Ukweli kuhusu wewe na dunia

Ukweli kuhusu wewe na dunia

View attachment 240091
Jicho la tatu ndilo linalotufanya tuone vitu kwenye ulimwengu wa 4D.
Kwa sababu ni mda mrefu sana haujawahi kulitumia jicho hilo ni vyema kuanza kufanaya mazoezi jinsi ya kulitumia. Tafuta sehemu iliyotulia. ambayo hakuna kelele kelele. Au ikiwezekana jifungie chumbani na uzime taa.

Hatua utakazo fanya ni unakaa vizuri mikono yako weka kwenye magoti.
Fumba macho yako haya mawili. Kaa kimya kwa mda wa dakika kama 6 - 10 hivi. Vuta hewa kwa kutumia pua na itoe kwa kutumia mdomo. Fanya hivyo taratibu taratibu. wakati mwingine ukiwa unaanza utasikia kichwa kinauma. Usihofu hiyo ni kawaida.
Anza kutoa sauti kwa taratibu ukisema MEYIIIIIIIIIIIIII, MEYIIIIIIIIIII. Bada ya mda jicho la tatu litaanza kufunguka taratibu. Kwa sababu mda mrefu hujawahi kulifumbua utaona giza giza vitu vitu usivyo vielewa. Fanya hivyo kwa mda wa wiki mbili tayari utakuwa umezoea utaanza kuwa na uwezo sana.

Utaanza kujua vitu vingi sana na kuanza kujielewa sasa wewe ni nani na unanguvu gani. Nitakueleza siri hiyo wanatumia akina nani na inaleta matokeo gani. Hakuna uchawi hapa mtu asikudanganye. Ni wewe tu jinsi ya kujielewa.
Hii post yako imenifanya kulog in na kuhoji hapo kwenye nyekundu. Nini maana yake? Kwa nini isiwe kwa lugha tunayoijua sisi? Nini chanzo chake? Kwa nini nisiamini kuwa ni ushetani fulani maana shetani ni roho?
 
Ni kama vile kupumua, ambayo ukitamka meyiii unakuwa unaenda sawa na vibration ya ulimwengu
 
Mtoa mada nakuombea dua kwa Mwenyezi Mungu ili umauti ukukute ukiwa umeshatubia.Hao wanaojiita illuminati au Freemason na makundi mengine ya namna hiyo,yote hayo ni MAGENGE YA KISHETANI.Shetani alikwisha tangaza uadui na wanadamu mbele ya Mwenyezi Mungu kwamba nitawapoteza wengi katika waja wako,tena nitawatumainisha na kuwaamrisha ninavyotaka mimi.Lakini sisi tumemfanya rafiki kipenzi.Mwenyezi Mungu ameonya kwamba;"wala msifuate (msimuabudu) nyayo za shetani,hakika huyo kwenu ni adui wa wazi." Akatoa tens onyo kwetu,Quran 4:119; "Na atakayemfanya shetani ndiye Mungu wake/mlinzi wake/msaidizi wake/rafiki/tegemezi wake BADALA ya Mwenyezi Mungu,hakika amepata khasara zilizokua wazi." Nini matokeo yake? Quran 22:6; " Ameandikiwa huyo shetani kwamba atakayemfuata (shetani),kwa hakika atampoteza na kumuongoza kwenye adhabu ya moto mkali."Kwa hiyo yeyote mwenye kumfuata shetani;wale Freemason (illuminati) na makundi yote ya namna hii,washirikina na wale wote wanaodai hakuna Mungu ilhali alama za uwepo wake zimewazunguka,wote hawa watakuja kujuta siku ya kusimama mbele ya Mola wao.

Wewe acha kuzungumzia maswala usiyoyajua, katika uzi huu wapi mtoa mada amesema / ameonyesha kuwa ye ni rafiki kipenzi wa shetani? Wapi ameabudu au kumfanya shetani ni Mungu wake? By the way hii mada haina uhusiano na DINI wala hayo maswala uliyoelezea. Mbona unakuwa mwepesi sana wa kuhukumu?
 
Hii miungu yao inayowafanya walaumu kila kitu sijui ikoje!
Chaajabu haiwezi hata kutenda zaidi ya kuwa ni kama wimbo
 
View attachment 240091
Jicho la tatu ndilo linalotufanya tuone vitu kwenye ulimwengu wa 4D.
Kwa sababu ni mda mrefu sana haujawahi kulitumia jicho hilo ni vyema kuanza kufanaya mazoezi jinsi ya kulitumia. Tafuta sehemu iliyotulia. ambayo hakuna kelele kelele. Au ikiwezekana jifungie chumbani na uzime taa.

