Ukweli kuhusu Mtela Mwampamba

Ukweli kuhusu Mtela Mwampamba

Sio hivyo mkuu nazani umesahau kwamba hata Dk Slaa ni Padre kitaaluma but kwa sasa ni katibu mkuu wa chadema!!! na usisahau kwamba Mbowe ni Disco Joker(DJ) kitaaluma but kwa sasa ni mwenyekiti wa chadema taifa!!!!! tuko pamoja mkuu.
Upadre sio taaluma dogo, muulize Dokta wa kwe atakuelimisha, na pia UDj sio taaluma vile vile. Acha kashfa tafadhari!!!!
 
Wewe ni miongoni mwa vijana walionifanya niichukie siasa.....hamfanyi kazi zaidi ya kutegemea kujipendekeza kama ajira rasmi.
 
Napata shida sana kuona kiongozi ana akili ndogo kiasi hiki. Usidhani kila anayetoa maoni kwenye uzi wako ni mwanachadema. Ungefanya vyema kutoa mifano ndani ya chama chako kuliko kutaja walioko vyama vingine. Unataka kutuambia kuwa mnajifunza na kuiga kutoka vyama vingine hata kama wanafanya makosa?

mkuu saivi sehemu yoyote hile ukiongea ukweli ama ukidai haki kwa jambo lolote unaitwa chadema.
 
jamaa wanavyokunyanyasa kwa kukutia masingi jamvini si utalipuka tena wataku-ban?
 
Hahahah...Na wewe nawe...Joblesss......kukalia JF tu......Ni aibu kuwa na vijana au wazee kama wewe katika taifa hili.....Hivi kwa mtu anaemwona Mwampamba ana akili....duh...huyo atakuwa ndo hamnazo.....huyu Stella ni makapi ya Bavicha alitimuliwa....Na hata nyie CCM amewasaidia nini hadi sasa?

mkuu sio makapi ni vibud..u
 
Mbona hata FRED MPENDAZOE nae kama siku hizi pia hasikiki vp kuna nini!!!!!!!

Usijifananishe na Mpendazoe wewe, Mpendazoe ni mtaalamu wa mambo ya mazingira na maji na sasa analitumikia taifa kupitia SNV na anakula $$ kibao, unataka kumfananisha na nyie kweli.
 
mimi nina Degree but mbowe ana zero form six na ni mwenyekiti wa chadema taifa!!!!!!!!

Mkuu hako ka bachelor kako ka educaton si kitu, mbowe anaweza kukuchukua wewe,demu wako kaduka kako ka keko na hizo milion zako nne na laki nane kwa miaka mitano akazitumia kujengea choo chake cha nje kule kwake HAI. Huna unachoweza kujilinganisha nae
 
Kila Raheri hila uwena siasa za kistraabu usiwe kama wassira na nape, Jifunze kutoka kwa Makamba, usiige kama Msomali Kinnnana mzee wa pembe za Ndovu vumilia vituko kama Mkama, Usilie unapopata shida kama liwalo na liwe A.K.A. Wapigwe tu . Usilimbikizie Mali kama Nkapa na nduguze, usitake cheo kwa lazima kama lowa hasaa.
 
Sio hivyo mkuu nazani umesahau kwamba hata Dk Slaa ni Padre kitaaluma but kwa sasa ni katibu mkuu wa chadema!!! na usisahau kwamba Mbowe ni Disco Joker(DJ) kitaaluma but kwa sasa ni mwenyekiti wa chadema taifa!!!!! tuko pamoja mkuu.

Yaleyale, huwezagi kumaliza comments zako bila kuwataja hao watu!!!
 
Mods huu upuuzi
ukiendelea kufanywa na hawa wapuuzi tutakuwa hatulitendee haki Jukwaa.
Naomba adhabu zichukuliwe kwa huyu mpuuzi.

tulia wewe sindano iingie vizuri!
Unadhani wote ni vilaza kama watoto wa lumumba? Tuko ambao tunaijua ccm more than you will neva know it..
 
Mtela Mwampamba wa CCM, UMEMALIZA!

Hawa pro CHADEMA walidhani upo CCM kwa kutanga tanga?, you're in CCM to stay, we're all in CCM to stay. Period.

hahahaha.!
Vione eti vinafarijiana kwa kupapasana migongoni
teh teh teh
 
Kwanza nijipe pongezi Mimi mwenyewe kwa kufanikisha kumaliza salama kifungo changu(ban) hapa JF.

Napenda kusema haya ili kuondoa Mkanganyiko na maswali yasiokuwa na ulazima, Mimi Mtela Mwampamba ni mtumishi wa Chama cha Mapinduzi na niko katika Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi(UVCCM) na mimi ndie Mkuu wa kitengo cha Habari na mawasiliano ya UMMA makao makuu ya umoja wa vijana wa CCM.

Naomba ifahamike hivyo na nitatoa ushirikiano wa kutosha hapa JF kwa maswala yanayohusu UVCCM na Mwisho napenda kuwakumbusha kwamba Vinavyoelea ziwani hata baharini pia vinaelea na Haramu kwako Halali kwa Mwenzio.

VIVA UVCCM VIVA.

Ni wewe uliyegombea ubunge mkoani mbeya jimbo la mbozi mashariki 2010 kupitia CDM? Au nakuchnganya?
 
Kumbe mkitibiwa mnatibika ...hongera kwa kukua kwani nilisema ukikua utaacha tu yale mambo yako , karibu sana uwanjanai tuendelee kupiga libeneke.
 
Leo ndo umekuja kusema ukweli! Je, yule Tambwe Hiza yeye ni nani saivi ndani ya CCM? Hajasikika muda mrefu saivi kuna nini kimemtokea?

Tambwe Hiza alikuwa Kipaza sauti cha Mzee Makamba,sasa amerudi ktk biashara yake ya vipanya Mbagala kwenda Mbande.Huyu Mwampamba sijui itakuwaje baada ya Nchemba maana naye maji ya Shingo.
 
Back
Top Bottom