Ukweli kuhusu Mtela Mwampamba

Ukweli kuhusu Mtela Mwampamba

Kwanza nijipe pongezi Mimi mwenyewe kwa kufanikisha kumaliza salama kifungo changu(ban) hapa JF.

Napenda kusema haya ili kuondoa Mkanganyiko na maswali yasiokuwa na ulazima, Mimi Mtela Mwampamba ni mtumishi wa Chama cha Mapinduzi na niko katika Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi(UVCCM) na mimi ndie Mkuu wa kitengo cha Habari na mawasiliano ya UMMA makao makuu ya umoja wa vijana wa CCM.

Naomba ifahamike hivyo na nitatoa ushirikiano wa kutosha hapa JF kwa maswala yanayohusu UVCCM na Mwisho napenda kuwakumbusha kwamba Vinavyoelea ziwani hata baharini pia vinaelea na Haramu kwako Halali kwa Mwenzio.

VIVA UVCCM VIVA.

KWETU MTU WA KARIBA YAKO TUNAITA NDONDOKELA yaani asiye tumia ubongo na maarifa yake kutenda wa makao makuu UVCCM
 
Hii Picha hapo nyumbani kwenu ukipika uji/ugali sura inaonyesha jinsi ulivyo rahisi kuton. . . .wa. Unaonekana u're not strong enough kuwa mwanaume, ukouko WEAK.
Waliberali ni rahisi sana kukuvamia na ukakubali
 
Nani kampongeza huyu jamaa kuleta bandiko bila kumtaja Slaa au CDM? naomba siku nyingine usitoe pongezi mapema mpk ujiridhishe ,hao sasa kawataja naomba ufute pongezi zako.

Mkuu sorry nilidhani jamaa kabadilika kumbe BADO AKIRI ZAKE NDOGO TU!
 
kuna mtu alikuwa amekupongeza hapo juu kwamba kwa mara ya kwanza umeweka uzi bila kuwataja hao watu lakini kumbe alikuwa anapoteza muda wake tu. Ama kweli sikio la kufa.........!

Cc henge

mkuu hyuyu mtu kumbe bado bogus tu!
 
Ma Great Thinkers, hivi hapa "mna discussion" kitu gani?

Mkuu Mwita Maranya ee, hapa hoja ipo Mkuu wangu; na si hoja ndogo kihivyo; ni kubwa. We angalia tu kwa makini utaiona. Hivi...utingo anapopewa basi aendeshe, kadri unavyoona wewe, humo ndani ya hilo basi hakuna ishu kweli?
 
Le mutuz a.k.a William Malecela alikuja hapa na kulalamika kuwa UVCCM mmekuwa kimya kwenye mijadala ya rasimu ya katiba na akafika mbali na kuhoji UVCCM ya sasa imekuwa sio machachari kama ile ya enzi zile za mwaka 47.

Ningependa wewe kama msemaji wa UVCCM utoe ufafanuzi juu ya maswali yafuatayo:

Je UVCCM mmesusia mpango wa kuhamasisha wanachama wenu kutetea maslahi ya CCM kwenye katiba mpya kama wafanyavo Jumuiya ya Wazazi CCM hadi kufikia hatua ya mjumbe wa jumuiya hiyo ya wazazi kulalamika mitandaoni??

Je UVCCM mmegoma kulishwa maneno na Nape Nnauye that why hamuonekani mkiendesha mabaraza ya katiba kama aliyolalamika William Malecela hapa jamvini???

Mtela Mwampamba. Unahitajika huku tafadhali.
 
Last edited by a moderator:
Sio hivyo mkuu nazani umesahau kwamba hata Dk Slaa ni Padre kitaaluma but kwa sasa ni katibu mkuu wa chadema!!! na usisahau kwamba Mbowe ni Disco Joker(DJ) kitaaluma but kwa sasa ni mwenyekiti wa chadema taifa!!!!! tuko pamoja mkuu.
Ni fundisho kwa wale wooote wanaojifanya kuwa ni CCM damu,mwenzenu kaja juzi karamba shavu na DUKA kaanzishiwa!
 
Huwezi jifanananisha na hao wote uliwataja hao si saizi yako, wewe ni tambala bovu utakanyagwa na akina nape na mwigulu then utatupwa jalalani waulize akina Ngawaiya na Tambwe, njaa mbaya sana dogo, subiri hukumu yako kwa vile vifo vya watoto mliowaua wa Arusha.

Slaa anaelimu ya Theologia(dini) na mbowe ana zero form six Ihungo secondary but mimi nina Degree kwa hio kweli hawa jamaa sio size yangu.
 
Kweli CCM ni chama cha ajabu sanaa,sasa huyu dogo amekaa chini na kuanzisha thread hapo ameandika nini hasa??

Sishangai hata Nape na Mwigulu wote wana akili sawa na huyu mtoto....

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Mie naona kaandika kiapo tu.
 
Najaribu kufikiri kwa vitendo zama ambapo Katibu wa UVCCM alikuwa Lawrence Gama...
 
Sio hivyo mkuu nazani umesahau kwamba hata Dk Slaa ni Padre kitaaluma but kwa sasa ni katibu mkuu wa chadema!!! na usisahau kwamba Mbowe ni Disco Joker(DJ) kitaaluma but kwa sasa ni mwenyekiti wa chadema taifa!!!!! tuko pamoja mkuu.
Da ndio maana watoto wetu wanafeli kama hawa ndio waalimu wenyewe. Hivi wewe ulishasikia wapi ukatibu wa chama au uenyekiti ni taaluma na inasomewa, ninyi ndio mnataka kwenda kusomea urais.

Kuwa mkuu wa kitengo cha habari na mawasiliano lazima uwe na taaluma ya habari vinginevyo utakuwa unatuletea habari utumbo kama hizi. Ukiambiwa umepachikwa kukupumbaza (yaani umekuwa msukule), usikasirike ukweli ndio huo.
 
Slaa anaelimu ya Theologia(dini) na mbowe ana zero form six Ihungo secondary but mimi nina Degree kwa hio kweli hawa jamaa sio size yangu.
Unazidi kujidhalilisha, umepata degree lakini nina uhakika hujaelimika, uwezo wako wa degree ni mdogo kuliko wa Mbowe. Sina shaka ulipata degree ya madesa, na usibishe.

Si wote wenye degree wameelimika, wewe ni mmoja wapo. Na naomba endelea kuuza duka la nguo, usirudi tena darasani, watoto wetu watafeli wote.
 
Back
Top Bottom