tuende pamoja

During waking, the consciousness in the left brain is presented with sensory data pertaining to the external world. During sleeping (dreaming), the consciousness in the left brain is presented with non-sensory, emotional and intuitive visions and symbols pertaining to the right brain (unconscious).


So, when we are awake, we look out to the world and, when we are dreaming, we look into our own unconscious. It's from the unconscious that religion and conspiracy theories come, and they are devoid of reason and logic. That's a simple fact whether you like it or not. Anything that is not about mathematics is pure and utter bullshit, and always will be. Even science is discredited by not being nearly mathematical enough and privileging sensory information over mathematical rationalism.


The smartest people are humanity's salvation. That's the bottom line. Where do you stand? Are you for or against the rule of reason? Will you defend ludicrous stories against ontological mathematics? Then you are one of the fools who will in due course be crushed by the truth, by reason itself.


Humanity will either embrace Reason or perish. Muslims in mosques will not build starships that take us to the ends of the galaxy. Conspiracy theorists will not transform our world into paradise. But mathematics will.

Wewe jamaa unapotosha watu...unapuuza uwepo wa lucifer, kama vile hayupo, halafu ndo propaganda ya watu kama nyie mnao amini katika New age momevent, mnajaribu kuwadisconnect watu na extra dimension infinity (God)...prophecy lazima itimie lakin usiwambie watu NWO ndo solution never kwasababu ndo begin of all misery...Solution ni save your soul from be corrupted by the fallen and only by attach yourself to God
 
naomba nkufahamishe kitu anaeli, yawezekana unachoongea ni sahih lakin inatakiwa ukubali kabsa kuwa nivigumu sana watu kukuamini coz hata hii imani tulionayo kwa sasa walichukua mda mrefu sana ku2pandikiza, tena sana! hz dini tunazoziamin zililetwa na watu wa magharibi, swali langu ni hili hapa 1. hawa waliotengeneza bible&quraan, walitoa wapi habar zote zile yn source of information yao ilitoka wp? kupitia hlo utanifanya niweze kuamini kitu flan juu ya hvo v2. 2. Hayo ulioyazungumza nimeyaelewa sana na ukifikiria vizur yanaukweli ndani yake, sasa hao waliokuwa wakwaanza kuanza kuaminisha walimwengu hyo maswala walipewa huo ufaham mkubwa kias hcho na nani? Mana inahtaj ufaham mkubwa mno. Na kwa nin hyo elimu au ufahamu unakuzwa secretry sana. 3. Nan alikua binadam wa kwanza kuja duniani na aliletwa na nan, kama hakuna bs binadam(yn wew) umetoka wapi. Vitabu vya dini vinasema tuliumbwa na tumeviamini kwa sababu hakuna simama nakudhihrisha kwa hapna tujaumbwa, na akatoa evidence kuwa tumetoka wapi? Nijibu plz
 
Ndugu point yako ni nini hasa? Hebu ninakuomba utoe duku duku lako tuweze kujadili.
Ningekuomba ufuatilie nilikuwa naongelea nini. Na hayo unayoongezea ninadhani ni ya kwako.

No one's coming to save us. We must save ourselves. We condemn all those who claim that human beings are not potential Gods. God is not outside you - he IS you. God did not create the universe: the universe created God. The "First God" - Abraxas - is the divine template. We all have the opportunity to join Abraxas in a Community of Gods who know everything and have absolute power. Moreover, this can be proved as a matter of science, philosophy and, above all, mathematics - the sole source of absolute truth.
images.jpg

Hivi ndio vitu mnataka tuamini? Where is the free mind wakati mmeshamuweka huyo joka lenu. Mbaya zaidi mnamuweka Lucifer katika utukufu fulani. Nimejaribu kusoma huo upuuzi huko nikakuta nako kuna mkanganyiko kweli. Yaani picha, clips, maelezo ni very confusing. Ni ushetani fulani, japo si kila lililoandikwa huko si sahihi. Na hii ishu ya mpinga Kristo niliisikia kitambo sana kabla hata sijabalehe, miaka ya themanini huko. Naona sasa mambo yanaanza kujidhihirisha. Labda uniambe kuwa hao walioweka OWO ndio wanaoiweka NWO na si vinginevyo.

