Ukweli kuhusu Mtela Mwampamba

Ukweli kuhusu Mtela Mwampamba

Kwanza nijipe pongezi Mimi mwenyewe kwa kufanikisha kumaliza salama kifungo changu(ban) hapa JF.

Napenda kusema haya ili kuondoa Mkanganyiko na maswali yasiokuwa na ulazima, Mimi Mtela Mwampamba ni mtumishi wa Chama cha Mapinduzi na niko katika Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi(UVCCM) na mimi ndie Mkuu wa kitengo cha Habari na mawasiliano ya UMMA makao makuu ya umoja wa vijana wa CCM.

Naomba ifahamike hivyo na nitatoa ushirikiano wa kutosha hapa JF kwa maswala yanayohusu UVCCM na Mwisho napenda kuwakumbusha kwamba Vinavyoelea ziwani hata baharini pia vinaelea na Haramu kwako Halali kwa Mwenzio.

VIVA UVCCM VIVA.

The highlighted one is rubishiiiiiiiiiiiii-----------------you are traitor, you cant deny that------------------
 
Kwanza nijipe pongezi Mimi mwenyewe kwa kufanikisha kumaliza salama kifungo changu(ban) hapa JF.

Napenda kusema haya ili kuondoa Mkanganyiko na maswali yasiokuwa na ulazima, Mimi Mtela Mwampamba ni mtumishi wa Chama cha Mapinduzi na niko katika Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi(UVCCM) na mimi ndie Mkuu wa kitengo cha Habari na mawasiliano ya UMMA makao makuu ya umoja wa vijana wa CCM.

Naomba ifahamike hivyo na nitatoa ushirikiano wa kutosha hapa JF kwa maswala yanayohusu UVCCM na Mwisho napenda kuwakumbusha kwamba Vinavyoelea ziwani hata baharini pia vinaelea na Haramu kwako Halali kwa Mwenzio.

VIVA BAVICHA VIVA.

Traitor-----------------
 
kura 32000 nilizozipata nikiwa nagombea ubunge kwa tiketi ya chadema ndio zinazokichangia chadema mil nne na laki nane kila mwezi kama ruzuku kutoka mbozi.
Khaa!! kudadadadeki kura yangu nitauza 15,000/ mwaka 2015. Huu ujinga sasa bora kila mmoja afe na chake :bored:
 
Traitor-----------------
Khaa!! Traitor wapi bana?? Ulitaka aishi kwa kula matope? Huoni kapewa shavu kampuni nyingine? Wote kina Dr K, Dr S, Prof L na wengineo wanahangaikia matumbo yao kwenye siasa. Siasa ndiyo kazi inayowapatia unga, sasa kama unga haupatikani au kuna mtu anakuzibia usipate kwanini usihamie kampuni nyingine. Ukombozi huanzia kwenye fikra kwahiyo anza taratibu kujikomboa katika kufikiri. Fikiri mambo kwa ukweli wake bila ya hivyo utakuwa unajidanganya :bored:
 
Now you are talking... Hongera sana kama ni kweli!!

Kitumikie chama chako na uondoe ile dhana ya Mwigulu kuwa siasa ni uadui na uhasama. Nje ya siasa kuna maisha ya kawaida yanaendelea. Nitakuja dukani kwako kununua nguo za wanangu.

NDUGU UWE MACHO SANA..hiki chama si cha kuaminika namna hiyo ... UKANUNUE NGUO ZA WANAO KWA MWANACHAMA WA CHAMA KISICHOMJALI MWANAO????? b carefull kunasumu za kuua mtu baada ya muda mrefu... HAWA SI BINADAM WENYE TIMAMU
 
Khaa!! Traitor wapi bana?? Ulitaka aishi kwa kula matope? Huoni kapewa shavu kampuni nyingine? Wote kina Dr K, Dr S, Prof L na wengineo wanahangaikia matumbo yao kwenye siasa. Siasa ndiyo kazi inayowapatia unga, sasa kama unga haupatikani au kuna mtu anakuzibia usipate kwanini usihamie kampuni nyingine. Ukombozi huanzia kwenye fikra kwahiyo anza taratibu kujikomboa katika kufikiri. Fikiri mambo kwa ukweli wake bila ya hivyo utakuwa unajidanganya :bored:
wewe unahangaikia nini hapa? waambie..na wewe tumbo street! au? akili yako inawaza kula tu!
 
