Ukweli kuhusu Mtela Mwampamba

Ukweli kuhusu Mtela Mwampamba

Naona usaliti kwa CDM unalipa kwako??? Na kwa thread hii umedhamiria kuwashawishi reject wengine waliopo CDM kwa ndoto za kuuota U-Dc wakubali ulaghai wa magamba ili wahongwe vyeo kama wewe.
 
kazi kweli kweli ama kweli ccm wamejaa vilaza lol.
 
Kwanza nijipe pongezi Mimi mwenyewe kwa kufanikisha kumaliza salama kifungo changu(ban) hapa JF.

Napenda kusema haya ili kuondoa Mkanganyiko na maswali yasiokuwa na ulazima, Mimi Mtela Mwampamba ni mtumishi wa Chama cha Mapinduzi na niko katika Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi(UVCCM) na mimi ndie Mkuu wa kitengo cha Habari na mawasiliano ya UMMA makao makuu ya umoja wa vijana wa CCM.

Naomba ifahamike hivyo na nitatoa ushirikiano wa kutosha hapa JF kwa maswala yanayohusu UVCCM na Mwisho napenda kuwakumbusha kwamba Vinavyoelea ziwani hata baharini pia vinaelea na Haramu kwako Halali kwa Mwenzio.

VIVA UVCCM VIVA.

Unafaham kuwa ujazonene (density) wa maji ya baharini na ziwani(freshwater) ni tofauti sana?
Wafaham kuwa kwa ajili hiyo, kieleacho baharini chaweza zama ziwani?
 
....... Mimi Mtela Mwampamba ni mtumishi wa Chama cha Mapinduzi na niko katika Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi(UVCCM) na mimi ndie Mkuu wa kitengo cha Habari na mawasiliano ya UMMA makao makuu ya umoja wa vijana wa CCM.

Naomba ifahamike hivyo na nitatoa ushirikiano wa kutosha hapa JF kwa maswala yanayohusu UVCCM na Mwisho napenda kuwakumbusha kwamba Vinavyoelea ziwani hata baharini pia vinaelea na Haramu kwako Halali kwa Mwenzio.

VIVA UVCCM VIVA.
Hili ndo kosa kubwa la CCM. Angalia kuna wakati kitengo cha uenezi kiliongozwa na wahamiaji (Tambwe, yule kijana ambaye ni Mkuu wa Wilaya etc). Hivi ni sawa na walivyompa Nape (CCJ) hii nafasi. Inasikitisha kwa kuona mtu ambaye anakuwa mwenezi wakati ni kigeugeu. Hii ni sawa na kumfanya Receptionist mtu ambaye haijui vizuri taasisi. Msemaji wa Taasisi ni mtu ambaye siyo subject matter specialist. Naona kuna viongozi wa CCM wanapenada kuiua. Hivi huwa najiuliza sababu za kumweka Mzee Wasira katika CC sipati jibu. Jua ukimkamata mke/mme anacheza mechi za mchangani usidhani kaacha!!!!! Anyway CDM yetu tujifunze kutokana na makosa yao.
 
Mmmh ni vyema ukaishukuru CHADEMA maana imekutoa kisiasa mpaka CCM wakahisi una potential za kuwa kiongozi wa chipukizi. Hongera maana najua CCM kwa cheo kama chako unapata mshahara sawa na sisi wahandisi wa wilaya japo hufanyi jambo la maana sana. Sasa hapo inabidi utulie ili umalize matatizo yako yote lakini pia usisahau kuwekeza maana kwa hicho cheo kupata shamba wilayani sio tatizo maana ni kawaida kwa viongozi wa CCM kupeana zawadi za namna hiyo.
 
Wivu wa kike unawakereketa vijana wa BAVICHA.
Muulizeni James Ole Milya sasahivi hata KIU haliandiki habari yake, lakini Mwenzake Mrisho Gambo anaongoza Korogwe!
Roho zinawaumaaaaaa
 
Nimemwachia Josephine Mushumbuzi aendelee nayo!!!

heeeeee!! kumbe wewe ni mtalaki wa kwanza wa Dr.? mbona wasema umemuachia Josephine?

ndo maana jamaa wanasema utakuwa ni king'asti wa nchemba " the liquidator" na
kama ndiyo kazi unayo bhandugu.

ushauri: badili tabia vinginevyo hapa mjini utaolewa sana tu.

aibu sana kuwa na vijana wenye fikra na mitazamo kama yako.
kwa vyovyote vile utakuwa mbwege kupindukia wewe.
 