Hatua utakazo fanya ni unakaa vizuri mikono yako weka kwenye magoti.
Fumba macho yako haya mawili. Kaa kimya kwa mda wa dakika kama 6 - 10 hivi. Vuta hewa kwa kutumia pua na itoe kwa kutumia mdomo. Fanya hivyo taratibu taratibu. wakati mwingine ukiwa unaanza utasikia kichwa kinauma. Usihofu hiyo ni kawaida.
Anza kutoa sauti kwa taratibu ukisema MEYIIIIIIIIIIIIII, MEYIIIIIIIIIII. Bada ya mda jicho la tatu litaanza kufunguka taratibu. Kwa sababu mda mrefu hujawahi kulifumbua utaona giza giza vitu vitu usivyo vielewa. Fanya hivyo kwa mda wa wiki mbili tayari utakuwa umezoea utaanza kuwa na uwezo sana.

Utaanza kujua vitu vingi sana na kuanza kujielewa sasa wewe ni nani na unanguvu gani. Nitakueleza siri hiyo wanatumia akina nani na inaleta matokeo gani. Hakuna uchawi hapa mtu asikudanganye. Ni wewe tu jinsi ya kujielewa.
Hii ni meditation. Narudi tena kwako wewe ndugu ambaye maelezo yako yanajichanganya kama imani yenu mpya ambayo inapingana na uislam, ukristo, uyahudi, ubudha, uhindu, n.k. Soma hapo chini nilipotoa kwenye unachokiamini na ambacho hujui ushike wapi:
On Your Ass
Sitting around on your ass meditating won't enlighten you. Going with the flow won't enlighten you. Finding your own "truth" won't enlighten you. Relativism won't enlighten you, nihilism won't enlighten you, skepticism won't enlighten you, cynicism won't enlighten you, scientific materialism won't enlighten you, organised religion won't enlighten you. Only the light of reason will enlighten you. There is no other way.

Hao unaowafuata wanadai wanaamini katika logic na reasoning. Yapi maoni yako? Usijifiche tafadhali.

Hii ni meditation. Narudi tena kwako wewe ndugu ambaye maelezo yako yanajichanganya kama imani yenu mpya ambayo inapingana na uislam, ukristo, uyahudi, ubudha, uhindu, n.k. Soma hapo chini nilipotoa kwenye unachokiamini na ambacho hujui ushike wapi:

[/COLOR]Hao unaowafuata wanadai wanaamini katika logic na reasoning. Yapi maoni yako? Usijifiche tafadhali.

[/FONT]

Ndugu point yako ni nini hasa? Hebu ninakuomba utoe duku duku lako tuweze kujadili.
Ningekuomba ufuatilie nilikuwa naongelea nini. Na hayo unayoongezea ninadhani ni ya kwako.
 
View attachment 240091
Jicho la tatu ndilo linalotufanya tuone vitu kwenye ulimwengu wa 4D.
Kwa sababu ni mda mrefu sana haujawahi kulitumia jicho hilo ni vyema kuanza kufanaya mazoezi jinsi ya kulitumia. Tafuta sehemu iliyotulia. ambayo hakuna kelele kelele. Au ikiwezekana jifungie chumbani na uzime taa.

Hatua utakazo fanya ni unakaa vizuri mikono yako weka kwenye magoti.
Fumba macho yako haya mawili. Kaa kimya kwa mda wa dakika kama 6 - 10 hivi. Vuta hewa kwa kutumia pua na itoe kwa kutumia mdomo. Fanya hivyo taratibu taratibu. wakati mwingine ukiwa unaanza utasikia kichwa kinauma. Usihofu hiyo ni kawaida.
Anza kutoa sauti kwa taratibu ukisema MEYIIIIIIIIIIIIII, MEYIIIIIIIIIII. Bada ya mda jicho la tatu litaanza kufunguka taratibu. Kwa sababu mda mrefu hujawahi kulifumbua utaona giza giza vitu vitu usivyo vielewa. Fanya hivyo kwa mda wa wiki mbili tayari utakuwa umezoea utaanza kuwa na uwezo sana.

Utaanza kujua vitu vingi sana na kuanza kujielewa sasa wewe ni nani na unanguvu gani. Nitakueleza siri hiyo wanatumia akina nani na inaleta matokeo gani. Hakuna uchawi hapa mtu asikudanganye. Ni wewe tu jinsi ya kujielewa.

Maana ya MEYIII MEYIII ni nini?!
 
Back
Top Bottom