Ukweli kuhusu Mtela Mwampamba

Ukweli kuhusu Mtela Mwampamba

Kwanza nijipe pongezi Mimi mwenyewe kwa kufanikisha kumaliza salama kifungo changu(ban) hapa JF.

Napenda kusema haya ili kuondoa Mkanganyiko na maswali yasiokuwa na ulazima, Mimi Mtela Mwampamba ni mtumishi wa Chama cha Mapinduzi na niko katika Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi(UVCCM) na mimi ndie Mkuu wa kitengo cha Habari na mawasiliano ya UMMA makao makuu ya umoja wa vijana wa CCM.

Naomba ifahamike hivyo na nitatoa ushirikiano wa kutosha hapa JF kwa maswala yanayohusu UVCCM na Mwisho napenda kuwakumbusha kwamba Vinavyoelea ziwani hata baharini pia vinaelea na Haramu kwako Halali kwa Mwenzio.

VIVA UVCCM VIVA.

hii pumba ingewekwa na mtu mwingine mods wangeiondoa na kuipeleka chit-chat
 
Kwanza nijipe pongezi Mimi mwenyewe kwa kufanikisha kumaliza salama kifungo changu(ban) hapa JF.

Napenda kusema haya ili kuondoa Mkanganyiko na maswali yasiokuwa na ulazima, Mimi Mtela Mwampamba ni mtumishi wa Chama cha Mapinduzi na niko katika Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi(UVCCM) na mimi ndie Mkuu wa kitengo cha Habari na mawasiliano ya UMMA makao makuu ya umoja wa vijana wa CCM.

Naomba ifahamike hivyo na nitatoa ushirikiano wa kutosha hapa JF kwa maswala yanayohusu UVCCM na Mwisho napenda kuwakumbusha kwamba Vinavyoelea ziwani hata baharini pia vinaelea na Haramu kwako Halali kwa Mwenzio.

VIVA UVCCM VIVA.

Unatafuta ban mwenyewe! We endelea na umbumbu wako!
 
Jifunze kuheshimu wengine ili uepukane na adhabu za hapa JF...karibu tena jukwaani!!
Kuzaliwa na mtindio wa ubongo ni bahati mbaya lakini kuwa ccm ni uzezeta wa kujitakia mwenyewe
 
Kama hayamuhusu sasa kwanini umeleta taalifa ya cheo chako cha kazi mpya hapa janvini? unajua wewe unatuzalilisha sana vijana wa Mbeya(Green City)? yani umeonyesha picha mabaya sana kwa vijana wenzako wa hapa home Mbeya.

mbeya inahusiana vipi na utashi wa mtu.
 
Nimemwachia Josephine Mushumbuzi aendelee nayo!!!

Umemuachia nini Josephine? Auendelee na mume wake Slaa na wewe ulikua mke mdogo hadi utoe kauli ile au kweli sio liziki?

Haramu kwako Halali kwa Mwenzio.

Statement hii sijaelewa unamaana wewe ulikua halamu kwa Slaa ila kwa Mwigulu wewe ni halal? Kweli unatumiwa mzee na kwako ni halal kabisa?
 
Sio hivyo mkuu nazani umesahau kwamba hata Dk Slaa ni Padre kitaaluma but kwa sasa ni katibu mkuu wa chadema!!! na usisahau kwamba Mbowe ni Disco Joker(DJ) kitaaluma but kwa sasa ni mwenyekiti wa chadema taifa!!!!! tuko pamoja mkuu.

Hawa ndio waalimu wetu lugha yenyewe tatizo ....nimeamini ulikosa fursa tu ila wewe sio mwalimu Ta>>>>hI ...RA wewe
 
mbeya inahusiana vipi na utashi wa mtu.
Wagiriki ni maarufu kwa kuwa nawatu waliopata kuwa na akili zenye uwezo mkubwa.....Marekani ni mashughuli kwa ubabe na uchonganishi.....Africa matatizo.....hivyo kuna baadhi ya sehemu ukitaja unajua the person from there must be critical or ama activist eg Mbeya, Arusha kwa maana ya harakati za kumng'oa mkoloni mweusi nenda Dodoma ukaone ilivyokuwa kazi kuwafanya wagogo waache kuyaamini maccm ndio utajua Geographical factor inamashiko
 
Ktk ahadi walizo kupa wakati una Isaliti CHADEMA ndio hiyo au ukuu wa Wilaya umebana?
 
Sio vituko nasema kweli nimeajiriwa toka mwezi wa Tano na nimeamua kusema ili kuondoa mkanganyiko wa kuniuliza kwamba nasema nikiwa kama nani!!!

Ina Maana kulikuwa hakuna wa kijana wa CCM anayefaa cheo hicho MPAKA wapate wa KUTOKA CHADEMA? then nani alikuwa na cheo hicho kabla ya wewe kuwa nacho?

Au ndio hivyo CHEO KIPYA kilikuwa haiko kwenye sheria za chama cha Mapinduzi wamepenyeza mtu tu hapo na kuongeza BAJETI ya CHAMA bila hata Kupitisha Bajeti ya Chama cha Mapinduzi ina Maana CCM ikianguka 2015; Hiyo nafasi haipo... Ni pesa wanazoiba toka Serikali kuu kwa JINA YA CHAMA TAWALA...

Sasa kama kweli wewe ni MZALENDO MPENDA NCHI YAKO; Hauoni kuwa Mshahara wako ni wa WIZI? Wanauchota toka kwa Walipa kodi masikini huko VIJIJINI? Au Umeshaingiwa na ULAFI wa WanaCCM... SHAME ON YOU...

c.c
HAMY-D
 
hicho kitengo kilikuepo au umepachikwa tu.?

Juliana yeye kapewa kitengo gani au bado anatafutiwa.?

kitengo chake si kipo ndani ya jf cha kuanzisha thread kuhusu chadema
 
Katika watu ambao c wanasiasa ni Mtela.Unahangaika kama kuku wa mayai. Uliuza wananchi kule Mbozi leo eti na wewe unajifanya mwanasiasa.Njaa mdogo wangu ndo inakupoza.Uliwadanganya CCM kuwa unajua mambo mengi na utahakikisha unataibomoa CDM! Kwa taarifa yako tumaini pekee la Watanzania kwa sasa ni Chama Cha Demokrasia na Maendeleo.Chama kinachowapa matumaini watanzania ya kuamka asubuhi.Hakuna ujuacho.
 
Kwanza nijipe pongezi Mimi mwenyewe kwa kufanikisha kumaliza salama kifungo changu(ban) hapa JF.

Napenda kusema haya ili kuondoa Mkanganyiko na maswali yasiokuwa na ulazima, Mimi Mtela Mwampamba ni mtumishi wa Chama cha Mapinduzi na niko katika Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi(UVCCM) na mimi ndie Mkuu wa kitengo cha Habari na mawasiliano ya UMMA makao makuu ya umoja wa vijana wa CCM.

Naomba ifahamike hivyo na nitatoa ushirikiano wa kutosha hapa JF kwa maswala yanayohusu UVCCM na Mwisho napenda kuwakumbusha kwamba Vinavyoelea ziwani hata baharini pia vinaelea na Haramu kwako Halali kwa Mwenzio.

VIVA UVCCM VIVA.

Wale chipukizi wenyewe waliokuwepo kabla yako hawakufaa kuongoza hicho kitengo? Mbaba mzima naye ni chipukizi....wow.
 
Sio hivyo mkuu nazani umesahau kwamba hata Dk Slaa ni Padre kitaaluma but kwa sasa ni katibu mkuu wa chadema!!! na usisahau kwamba Mbowe ni Disco Joker(DJ) kitaaluma but kwa sasa ni mwenyekiti wa chadema taifa!!!!! tuko pamoja mkuu.

Kama wewe ni mkuu wa kitengo cha habari na mawasiliano huku ukiwa graduate, kazi kubwa bado iko mbele yako kurekebisha lugha. Maana utajikuta unatoa habari ambayo itawachanganya watu kwa kukosea lugha.
 
..
Kwanza nijipe pongezi Mimi mwenyewe kwa kufanikisha kumaliza salama kifungo changu(ban) hapa JF.

Napenda kusema haya ili kuondoa Mkanganyiko na maswali yasiokuwa na ulazima, Mimi Mtela Mwampamba ni mtumishi wa Chama cha Mapinduzi na niko katika Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi(UVCCM) na mimi ndie Mkuu wa kitengo cha Habari na mawasiliano ya UMMA makao makuu ya umoja wa vijana wa CCM.

Naomba ifahamike hivyo na nitatoa ushirikiano wa kutosha hapa JF kwa maswala yanayohusu UVCCM na Mwisho napenda kuwakumbusha kwamba Vinavyoelea ziwani hata baharini pia vinaelea na Haramu kwako Halali kwa Mwenzio.

VIVA UVCCM VIVA.

Kwa hiyo umekaa ukaona uanzishe thread, na ndio hii?

Ok, labda ulikua unalenga nini hasa kwenye hii thread?
 
Back
Top Bottom