Ukweli kuhusu Mtela Mwampamba

Ukweli kuhusu Mtela Mwampamba

Kwanza nijipe pongezi Mimi mwenyewe kwa kufanikisha kumaliza salama kifungo changu(ban) hapa JF.

Napenda kusema haya ili kuondoa Mkanganyiko na maswali yasiokuwa na ulazima, Mimi Mtela Mwampamba ni mtumishi wa Chama cha Mapinduzi na niko katika Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi(UVCCM) na mimi ndie Mkuu wa kitengo cha Habari na mawasiliano ya UMMA makao makuu ya umoja wa vijana wa CCM.

Naomba ifahamike hivyo na nitatoa ushirikiano wa kutosha hapa JF kwa maswala yanayohusu UVCCM na Mwisho napenda kuwakumbusha kwamba Vinavyoelea ziwani hata baharini pia vinaelea na Haramu kwako Halali kwa Mwenzio.

VIVA UVCCM VIVA.

Umesahau kutambulisha pia cheo chako cha ukaputeein wa LB7 (lumumba buku 7)...
 
Wanakulipa kweli,,usije ukawa unapoteza mda wako bure,,,,,
 
Hakuna dhambi mbaya kama ya usaliti,,ipo siku itafika tutampokea mtela mwampamba akiwa analia na machozi mengi yakimtiririka na kujutua kukubali kurubuniwa,,na aamini,,,huyu kijana bado anatapatapa nakuzani alipokimbilia nisehemu salama na sahihi kwa maisha yake,,,SIASA NI MCHEZO MCHAFU NDIO MAANA HATA SASA UPO CCM BILA KUJUA KWAMBA WEWE UMETUMIKA KAMA DARAJA LA BAADHI YA WATU FLANI KUTIMIZA MALENGO YAO...KIJANA LAZIMA UJITAMBUE,,USIKAE KI DHAIFU DHAIFU..
 
Mtela Mwampamba, Umesahau haya. Wewe ni mvuta bangi sugu toka Enzi za Mbeya Secondary School (Mbeya Day). Unakumbuka ilifikia wakati ukawa unaitwa Ganzi pale shuleni kwa sababu muda wote ulikuwa na stim ya bangi? Umeacha jina lako la Ganzi siku hizi? Kweli CHADEMA na CCM wote hawafanyi background search na nchi hii ina uhaba wa viongozi. Si kila mtu anayefanya siasa ni kiongozi au ana maadili yanayomfanya kuwa kiongozi.
 
Kwanza nijipe pongezi Mimi mwenyewe kwa kufanikisha kumaliza salama kifungo changu(ban) hapa JF.

Napenda kusema haya ili kuondoa Mkanganyiko na maswali yasiokuwa na ulazima, Mimi Mtela Mwampamba ni mtumishi wa Chama cha Mapinduzi na niko katika Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi(UVCCM) na mimi ndie Mkuu wa kitengo cha Habari na mawasiliano ya UMMA makao makuu ya umoja wa vijana wa CCM.

Naomba ifahamike hivyo na nitatoa ushirikiano wa kutosha hapa JF kwa maswala yanayohusu UVCCM na Mwisho napenda kuwakumbusha kwamba Vinavyoelea ziwani hata baharini pia vinaelea na Haramu kwako Halali kwa Mwenzio.

VIVA UVCCM VIVA.

Hivi uvccm wamekosa kijana mwenye weledi akawasemea hata wakaamua kukupa nafasi hio huku wakijua una upungufu mkubwa wa kufikiri na kujieleza. tena mwenye mtizamo uliokufa na bahati mbaya zaidi umepungukiwa haya yaani hujielewi hata kufikia hatua kutukana watu ambao kwa umri ni baba zako! tena unapenda sifa za kijinga eti mi nina duka chang'ombe, Duka kitu Gani? Duka litakuwa Chang'ombe?
 
Mods huu upuuzi ukiendelea kufanywa na hawa wapuuzi tutakuwa hatulitendee haki Jukwaa. Naomba adhabu zichukuliwe kwa huyu mpuuzi.
hapo kama vile umeshikwa ugoni!!!!! teh tehe! kwa kifupi tunakuchora sisi ni maveterani wa huo UVCCM. tuneacha madaraka mwaka jana tu! acha kutulisha matango pori (uongo)
 
Kumbe kutoka kifungoni umefanikisha mwenyewe...! MOD mtuambie siku hizi watu wanafanikisha wenyewe kutoka kwenye ban mpaka wanajipongeza??! Inabidi apate tena ban kama sivyo..
 
:smile-big::smile-big:Upadre sio taaluma kaka,kwa ss Wakatoliki , Upadre ni wito km ilivyo ndoa ,uzuri wewe mwenyewe unajua wazi kuwa ndoa sio taaluma
 
Sio hivyo mkuu nazani umesahau kwamba hata Dk Slaa ni Padre kitaaluma but kwa sasa ni katibu mkuu wa chadema!!! na usisahau kwamba Mbowe ni Disco Joker(DJ) kitaaluma but kwa sasa ni mwenyekiti wa chadema taifa!!!!! tuko pamoja mkuu.

KINANA NI JANGILI, leo hii ni KATIBU WENU WA CHAMA, AZZAN ni DRUG DEALER leo hii ni MBUNGE WENU, MWIGULU ni ............................. MALIZIA MWENYEWE leo hii ni naibu katibu mkuu wa chama chenu cha utekaji na kung'oa watu kucha Afrika Mashariki
 
Napenda kuwapa ccm pole kubwa , kwani wamepata mwalimu ambae hata kutofautisha taaluma na uzoefu au sifa za
ziada hajui sasa hizo hahari za chama chake atazitoaje km haitakuwa ni Umakamba kutoa taarifa hata ambazo sio za chama
anaenda kwenye vyombo vya habari na mimi naamini ccm hawawezi kukuruhusu utoe taarifa zozote kulingana na ufahamu kuwa nje ya mawazo ya binadamu wa dunia ya tatu.Asante.
 
Sio hivyo mkuu nazani umesahau kwamba hata Dk Slaa ni Padre kitaaluma but kwa sasa ni katibu mkuu wa chadema!!! na usisahau kwamba Mbowe ni Disco Joker(DJ) kitaaluma but kwa sasa ni mwenyekiti wa chadema taifa!!!!! tuko pamoja mkuu.

umesahau ukweli je Mbowe alisomea na kupata cheti chuo gani? au ndio dharau unaendeleza utapigwa ban tena?

kuhusu Dr. Slaa sio padri tu mbona amesomea masuala ya Sheria, hulijui hilo, undahani anaongoza kimakosa pale? sasa ww mwalimu na kazi yako, mm sijui, inawezekana umepewa kama malipo baada ya kazi ya kuchafua cdm kwa bidii ingawa haikuweza kufanikiwa

je na tambwe hiza yuko wapi sasa hv
 
Mtela hiyo ndio ahadi uliyopewa, nimeamin umevumilia sana,mpaka umepewa ajira waliyokuahid ukasign out ubunge! Wanamboz wanakusubiri.
 
Angalau ww wamekutimizia ahadi walokupa dogo,kazana kula ucsahau kuweka maana utawachomoeni mda si mrefu,mguu wa panzi huo
 
Kwanza nijipe pongezi Mimi mwenyewe kwa kufanikisha kumaliza salama kifungo changu(ban) hapa JF. Napenda kusema haya ili kuondoa Mkanganyiko na maswali yasiokuwa na ulazima, Mimi Mtela Mwampamba ni mtumishi wa Chama cha Mapinduzi na niko katika Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi(UVCCM) na mimi ndie Mkuu wa kitengo cha Habari na mawasiliano ya UMMA makao makuu ya umoja wa vijana wa CCM. Naomba ifahamike hivyo na nitatoa ushirikiano wa kutosha hapa JF kwa maswala yanayohusu UVCCM na Mwisho napenda kuwakumbusha kwamba Vinavyoelea ziwani hata baharini pia vinaelea na Haramu kwako Halali kwa Mwenzio. VIVA UVCCM VIVA.
Kwa kua siasa kwako ni kutafuta shibe binafsi nakupongeza. Wapo vijana wenzako ambao wanasukumwa na itikadi au imani ya kisiasa. Wanakerwa na umaskini wa watanzania, wanakerwa na kukosekana uadilifu na kukithiri kwa rushwa, wanataka uwepo wa utawala bora. Kama wewe unachotafuta kwenye siasa ni halali yako basi ccm umefika.
 
namfahamu mtela ni msaliti kwa historia toka tunasoma shule ya msingi,meta sec.duce nk yeye ni kigeugeu na ni mroho wa vyeo popote alipo.nachofahamu mm zaidi kuhusu mtela unafiki na umbea kwa wakubwa wake nahupenda sana kuwaharibia wenzake ndani ya jumuiya anayo kuwamo.pia kwakuwa ni mchope wa fedha anasifika kwa kutumiwa na kama....... na wenye pesakimsingi hana jipya wala ukweli wowote kwa watanzania
 
Back
Top Bottom