Sio hivyo mkuu nazani umesahau kwamba hata Dk Slaa ni Padre kitaaluma but kwa sasa ni katibu mkuu wa chadema!!! na usisahau kwamba Mbowe ni Disco Joker(DJ) kitaaluma but kwa sasa ni mwenyekiti wa chadema taifa!!!!! tuko pamoja mkuu.
Kweli mkuu unajua nyani huwa haoni kundule,hata lema hana taaruma yeyote lakini kwa sasa ni mbunge.
 
Sasa hapo nimeelewa tatizo kubwa la ndani ulilo nalo. Dr Stephen Ulimboka ni daktari kitaaluma na anafanya kazi yake ya kutibu wagonjwa lakini pia ni MWENYEKITI wa jumuia ya madaktari. Wewe kazi unayoifanya ya afisa habari ni ya KITAALUMA, ila unaweza kuwa Mwenyekiti wa UVCCM kwa mfano kwa sio kazi ya kitaaluma.

Pia sasa nimeelewa kuwa hata majukumu yako inawezekana huyajui. Kuwa fair kwa wanaCCM wenzio ingekuwa vizuri ungeweka na JOB DESCRIPTION yako hapa ili wajiridhishe na kuona ni aina gani ya kazi utakuwa unazifanya. Ila zingatia sana ushauri wangu bwana mdogo, kwa umri wako itafikia kuwa na familia, utapata watoto ambao watahitaji kusoma, tena katika shule nzuri tu. Lazima uwaze kuhusu maisha yako ya baadaye kwa kuwa na Job Security, hizi kazi za kupeana zawadi ni mbaya. Kwa mfano siku inatokema Mwigulu aliyekupa hiyo kazi anakuomba JICHO kwa mfano, na ukimpa jicho lako hutaona tena, lakini ukimnyima unarisk nafasi yako, utabaki njia panda na kujutia maisha yako. Njia nzuri ya maisha yako mdogo wangu ni kumuomba akusaidie upate shule ya kufundisha hapa Dar, piga kazi ya ualimu huku ukifanya siasa kama Party time. Kuna leo na kesho mdogo wangu.

ushauri mzuri sana ,asipokuelewa yatamkuta tena makubwa.Nimewahi kumshauri hiv hiv Mchange juu ya siasa za kuabudu mtu fulan,akadharau sasa yuko wapi,angetulia jimbo la kibaha on the future angechukua.
 
mbeya inahusiana vipi na utashi wa mtu.

Nduggu hiyo inauhusiano mkubwa sana kwani watu wanakuwa na general assumptions kuwa watu wa mbeya hawana misimamo na ni wasaliti daima hayo ndio mahusiano.kwanfano wafanya biashala ya madawa ya kulevya wametufanya watanzania kuwa kama watumwa viwanja vya ndege kwa kufanyiwa special inspection na hii imetokana na wafanya biashala ya madawa ya kulevya kutoka Tanzania kukamatwa kila mahali so tunaonekana kama watanzania wengi kama sio wote tuna deal na biashala halamu ya madawa ya kulevya.
 
Sio vituko nasema kweli nimeajiriwa toka mwezi wa Tano na nimeamua kusema ili kuondoa mkanganyiko wa kuniuliza kwamba nasema nikiwa kama nani!!!

Tulishakusahau, toka mwezi wa tano unatokezea Aug, usha expire .....naona unataka kuendeleza kukaa kwenye spot-line wakati ndo hivyo tena umebaki makapi.
 
Kwanza nijipe pongezi Mimi mwenyewe kwa kufanikisha kumaliza salama kifungo changu(ban) hapa JF.

Napenda kusema haya ili kuondoa Mkanganyiko na maswali yasiokuwa na ulazima, Mimi Mtela Mwampamba ni mtumishi wa Chama cha Mapinduzi na niko katika Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi(UVCCM) na mimi ndie Mkuu wa kitengo cha Habari na mawasiliano ya UMMA makao makuu ya umoja wa vijana wa CCM.