Wewe mwakotono hivi Dr Slaa ana taaluma ya upadri, hiyo taaluma sijawahim kuisikia. hivi yeye ni Dr wa nini vile
 
Kwanza nijipe pongezi Mimi mwenyewe kwa kufanikisha kumaliza salama kifungo changu(ban) hapa JF.

Napenda kusema haya ili kuondoa Mkanganyiko na maswali yasiokuwa na ulazima, Mimi Mtela Mwampamba ni mtumishi wa Chama cha Mapinduzi na niko katika Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi(UVCCM) na mimi ndie Mkuu wa kitengo cha Habari na mawasiliano ya UMMA makao makuu ya umoja wa vijana wa CCM.

Naomba ifahamike hivyo na nitatoa ushirikiano wa kutosha hapa JF kwa maswala yanayohusu UVCCM na Mwisho napenda kuwakumbusha kwamba Vinavyoelea ziwani hata baharini pia vinaelea na Haramu kwako Halali kwa Mwenzio.

VIVA UVCCM VIVA.
Stupidest thread from studpest of all
 
Kweli hela yetu kupitia HESLB ilipotea bure!
Ni bora ngalipewa marehemu Matonya

huyo hana degree bali ana cheti cha kuokoteza. Maana hata aliyemaliza std 7 amemzidi busara huyu kibaraka
 
Sio hivyo mkuu nazani umesahau kwamba hata Dk Slaa ni Padre kitaaluma but kwa sasa ni katibu mkuu wa chadema!!! na usisahau kwamba Mbowe ni Disco Joker(DJ) kitaaluma but kwa sasa ni mwenyekiti wa chadema taifa!!!!! tuko pamoja mkuu.
njaa mbaya sana mwalim wewe si saizi ya mbowe kabisa wala slaa,, hata kama dj or padre si saiz yako broo
 
Slaa anaelimu ya Theologia(dini) na mbowe ana zero form six Ihungo secondary but mimi nina Degree kwa hio kweli hawa jamaa sio size yangu.

kumbe wewe hata shule yako ndogo sana.nahofia isijekuwa ni zile degree zinazozungumzwa kuwa za chupi mkononi.
kwa taarifa yako mingoni mwa world great thinkers ni wanafalsafa(philosophers) na theologians(wanateolojia) ambao kimsingi Plato amewaelezea kuwa ndio wanastahili kuwa states man.
wewe na degree uchwala ujilinganishe na Dr.mbobevu katika moja ya mambo yaliyotajwa na elites wa ulimwengu huu.
ajabu.
acha uvivu wa kufikiri,nenda kasome uje na idea zinazofanana na upeo wa mtu mwenye degree.lkn siyo hiyo uliyonayo naona kama umebambikiziwa vile.
Pengine niulize maswali madogo tu,
>je umepata kujiunga chuo kikuu kwa sifa stahiki au unae mjomba wako mhadhiri hapo chuoni?
>je huoni kuwa uwezo wako ktk kufikiri na kudadavua mambo ni mdogo kuliko elimu uliyonayo?
>je unaonaje kama tu utaamua wewe mwenyewe kwa uzalendo ulionao wa ki- UVCCM kubatilisha shahada yako kwa kuwa umeonekana kuidharirisha kupita kiasi?
n.b zungumza kwa kufikiri na si kwa kukurupuka? unajidharirisha we mbwege!!
 
Njaa ni mbaya sana na kwa kawaida huwa (physiologically) mwanaume huwa anatumia part moja ya brain to decide things of which he comes up with bright and wise consensus never mind nadhan mwampamba hukutumia part yako moja ya brain rather you used two parts like a woman na maana kwamba kule ulichokipinga leo hii umetumbukia humo uh! poor thinking
 
Back
Top Bottom