Ukweli kuhusu wewe na dunia

Ukweli kuhusu wewe na dunia

"No one will enter the New World Order unless he or she will make a pledge to worship Lucifer. No one will enter the New Age unless he will take a Luciferian Initiation."-David Spangler, Director of Planetary Initiative, United Nations
Ndio maana nimesema kuwa ukiwa umeegemea kwenye imani fulani na ukajitoa ufahamu hakika utapelekwa bila kujua unaenda wapi. Lakini siku utakapo amua kuinuka na kutafuta kweli hakika utaanza kujua mengi.
 
Nilikuwa nina fikiria sana ninamuna gani ninaweza kukujibu. Na nimejaribu kukujibu kwa njia fulani lakini kwa kweli umeshindwa kunielewa.

Hiyo michoro na picha tofauti tofauti unaweza kujaribu kuziangalia na kutafsiri vyovyote unavyoweza kutafsiri.
Lakini jambo kubwa unalitakiwa kuelewa ni kwamba, vitu unavyo viona na ullivyojifunza kutoaka ukiwa mtoto mdogo sio ukweli wa mambo. Umekuta wazazi na watu wakikuambia kuhusu shetani na nk na wewe ukawa umeweka kwenye akili yako kitu hicho.

Mimi ninacho weza kukueleza ni hebu jaribu kwenda zaidi kidogo kutulia na kutoa mda kwaajiri ya nafsi yako. Ninakuhakikishia utaanza kubadirika.
Simply huna hoja wala majibu. Kwa heri.
 
Ndio maana nimesema kuwa ukiwa umeegemea kwenye imani fulani na ukajitoa ufahamu hakika utapelekwa bila kujua unaenda wapi. Lakini siku utakapo amua kuinuka na kutafuta kweli hakika utaanza kujua mengi.

The New Age Movement What is it?

As the end approaches, Satan is attempting
to consolidate his most effective lies into
one massive movement against Christ and
His Church. Called the New Age Movement,
it incorporates the basic teachings of all the
major non-biblical religions, the central political philosophies of governments which
deny freedom of conscience, and the
humanistic and evolutionist philosophies of
science and technology. As with any such movement, this one
operates in two basic arenas, a political-
environmental entity and religious entity. It
is a massive network of loosely connected
organizations who all teach the same
ideologies and work for the same goal: a Global New World Order or one world
government and a single, global,
ecumenical-ecclesiastical counterfeit
Christian, Babylonian style religion. Their cause is to prevent the extinction of the
human race. They believe humanity's demise
will be brought about by one of two things: a
nuclear holocaust, or the destruction of the
world's environment and exhaustion of the
world's resources. These disasters can only be prevented by the establishment of a
Global New World Order or one world
government. The New Agers in the political arena call
themselves "globalists" or "internationalists." They are committed to bringing the nations of the world under a
Global New World Order or world
government with the authority to solve
planet-wide problems of over-population,
pestelence and disease, environmental
decay, famine, energy depletion, and the threat of nuclear warfare. Claiming that these
problems are too big for the individual
nations to solve, they propose that the U.N. and the World Court be given the power to
solve the problems on a global scale. Their religion is basically a westernized form
of Hinduism which teaches that men can
become gods through spiritual evolution
involving many cycles of reincarnation.
Demon spirits orchestrate the movement
world-wide through mediums called "channelers" whom New Agers believe to be "ascended masters" of cosmic wisdom. New Age beliefs have been deceptively packaged
in scientific terminology and sold to the
Western civilizations as science. New Age mind control techniques are widely
taught in our seminaries, churches, schools
and businesses as self-help courses. ESP,
Silva Mind Control, Metaphysics, Yoga,
Holistic medicine, Biofeedback and a
multitude of other techniques have saturated our society. The goal of all these techniques
is to produce an "altered state of consciousness" which puts the person practising them into direct contact with the
spirit world and opens them up to
possession by demons. This movement is, of course, intensely anti-
Christian and anti-Semitic. They call their
efforts "The Plan" which includes a "cleansing action" that must take place to remove negative and evil elements from the
world before the New Age of peace can be
fully ushered in. Many of the demons speaking through the
mediums of this movement around the world
are prophesying that 2 billion people must
be removed before the year 2000. In the past,
whenever Satan has been able to exercise
his "plan" for the world, millions of True and Faithful Bible-believers have been put to
death.

