Ukweli kuhusu wewe na dunia

Ukweli kuhusu wewe na dunia

Umenena vyema nikupe pongezi mkuu na umemaliza kila kitu ujue vitabu vya kale vingi vya kale vimetungwa km simulizi flani hvi havieleweki kabisa ni Qur an tu ndio inayoweza kukupa historia nzuri ya dunia ilipotokea, ilipo na inapoelekea

Unapenda kujifariji wewe
 
Umeyakwepa maswali yangu mkuu,,ila umekisoma hiko kitabu na kujua kama kauli yake ina ukweli au la!au unaguess tu?

Mi nimekisoma ila sijaona tofauti yoyote na hadithi zingine za kale
 
Jimena,hivi hizo power ambazo umesema mtu anazo,anakuwa nazo before hajazaliwa or kuna anayeziweka na kuzicontrol kabla?na kama yupo.nini anataka in return as payment?
 
Ulisema kukosa jibu la swali fulani isiwe sababu ya kuamini Mungu..Sasa kama kitabu cha dini yangu kimeyajibu maswali yangu na nyinyi wa upande wa pili hamna jibu je niamini nini?

Hutakiwi kuamini kabla hajajua.
 
Jimena,hivi hizo power ambazo umesema mtu anazo,anakuwa nazo before hajazaliwa or kuna anayeziweka na kuzicontrol kabla?na kama yupo.nini anataka in return as payment?

Hizo power ni zako ni kama ulivyo na macho masikio pua, unazaliwa nazo, hakuna mtu yoyote anayeziweka, wala hakuna mtu yoyote anayezicontrol, ni wewe na kujitambua kwako ndo kutakofanya hizi power ziwe active, kweli iko ndani yako na wala sio nje,
 
Ulisema kukosa jibu la swali fulani isiwe sababu ya kuamini Mungu..Sasa kama kitabu cha dini yangu kimeyajibu maswali yangu na nyinyi wa upande wa pili hamna jibu je niamini nini?

Kumbe kitabu cha dini yako Kina majibu basi sasa acha niulize maswali haya mana kumbe we unayo majibu kupitia kitabu cha dini yako.

Kwanini Mungu mwenye uwezo wote na nguvu zote ameumba dunia hii ambayo kuna mabaya ya kila aina?

Je alishindwa kuumba ulimwengu mzuri ambao mabaya hayawezekani?
 
Aliamua kufanya hivi ili avipime viumbe vyake na vitabu vinasema mwanzo wa mabaya yote ni pale Shetani alipokataa kumsujudia Adam Mungu akamfukuza ktk ufalme wake na akamueka yeye ndiye mtenda dhambi wa kwanza na Shetani akamuomba Mungu ampe uwezo wa kuweza kuwa challenge binaadam na kuwashawishi wafuate upande wake na kuacha maagizo ya Mungu na ndipo Shetani akaanza na kuifanya kazi yake hiyo kuwashawishi Adam na Hawa wale Tunda walilokatazwa kula hapo ndipo mabaya yalipoanzia
 
Hujajibu swali kabisa we umeleta hadithi tu za kale tu.
Sijauliza dhambi ilianzia wapi wala nani alianzisha.
Kwa hayo maelezo yako ni kama Mungu amemshindwa shetani vile

Nimeuliza hivi huyo Mungu mwenye uwezo wote alishindwa kuumba dunia isiyowezekana kufanyika mabaya?
 
Kwa uelewa wangu mwanzo dunia haikuwa sehemu iliyokuwa na mabaya but baada ya shetani kukataa kufanya alichoambiwa amfanyie binadamu Mungu alitaka kumwadhibu ndipo shetani akaomba na kusema apewe muda asiende peke yake kwenye hiyo adhabu ndomana akaachwa na mabaya yanashawishiwa nae akisubiri adhabu pamoja na anaowapotosha.
 
Kwahiyo ndo kusema Mungu alishindwa kumdhibiti shetani?

Hivi we inakuingia akilini kweli kuwa shetani ameachwa ili apotoshe watu? Sasa huyo Mungu yupo kweli? Na kama yupo ana upendo huu tunaoambiwa anao kweli?
 
Shetani alijiumba?
 
Nikweli tumefichwa kitu na hii OWO kwa hizi dini ila sasa hata hii NWO siiamini maana nao kwann wameweka masharit kuna watu had wanapoteza maisha kwakuamin NWO nn kisababishi au nao wanatuficha kitu furan?
 
