Ukweli kuhusu wewe na dunia

Ukweli kuhusu wewe na dunia

Hiyo inayoleta hizo vita ni OWO iliyotugawa sisi kwa matabaka. Imetugawa Kidini, Kinchi, kimakundi nk.
Lakini NWO inatuweka pamoja na hakutakuwa na nchi ya kujitegemea maana tutakuwa na serikali moja. Hakuna mtu atakayekuwa (pekee yake ) anamiliki uchumi Hakuna ubepari.

Be Illuminati upate mwanga.

Lakini mkuu vurugu zote hizi duniani unataka kuniambia kwamba ipo siku dunia itakuwa moja?au mwenzetu upo sayari nyingine na niliyopo mimi,umesikia kilichotokea jana Garissa Kenya,unayasikia yanayotokea Iraq na Syria waarabu wa #ISIS kwa visasi vyao wanawachinja mateka wa kizungu,wenyewe kwa wenyewe wanachinjana yaani ni kusema kwamba Palestine itokee siku akae na Israel wawe kitu kimoja bila vurugu zozote,America na vitisho vyote vya kigaidi aruhusu unknowns people waingie na kutoka bila searching yoyote airport na ktk vituo vya treni? Annael labda uniambie hao unaosema sijui NWO wataleta gharika kama aliyoileta Mungu kipindi cha Nuhu iangamize dunia nzima then hao watakaoishi baada ya hapo ndo wataiishi hiyo NWO yao ila sio kizazi hiki ni kujidanganya kaka.
 
Last edited by a moderator:
Lakini mkuu vurugu zote hizi duniani unataka kuniambia kwamba ipo siku dunia itakuwa moja?au mwenzetu upo sayari nyingine na niliyopo mimi,umesikia kilichotokea jana Garissa Kenya,unayasikia yanayotokea Iraq na Syria waarabu wa #ISIS kwa visasi vyao wanawachinja mateka wa kizungu,wenyewe kwa wenyewe wanachinjana yaani ni kusema kwamba Palestine itokee siku akae na Israel wawe kitu kimoja bila vurugu zozote,America na vitisho vyote vya kigaidi aruhusu unknowns people waingie na kutoka bila searching yoyote airport na ktk vituo vya treni? Annael labda uniambie hao unaosema sijui NWO wataleta gharika kama aliyoileta Mungu kipindi cha Nuhu iangamize dunia nzima then hao watakaoishi baada ya hapo ndo wataiishi hiyo NWO yao ila sio kizazi hiki ni kujidanganya kaka.

Kuna movement inakuja na itabadilisha kila kitu hiki ni kipindi cha mwisho. Kunawatu nyuma ya hayo wanachelewesha kwa ajili ya manufaa yao wenyewe. Waisrael na wapalestina wanafitinishwa. Mda ukifika wa kutofitinisha na kuanza kuhubiri amani kwenye vyombo vya habari ndipo utakapo ona Mbinguni hapa hapa duniani.

Hii movement inaondoa mizizi yote ya OWO na kupanda kitu kipya.
 
Many Protestants subscribe to a theological doctrine called "Total Depravity", which proclaims that all human beings are fallen, indelibly stained with original sin, and utterly depraved, with no hope of redemption through their own efforts. They are unable to follow God and to accept his gift of salvation without God's direct intervention and his bestowal of grace upon those who are irredeemably corrupt and damned. Humans are literally incapable of being godly. Sin is intrinsic to humanity, so our "free will" cannot avoid it. Our choices invariably reflect our sinfulness. We cannot freely choose the path of God. We do not and cannot choose to be saved – we are far too wicked. We are entirely at God's mercy.

Of course, the logical outcome of this position is that we have no free will to commit genuinely good acts; they are always beyond us. That's no problem for Protestants. They believe in predestination, the horrific concept that our ultimate fate is determined by God when we are born and, through a random process, he makes a few of us the "elect" and the rest of us the damned who will certainly go to hell. (So much for a God of love, forgiveness and compassion.) And now you begin to see where the Old World Order get some of their ideas from: they are the chosen ones – the elect – and we are the damned who deserve to be treated with absolute contempt.
 
Nimesoma pachiko lako lote, na nilichokiona ni kuwa, unatangaza ushetani katika vazi la NWO basi. Hebu niambie, je NWO inaweza kujibu haya maswali?.
1. Kwa nini kuna dunia?
2. Kwa nini dunia ina watu?
3. Kwa nini kuna matatizo duniani?

4. Je, mtu akishakufa anaenda wapi?
Kama hao wapuuzi wa illuminat wanaweza kuwa na majibu ya maswali hayo, sitakuwa na maana ya kusali.
 