 
Power unayo mwenyewe hivyo kama ni kujitukuza jitukuze mwenyewe.

Maybe yes but hiyo power ambayo unasemea ipo before mtu hajazaliwa? kuna mtu anajicontrol kabla hajazaliwa?who gave you that power?na nini anataka in return as payment?
 
Kukosa jibu la swali fulani, isiwe kigezo cha kusema mungu yupo!

Je? Siku ukipata jibu la swali lako utakubali kwamba huyu mungu ni wa hadithi tu?

Mkuu nina maswali mengi sana, kitabu cha dini yangu kimeyajibu but wa upande wako hawawezi kujibu so nnapouliza swali ni kwamba limeshajibiwa kidini,ila sio mbaya kukaa upande wa wasiojua na kuuliza swali kwa upande mwingine.Haya matendo tunayofanya duniani hasa mabaya kama umefanya ndo umefanya inabaki hivyo?.Yaani no justice mbele?mtu akikuua na sheria za duniani hazikuwa na effect ndo inakuwa over?
 
Ndio hicho ambacho ninacho kiongelea msingi wa OWO ulijengwa katika msingi wa kuwagawa watu. Kidini, Kinchi na kikabila au kitabaka.
NWO lengo lake ni kuweka dunia kama planet as the one.
Hebu fikiria unasafiri kwenda nchi yeyote bure bila kulipa, unakula bila kulipa unakaa kwenye nyumba bila kulipa. Central system inashughulikia kila kitu duniani as one. Hapo hakutakuwa na utofauti mwenye nacho na asiye nacho na tutakuwa na better planet. Tutaanza kufikiria kwenda planet zingine. Please open your mind.

Tatizo lililopo ni kuitokomeza OWO ile ya kikatili ya kibaguzi na kutumikia watu wachache. I like NWO
Wewe ni kati ya wapumbavu waliosalia. Hao wenye huo mfumo mpya waanze kwanza kubadili rangi na mionekano ya watu ili ifanane dunia nzima. Hali ya hewa ya uswis ifanane na ya Sudan. So sad you are preaching nonsense. Unazungumzia free mind and people wakati tayari kuna central system itakayoshughulikia kila kitu? How can you allow that wakati na wewe tayari ni god? Je huyo aliyeko kwenye hiyo cebtral system ni rational kiasi gani kuona watu wote wanatumia kila kitu kwa usawa? Talking about communism? mfumo uliofeli? meaning from each according to his produce to each according to his needs? inawezekana? Ni nani atazalisha na ni nani atasimamia mgawanyo sawa? Nadharia za kishetani hizo.
 
Kwahiyo kuzaliwa binadamu ndio kinakufanya ukubali mungu yupo?

Sio Niamini Kama Mungu Yupo,nataka Kujua Kitu Gani Kinatokea Hapo Kati Mpaka Wewe Unazaliwa Binadamu,na Si Kiumbe Mwingine?Na Kama Mungu Hayupo Who Made This World?
 
Sio ninadhani! Mimi najiamini mwenyewe kwa sababu bado sijajua hiyo mamlaka unayoisema wewe

Kama unamjua huyo mungu kwanini usimthibitishe hapa na sisi tumkubali? Kumbuka nataka kujua na sio kuamini au kudhani

May I Ask You Something,what Is The Really Foundation Of All Humanbeings?
 
Deceptions...dotrine ya lucifer...oneness haikupeleki popote hii new age religion inawapotosha wengi...hata Ophray alileta hii mada kwenye talk show zake wamama alimletea shida...Hivi wewe kama binadamu ukikaa usiku na mchana ukiangalia juu angani..hata basi zile images za hubble telescope utajua jinsi ulivyo mdogo the universe is infinity...sasa how can you redem yourself...ndo maana Yesu alisema yeye ndio njia na kweli...hakusema kwa kubatisha halijua watu kama nyie mtakuja potea njiani...Hiyo doctrine sio kabisa...hata Lucifer aliamini anaweza kuwa mungu now he is working among us...
 
Back
Top Bottom