Kwahiyo ndo kusema Mungu alishindwa kumdhibiti shetani?

Hivi we inakuingia akilini kweli kuwa shetani ameachwa ili apotoshe watu? Sasa huyo Mungu yupo kweli? Na kama yupo ana upendo huu tunaoambiwa anao kweli?

Shetani aliomba nafasi ya kupotosha binadamu ili anyone she Mungu kwamba viumbe alivyoviona bora ktk uumbaji wake si lolote si chochote Mungu akampa nafasi hiyo ili nae kuonesha kwamba viumbe alivyoviumba yaani sisi binadamu ni bora kuliko viumbe vyote alivyoviumba Mungu. Mungu anauwezo wa kumuangamiza Shetani ila amempa nafasi ya kushindana naye km alivyoomba atakae mfuata Shetani atakuwa amepingana na matakwa ya Mungu na pia vitabu vinasema Mungu atatoa adhabu kwa wale waliomfuata Shetani na kisha atawasamehe na kuwaingiza Peponi kwani sio kosa lao ni ushawishi uliotokana na Shetani ila wale watakao mkana kabisa na kutoamini uwepo wa Mungu watakaa humo milele.
 
Hujajibu swali kabisa we umeleta hadithi tu za kale tu.
Sijauliza dhambi ilianzia wapi wala nani alianzisha.
Kwa hayo maelezo yako ni kama Mungu amemshindwa shetani vile

Nimeuliza hivi huyo Mungu mwenye uwezo wote alishindwa kuumba dunia isiyowezekana kufanyika mabaya?

Naomba uelewe mkuu mabaya yameletwa na Shetani alipowashawishi Adam na Hawa watende dhambi pale ndipo mabaya yalipoanza kuonekana kiasi kwamba hata wao walijiona wapo uchi
 
Shetani aliomba nafasi ya kupotosha binadamu ili anyone she Mungu kwamba viumbe alivyoviona bora ktk uumbaji wake si lolote si chochote Mungu akampa nafasi hiyo ili nae kuonesha kwamba viumbe alivyoviumba yaani sisi binadamu ni bora kuliko viumbe vyote alivyoviumba Mungu. Mungu anauwezo wa kumuangamiza Shetani ila amempa nafasi ya kushindana naye km alivyoomba atakae mfuata Shetani atakuwa amepingana na matakwa ya Mungu na pia vitabu vinasema Mungu atatoa adhabu kwa wale waliomfuata Shetani na kisha atawasamehe na kuwaingiza Peponi kwani sio kosa lao ni ushawishi uliotokana na Shetani ila wale watakao mkana kabisa na kutoamini uwepo wa Mungu watakaa humo milele.

Kwahiyo hao watakaomkana ni kwa ushawishi wa nani? Huoni kama kumpa shetani nafasi ya kuwafanya watu watende uovu sio kitu kizuri? Mungu kama Mungu alishindwa kumuumba huyo shetani akiwa na tabia nzuri?

Mana mpaka hapo hujajibu swali la kwamba ni kwanini Mungu ameumba dunia ambayo mabaya ya kila aina yanawezekana kufanyika.
 
Kwahiyo ndo kusema Mungu alishindwa kumdhibiti shetani?

Hivi we inakuingia akilini kweli kuwa shetani ameachwa ili apotoshe watu? Sasa huyo Mungu yupo kweli? Na kama yupo ana upendo huu tunaoambiwa anao kweli?

Sio kwamba alishindwa kumdhibiti,shetani aliomba aachwe aende na watu wengine motoni kwa kuwapotosha.na M/mungu akawapa binadamu akili ya kupambanua,kujua haki na batili ili kutopumbazwa na shetani kisha hapo matumizi ya akili za binadamu ndo zinahusika so jinsi utakavyopanga mambo yako ndo unavyojisogeza karibu/mbali na mungu.Sidhani kama mwalimu kumpa mwanafunzi mtihan ni ishara ya kutompenda.
 
Kwahiyo mwanao akikuomba ruhusa amchinje mdogo wake unamruhusu tu kwavile kaomba? (utetezi wako hauna maana)

Swali ni kwanini hakuumba dunia isiyowezekana mabaya kufanyika? Mana angeumba dunia isiyowezekana kufanyika mabaya basi ni wazi kuwa hata shetani asingefikia hapo unaposema.

Narudia swali, Kwanini Mungu hakuumba ulimwengu ambao hayo mabaya hayawezekani kufanyika?
 
Back
Top Bottom