HOW TO REDUCE RELIGIONS

1) Abrahamism.
Gap between humans and God = infinity. Humans are zero in value.
2) Enlightenment.
Gap between humans and God = zero (ultimately). Humans are infinite in value (ultimately). (Pantheism - the idea that God is everywhere, that God is Nature, hence that we are all part of God, is a special case of enlightenment thinking.)
3) Polytheism.
The gods are superbeings; powerful but not of infinite power. The gap between the gods and humanity is neither infinite nor zero. The gods are magnified humans, subject to the same passions and weaknesses (like the Greek gods of Olympus).
4) Atheism.
There are no gods. The gap between humans and gods is zero because gods don't exist.
5) Agnosticism.
Agnostics don't know whether gods exist or not. Hence no gap between gods and humans can be defined. They do not subscribe to any extremist positions because they are not in a position to do so.


So, you see how even in religion, zero and infinity control the entire discussion. And you see how easy it is to reduce all of the apparent complexity of the thousands of religions that exist in the world to just five basic positions.


The Torah, the Koran and the Bible are regarded by Jews, Muslims and Fundamentalist Christians as the infallible Word of God that must never be questioned. These people regard these "holy" texts as infinitely true, hence anything that contradicts them must be infinitely false. Virtually 100% of religious fundamentalists believe that God literally made the world in six days and rested on the seventh, and that this took place within the last four thousand years or so. Almost all Muslims, Orthodox Jews and Christian Fundamentalist reject Darwin's Theory of Evolution. So, there can be no question that believing in these books makes you infinitely stupid. Islam will get more and more backward as it clings to a text that stands in direct opposition to science and technology. Over a billion people, because of their inflexible, "infinite" belief, will fall further and further behind everyone else. In a million years from now, they will be infinitely far behind and they will be living in caves clutching tattered copies of the Koran and they will no longer be recognizable as members of the human race. That's how dangerous it is to attach yourself to the wrong religion, a religion literally going backwards. With every passing year, the Abrahamic faiths fall further behind.
 
View attachment 240091
Jicho la tatu ndilo linalotufanya tuone vitu kwenye ulimwengu wa 4D.
Kwa sababu ni mda mrefu sana haujawahi kulitumia jicho hilo ni vyema kuanza kufanaya mazoezi jinsi ya kulitumia. Tafuta sehemu iliyotulia. ambayo hakuna kelele kelele. Au ikiwezekana jifungie chumbani na uzime taa.

Hatua utakazo fanya ni unakaa vizuri mikono yako weka kwenye magoti.
Fumba macho yako haya mawili. Kaa kimya kwa mda wa dakika kama 6 - 10 hivi. Vuta hewa kwa kutumia pua na itoe kwa kutumia mdomo. Fanya hivyo taratibu taratibu. wakati mwingine ukiwa unaanza utasikia kichwa kinauma. Usihofu hiyo ni kawaida.
Anza kutoa sauti kwa taratibu ukisema MEYIIIIIIIIIIIIII, MEYIIIIIIIIIII. Bada ya mda jicho la tatu litaanza kufunguka taratibu. Kwa sababu mda mrefu hujawahi kulifumbua utaona giza giza vitu vitu usivyo vielewa. Fanya hivyo kwa mda wa wiki mbili tayari utakuwa umezoea utaanza kuwa na uwezo sana.

Utaanza kujua vitu vingi sana na kuanza kujielewa sasa wewe ni nani na unanguvu gani. Nitakueleza siri hiyo wanatumia akina nani na inaleta matokeo gani. Hakuna uchawi hapa mtu asikudanganye. Ni wewe tu jinsi ya kujielewa.

freemanson at work
 
Nimesoma pachiko lako lote, na nilichokiona ni kuwa, unatangaza ushetani katika vazi la NWO basi. Hebu niambie, je NWO inaweza kujibu haya maswali?.
1. Kwa nini kuna dunia?
2. Kwa nini dunia ina watu?
3. Kwa nini kuna matatizo duniani?

4. Je, mtu akishakufa anaenda wapi?
Kama hao wapuuzi wa illuminat wanaweza kuwa na majibu ya maswali hayo, sitakuwa na maana ya kusali.
Je unafahamu Cosmic energy? Je umewahi kusoma kuhusu Element?
Na ukiangalia maswali uliyouliza unataka kutuaminisha kuwa uwepo wa OWO ndio sahihi. Socrates alisema hata kama sina majibu mimi hapa kuna mtu atatokea mmoja duniani na kuprove kuwa dunia imetokea wapi.

Hapa tunataka proof za Kihisabati na sayansi isipokuwa na proof za kisayansi ni upuuzi.
 
asee nimekufatilia vizur sana mtu ww uliyeweka hii thread na hayo mambo nimeskia kwa wengi ila ww umekuja kwa kuzunguka sana...ninafikiri sanaa haya ni mawazo ya waashi huru so upo katika kutangaza. maoni yangu kwa member wengine vitabu vya dini vinaonya kuwa huu ni wakati wa mwisho kwa hiyo shika sana kile ulichonacho...naamini imani uliyonayo ili usipotoshwe na mafundisho ya uwongo.....mimi ntabaki na macho yangu mawili hayo manne yatafuteni tu jamani mtanisimulia mnayo yaona
 
OLD WORLD ORDER
........... Msingi wa NWO unataka kuwafaidisha watu wote. Kuwa na kitu kimoja kwa ajili ya wote. kama kutumia pesa kutumia pesa ya aina moja kwa manufaa ya watu wote...............