www3.bc.sympatico.ca/thegoodnews/newage.htm
 
Ndugu ukitumia hata akili ya kwaida tu utagundua maandishi yaliyopo kwenye vitabu vinavyoitwa vitakatifu ni ya kutunga, Yaani ni sanaa. Kwanini huyo mungu mwenye uwezo, anaweza yote ashindwe na shetani, na hapa unaonesha ni namna gani unavyo muogopa shetani
 
😳Sanaa...sasa hiyo yako sio sanaa?...do you think the information you have is 100% reflection of reality? Or twisted art of deception to divert you from reality....kama ni maandiko ni sanaa can you defy the death of your vessel!?...Do your know the purpose of your existence? Do you know why your vessel must die?
 
Tatizo kubwa ninaloliona kwa jamii kubwa hapa duniani ni,IMANI ,hii imeifanya mioyo ya watu kuwa migumu hata kutafakari kwa akili za kawaida uwa ni vigumu sana ,pia soul awakenings,hakuna vitu kama hvi ,mimi nijuavyo sisi pia ni nguvu kuu katika sehemu yake ,na hakuna kitu hatuwezi ila inapasa kujua kwa vile tupo Na mwili au kwa vile tumevaa mwili Na ndiyo maana inakuwa ni vigumu Sana MTU kukubali vtu kama hivi, Yesu kuna wakati alisema kuwaambia wanafunzi wake kuwa"mnayaona haya niyatendayo hata ninyi mnaweza kuyatenda tena makubwa kuliko haya . ni kwa nini aliwajulisha hivi ?
 
Tatizo ni kwamba hata dini za siku hizi zinatengeneza waumin kuwa wafuasi na sio watendaji, na akili zetu zilishafungwa na mbaya zaidi watu wanafosi kuamini wasicho kijua....
 
Hofu inawafanya washindwe hata kujiongeza. Mikwara wanayopewa huko kwenye dini ndo inawafanya wasitumie hata akili walizonazo.
 
Tatizo kubwa ninaloliona kwa jamii kubwa hapa duniani ni,IMANI ,hii imeifanya mioyo ya watu kuwa migumu hata kutafakari kwa akili za kawaida uwa ni vigumu sana ,pia soul awakenings,hakuna vitu kama hvi ,mimi nijuavyo sisi pia ni nguvu kuu katika sehemu yake ,na hakuna kitu hatuwezi ila inapasa kujua kwa vile tupo Na mwili au kwa vile tumevaa mwili Na ndiyo maana inakuwa ni vigumu Sana MTU kukubali vtu kama hivi, Yesu kuna wakati alisema kuwaambia wanafunzi wake kuwa"mnayaona haya niyatendayo hata ninyi mnaweza kuyatenda tena makubwa kuliko haya . ni kwa nini aliwajulisha hivi ?
Akawaambia pia kuwa wangekuwa na imani hata usawa wa punje ya haradali wangeuambia mlima hama na ukahama. Sasa hawa freemason wanataka kuleta kipi kipya? Sioni. Biblia ina majibu yote
 
Ndugu nina kuhakikishia asilimia 100% hujaisoma biblia na kama umeisoma umesoma kwa kuruka ruka. Hiyo biblia unayoisema imeandikwa kwa mtiririko. Yaani huwezi ukasoma Kitabu cha kutoka kabla ya kusoma kitabu cha mwanzo. Huwezi ukasoma kitabu cha kumbu kumbu ya Torati kabla ya kusoma kitabu cha kutoka.

Utakavyo isoma sasa kwa mtiririko mzuri ndipo sasa utakapogundua kunaupotoshaji wa hali ya juu.

Iweje kwenye biblia hiyo iwaite watu ni kondoo? Unajua lakini maana ya kondoo, ni yule mtu mbumbumbu hajui chochote.

Hebu soma conclusion iliyopo katika kitabu cha 1Wathesalonike 4:18. Ina conclude maneno anayoyasema paul kuanzia mstari wa kwanza. Utagundua paul alikuwa anawahadaa wale watu ambao imani yao ilikuwa ni ya kisadukayo wanao amini kuwa mtu akifa ndio basi.

Sasa akwaambia wafarijiane kwa maneno hayo. Ngoja niweke hapa maneno yote ndiyo ujue nina maanisha nini

14 Maana, ikiwa twaamini ya kwamba Yesu alikufa akafufuka, vivyo hivyo na hao waliolala katika Yesu, Mungu atawaleta pamoja naye.
15 Kwa kuwa twawaambieni haya kwa neno la Bwana, kwamba sisi tulio hai, tutakaosalia hata wakati wa kuja kwake Bwana, hakika hatutawatangulia wao waliokwisha kulala mauti.
16 Kwa sababu Bwana mwenyewe atashuka kutoka mbinguni pamoja na mwaliko, na sauti ya malaika mkuu, na parapanda ya Mungu; nao waliokufa katika Kristo watafufuliwa kwanza.
17 Kisha sisi tulio hai, tuliosalia, tutanyakuliwa pamoja nao katika mawingu, ili tumlaki Bwana hewani; na hivyo tutakuwa pamoja na Bwana milele.
18 Basi, farijianeni kwa maneno hayo.

Hapo kwenye red ndio conclusion inayoeleza mantiki ya maandishi hayo.
 
Tatizo kubwa ninaloliona kwa jamii kubwa hapa duniani ni,IMANI ,hii imeifanya mioyo ya watu kuwa migumu hata kutafakari kwa akili za kawaida uwa ni vigumu sana ,pia soul awakenings,hakuna vitu kama hvi ,mimi nijuavyo sisi pia ni nguvu kuu katika sehemu yake ,na hakuna kitu hatuwezi ila inapasa kujua kwa vile tupo Na mwili au kwa vile tumevaa mwili Na ndiyo maana inakuwa ni vigumu Sana MTU kukubali vtu kama hivi, Yesu kuna wakati alisema kuwaambia wanafunzi wake kuwa"mnayaona haya niyatendayo hata ninyi mnaweza kuyatenda tena makubwa kuliko haya . ni kwa nini aliwajulisha hivi ?

Well said kaka. I like that.
 
Dini za leo zimekuwa utumwa kwa watu. Yaani no room for thinking out of the box.
 
Ndugu nina kuhakikishia asilimia 100% hujaisoma biblia na kama umeisoma umesoma kwa kuruka ruka. Hiyo biblia unayoisema imeandikwa kwa mtiririko. Yaani huwezi ukasoma Kitabu cha kutoka kabla ya kusoma kitabu cha mwanzo. Huwezi ukasoma kitabu cha kumbu kumbu ya Torati kabla ya kusoma kitabu cha kutoka.

Utakavyo isoma sasa kwa mtiririko mzuri ndipo sasa utakapogundua kunaupotoshaji wa hali ya juu.

Iweje kwenye biblia hiyo iwaite watu ni kondoo? Unajua lakini maana ya kondoo, ni yule mtu mbumbumbu hajui chochote.

Hebu soma conclusion iliyopo katika kitabu cha 1Wathesalonike 4:18. Ina conclude maneno anayoyasema paul kuanzia mstari wa kwanza. Utagundua paul alikuwa anawahadaa wale watu ambao imani yao ilikuwa ni ya kisadukayo wanao amini kuwa mtu akifa ndio basi.

Sasa akwaambia wafarijiane kwa maneno hayo. Ngoja niweke hapa maneno yote ndiyo ujue nina maanisha nini

Hapo kwenye red ndio conclusion inayoeleza mantiki ya maandishi hayo.
Naona hapa ndio unajitahidi kufunguka. Rudi kwanza kwenye post za awali ukanijibu ndio uje na hapa, la sivyo kaa kimya
 
Ndugu ulisema sina hoja. Je imekuwaje tena?
 
Ndgi huyu aloazisha huu uzi nampa pole sana kilichonipata mm nimeona nijiweke pembeni na mambo ya historia na kusoma mavitabu mana nilikalibia kuwa chizi ukifatilia historia ya dunia na hukitaka kujua ilipotokea na ilipo na inapkwenda utadata hv mnajua kuwa ktk hayo mavitabu yao kuna ktk kile kinachoeleza miungu ya kigiliki kuna kimoja kilinifanya nitake kudata kwa niliyoyasoma humo
Hv mtakubali kuwa kulikuwa na mwanamke kbla ya hawa na yy alitaka kuwa juu zaidi ya mwanaume unamjua ni nani aliishije na yupo wap ss basi ukifatilia hayo mavitabu utajikuta unamkana mola wako mm nawasii msilaghaike na maneno ya huyu bwana mtapotea nimemfatilia muda sana mada hii
Mm
Nawasii baki na imani yako na mungu yupo ww km umuoni amini yy anakuona na mi mmoja tu
Km ukitaka kumjua mungu na dunia ipoje tafuta kitabu cha quran kilichotafsliwa kiswahili araf soma taratibu talatibu utaelewa usisome km vle unasema unataka kusilimu au kwamba mm mkrsto cwez kusoma hapana soma kwanza kilichomo mule ukielewe mana vipo vitabu ambavyo vimefafanuliwa kwa kiswahili vizuri bila hta kumuhtaji shekhe akufafanulie humo imeelezewa vizuri tu hiyo anayoisema huyu bwana NWO na mengineyo mengi
Araf utapata jibu

Akhsante
 
“Msidanganyike; Mungu hafanyiwi dhihaka. Alichopanda mtu ndicho atakachovuna. Apandaye katika tamaa za kidunia, atavuna humo uharibifu; lakini akipanda katika Roho, atavuna kutoka kwa Roho uhai wa milele.”
--Wagalatia‬ -6:7-8‬ -BHN‬‬
http://bible.com/74/gal.6.7-8.bhn
 
Ndugu ulisema sina hoja. Je imekuwaje tena?
Nilisema huna hoja. Kufunguka si kuwa na hoja. Umetafuta upenyo mlaini kujittutumua. Umeacha hoja ngumu nilizokuuliza na unashindwa kutetea hiyo NWO. na ulichofanya kwenye post yako ya kwanza ni plagiarism ndio maana unashindwa kujitetea unapoulizwa maswali
 
Unajua ndugu yangu maelezo mengi sana nimeyatoa. Hebu jaribu kufuatilia vizuri uzi wangu utajikuta hayo unayotaka kuuliza au unayouliza nimeyajibu tayari. Ndio maana sitaki kurudia rudia.
 
Ndgi huyu aloazisha huu uzi nampa pole sana kilichonipata mm nimeona nijiweke pembeni na mambo ya historia na kusoma mavitabu mana nilikalibia kuwa chizi ukifatilia historia ya dunia na hukitaka kujua ilipotokea na ilipo na inapkwenda utadata hv mnajua kuwa ktk hayo mavitabu yao kuna ktk kile kinachoeleza miungu ya kigiliki kuna kimoja kilinifanya nitake kudata kwa niliyoyasoma humo
Hv mtakubali kuwa kulikuwa na mwanamke kbla ya hawa na yy alitaka kuwa juu zaidi ya mwanaume unamjua ni nani aliishije na yupo wap ss basi ukifatilia hayo mavitabu utajikuta unamkana mola wako mm nawasii msilaghaike na maneno ya huyu bwana mtapotea nimemfatilia muda sana mada hii
Mm
Nawasii baki na imani yako na mungu yupo ww km umuoni amini yy anakuona na mi mmoja tu
Km ukitaka kumjua mungu na dunia ipoje tafuta kitabu cha quran kilichotafsliwa kiswahili araf soma taratibu talatibu utaelewa usisome km vle unasema unataka kusilimu au kwamba mm mkrsto cwez kusoma hapana soma kwanza kilichomo mule ukielewe mana vipo vitabu ambavyo vimefafanuliwa kwa kiswahili vizuri bila hta kumuhtaji shekhe akufafanulie humo imeelezewa vizuri tu hiyo anayoisema huyu bwana NWO na mengineyo mengi
Araf utapata jibu

Akhsante

Umenena vyema nikupe pongezi mkuu na umemaliza kila kitu ujue vitabu vya kale vingi vya kale vimetungwa km simulizi flani hvi havieleweki kabisa ni Qur an tu ndio inayoweza kukupa historia nzuri ya dunia ilipotokea, ilipo na inapoelekea
 
Back
Top Bottom