Naomba ifahamike hivyo na nitatoa ushirikiano wa kutosha hapa JF kwa maswala yanayohusu UVCCM na Mwisho napenda kuwakumbusha kwamba Vinavyoelea ziwani hata baharini pia vinaelea na Haramu kwako Halali kwa Mwenzio.

VIVA UVCCM VIVA.

Wanawalisheni nini huko gereza la JF? Unajisikia vipi eti ukiwa kwenye ban?
 
wewe unahangaikia nini hapa? waambie..na wewe tumbo street! au? akili yako inawaza kula tu!
Khaa!! imekugonga eeh. Tatizo uongo wenu wa kwenye majukwaa ya uswahilini munauleta hapa mkidhani wote wana akili kama ya kuku. Hebu jifunzeni kabla ya kusema jambo jiulizeni mnasema kwa nani :bored:
 
Kwanza nijipe pongezi Mimi mwenyewe kwa kufanikisha kumaliza salama kifungo changu(ban) hapa JF.

Napenda kusema haya ili kuondoa Mkanganyiko na maswali yasiokuwa na ulazima, Mimi Mtela Mwampamba ni mtumishi wa Chama cha Mapinduzi na niko katika Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi(UVCCM) na mimi ndie Mkuu wa kitengo cha Habari na mawasiliano ya UMMA makao makuu ya umoja wa vijana wa CCM.

Naomba ifahamike hivyo na nitatoa ushirikiano wa kutosha hapa JF kwa maswala yanayohusu UVCCM na Mwisho napenda kuwakumbusha kwamba Vinavyoelea ziwani hata baharini pia vinaelea na Haramu kwako Halali kwa Mwenzio.

VIVA UVCCM VIVA.
:yield:eti samahani hivi hiyo uvccm ndiyo green guild ,? eti unamaanisha mapungufu ya ccm hayawezi kuzibwa na upinzani na pia ufisadi wa pesa za uma ni haramu kwa wapenda haki na ni halali kwa mafisadi. nadhani nimekupata vyema mkuu mwampamba.
 
Aksante kwa kukubali kujibu hoja. Mi naomba maelezo kwa nini chama chako hakitaki masuala ya HAKI ZA BINADAMU na MAADILI YA VIONGOZI WA UMMA visiwemo/visijumuishwe kwenye katiba mpya? Nijiu kwa kuweka hapa jamvini na niwekee kwenye PM yangu, natumia simu hivyo naweza nisizione coments bt PM ntaiona.
 
Kwanza nijipe pongezi Mimi mwenyewe kwa kufanikisha kumaliza salama kifungo changu(ban) hapa JF. Napenda kusema haya ili kuondoa Mkanganyiko na maswali yasiokuwa na ulazima, Mimi Mtela Mwampamba ni mtumishi wa Chama cha Mapinduzi na niko katika Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi(UVCCM) na mimi ndie Mkuu wa kitengo cha Habari na mawasiliano ya UMMA makao makuu ya umoja wa vijana wa CCM. Naomba ifahamike hivyo na nitatoa ushirikiano wa kutosha hapa JF kwa maswala yanayohusu UVCCM na Mwisho napenda kuwakumbusha kwamba Vinavyoelea ziwani hata baharini pia vinaelea na Haramu kwako Halali kwa Mwenzio. VIVA UVCCM VIVA.
nakuone huruma mbulula wewe. hivi unaweza kusimama za watu na kuleta maneno eti wewe ni Mkuu wa kitengo cha Habari na mawasiliano ya UMMA makao makuu ya umoja wa vijana wa CCM. unyama mnaowatendea hao wananchi hususani pale ambapo CDM INAPOWABANA HUONI UMEPITWA NA WAKATI WEWE? VIJANA WANAOCHIPIKA HAWAWEZI KUKAA CCM KAMA SIO WANAGANGA NJAA KWA KUOKOTA MAKOMBO YA MAFISADI. CCM INA WANACHAMA WENYE VIPAJI VYA KUUZA MADAWA YA KULEVYA, KUFILISI MALI ZA NCHI YETU, KUINGIA MIKATABA BILA KUSOMA NA MATOKEO WANANCHI WANAUAWA BILA HATIA
 
Back
Top Bottom