...........Hebu fikiria unasafiri kwenda nchi yeyote bure bila kulipa, unakula bila kulipa unakaa kwenye nyumba bila kulipa.............

Sina uhakika kama unaelewa unachokiongea.Dunia nzima kutumia pesa moja,halafu hapohapo unasafiri,unakula na kuishi kwenye nyumba bure.Pesa ya nini?
 
Hebu funguka vizuri watu wakuelewe.,
kwaiyo mm hata nikisema "Haii" Haii" hlo jicho la tatu litafunguka?
 
........Lazima kuwe na system moja inayo simamia mambo yote Diniani ndio conflict zitaisha.
.....

Conflicts zitaishaje kwenye dunia ambayo pesa bado inatumika?Una muda gani tangu uanze kufuatilia mambo haya ya NWO?Nina wasiwasi na uelewa wako kuhusu NWO.

........Coflict zipo kwa sababu za Kidini, Kikabila, Kinchi nk. Lakini hayo yote yakiisha wanadamu tutaishi kwa raha bila kubaguana.....

Je hujui kwamba pesa ndio sababu kubwa kuliko zote ulizotaja inayosababisha matatizo tunayoyaona duniani?Kwa nini hujaitaja sababu hii?

.........Ni nchi kubwa kubwa ndio ambao hawataki NWO

Zitaje ni nchi gani hizo?
 
Je unafahamu Cosmic energy? Je umewahi kusoma kuhusu Element?
Na ukiangalia maswali uliyouliza unataka kutuaminisha kuwa uwepo wa OWO ndio sahihi. Socrates alisema hata kama sina majibu mimi hapa kuna mtu atatokea mmoja duniani na kuprove kuwa dunia imetokea wapi.

Hapa tunataka proof za Kihisabati na sayansi isipokuwa na proof za kisayansi ni upuuzi.

Nimepitia website uliyotoa. Kuna sehemu wameandika "how to become God". Kwa hiyo, kama mnatambua kuna kitu Mungu, ila ubishi tu. Ngoja niendelee kusoma zaidi huo upuuzi ili nipate namna ya kujibu.
 
Kama haumwamini MUNGU unamwamini Shetani kwani ni hiari yako kuchagua aina ya mfumo wa maisha.

Imani ni mapokeo ya kiroho, naona haujayaelewa mapokeo hayo ndio maana umetokea side B.
 
Hiyo inayoleta hizo vita ni OWO iliyotugawa sisi kwa matabaka. Imetugawa Kidini, Kinchi, kimakundi nk.
Lakini NWO inatuweka pamoja na hakutakuwa na nchi ya kujitegemea maana tutakuwa na serikali moja. Hakuna mtu atakayekuwa (pekee yake ) anamiliki uchumi Hakuna ubepari.

Be Illuminati upate mwanga.

khaaa! Humu hapanifai... NLIKUWA NAKUONA WA MAANA KUMBE NI KIBARAKA ULIYETUMA NA HAO FREEMASON?

Ety anasema kwenye hyo line yake ya mwisho ety "Be illuminati upate mwanga"

USHINDWE KWA JINA LA YESU
 
Dini zimeeanzia nyuma sana, nyuma enzi za ujima, hizi tunazozijua sasa hivi ni maotea tu ya mizizi ya zama, wala hakuna familia ilikaa na 'kubuni dini'.
 
...........Iko proved UN na lazima itokee...........

Unaijua vizuri historia ya UN?Unajua imeanzishwa na nani?

........... Akina Bush sasa hivi wanahaha na biashara zao ndio wanaotoa uvumi kuhu upinga kristo............

Sehemu kama hizi ndio huthibitisha ule usemi wangu "You can all read the same information but understand it differently depending on pre-existing knowledge you have regarding that particular information".Hivi unaijua vizuri Bush Family?
Unawajua ni akina nani wako nyuma ya mission hii ya kuunda NWO?Unajua kama member mmojawapo wa hao wanaotaka kuunda NWO alimzuia Nikola Tesla kutengeneza umeme ambao ungetumika dunia nzima BURE?Huoni kama kitendo hiki kiko kinyume na malengo ya NWO unayoijua wewe?
 
Kwa yeyote atakaye shika ya New World Order au Old World Order bado amefumbwa ki fikra. Kwa nini usiwe na mfumo wako binafsi wa maisha, Annael kuwa na 4D bado ni utumwa wa fikra tafuta Infinity Dimension
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom