majorbuyoya
JF-Expert Member
- Apr 1, 2012
- 1,828
- 568
......Karibu tena jamvini, tulimiss sana pumba zako ila nadhani kwa sasa utakuwa umejifunza kuwa na staha unapoandika hapa JF maana hapa sio Lumumba ambapo mnaruhusiwa kuropoka ropoka.
yule ilikuwa nguvu ya soda tu, angalia mwita waitara anavyosigana na heche kule tarime. heche ni first love wa slaa, mwita anajilazimishiaMbona hata FRED MPENDAZOE nae kama siku hizi pia hasikiki vp kuna nini!!!!!!!
Khaa!! Ruzuku ikikata tu kibarua nacho kinaota :bored:
Kwanza nijipe pongezi Mimi mwenyewe kwa kufanikisha kumaliza salama kifungo changu(ban) hapa JF.
Napenda kusema haya ili kuondoa Mkanganyiko na maswali yasiokuwa na ulazima, Mimi Mtela Mwampamba ni mtumishi wa Chama cha Mapinduzi na niko katika Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi(UVCCM) na mimi ndie Mkuu wa kitengo cha Habari na mawasiliano ya UMMA makao makuu ya umoja wa vijana wa CCM.
Naomba ifahamike hivyo na nitatoa ushirikiano wa kutosha hapa JF kwa maswala yanayohusu UVCCM na Mwisho napenda kuwakumbusha kwamba Vinavyoelea ziwani hata baharini pia vinaelea na Haramu kwako Halali kwa Mwenzio.
VIVA UVCCM VIVA.
yule ilikuwa nguvu ya soda tu, angalia mwita waitara anavyosigana na heche kule tarime. heche ni first love wa slaa, mwita anajilazimishia
Sio hivyo mkuu nazani umesahau kwamba hata Dk Slaa ni Padre kitaaluma but kwa sasa ni katibu mkuu wa chadema!!! na usisahau kwamba Mbowe ni Disco Joker(DJ) kitaaluma but kwa sasa ni mwenyekiti wa chadema taifa!!!!! tuko pamoja mkuu.
Kweli CCM wameaoza na ujinga wote huo na akili ndogo wanakuweka kwenye umma sijui mawasiliano ? Hakika sikutegemea kwamba njaa hadi unaamua kufanya propaganda .Kumeb you only wanted ka mrija kako uwe unakulana Chadema hakuna mkaanza vurugu? Haya tunakumulika mkuu huchomoki hapa .
Kuna picha Mbowe akiwa ameweka kalikiti nywele na pia nikiwa chadema mala nyingi tu alikuwa anakumbushia UDJ hasa kweli yale mafuso ya chadema.
Huwezi hubiri neno la Mungu bila kumtaja shetani!!!Kuna mdau alikusifia kwamba unaonekana kukua kwa kupost bila kumtaja Mbowe, Dr Slaa na chadema bt naona uvumilivu umekushinda.
Evidence mzee..... tunaomba picha ya kuonyesha akiwa DJ..
Kuweka "kalikiti" kwenye nyewe sio enough evidence
Na Juliana Shonza ni nani?
Mbona hata FRED MPENDAZOE nae kama siku hizi pia hasikiki vp kuna nini!!!!!!!
GANZI.....ulichoposti kama thread haviendani kabisa na content,hivi chuo kikuu ulikuwa unapresent nini?badilika sana mdogo wangu.Kwanza nijipe pongezi Mimi mwenyewe kwa kufanikisha kumaliza salama kifungo changu(ban) hapa JF.
Napenda kusema haya ili kuondoa Mkanganyiko na maswali yasiokuwa na ulazima, Mimi Mtela Mwampamba ni mtumishi wa Chama cha Mapinduzi na niko katika Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi(UVCCM) na mimi ndie Mkuu wa kitengo cha Habari na mawasiliano ya UMMA makao makuu ya umoja wa vijana wa CCM.
Naomba ifahamike hivyo na nitatoa ushirikiano wa kutosha hapa JF kwa maswala yanayohusu UVCCM na Mwisho napenda kuwakumbusha kwamba Vinavyoelea ziwani hata baharini pia vinaelea na Haramu kwako Halali kwa Mwenzio.
VIVA UVCCM VIVA.
Wana jf, huyo maamuma asiwadanganye chochote,
Ofisi ya CCM makao makuu au ngazi yoyote ile haimtambui Mtela Mwampamba aka Ganzi kuwa ni kiongozi wa kikundi au idara yoyote ndani ya ccm,
Kilichopo nikuwa yupo kwenye ofisi ya Mwigulu Nchemba na amekuwa akishiriki au akiambatana na Mwigulu katika kazi zake tu, hivyo amejivika ufalme huo,
Kwamjibu wa uchaguzi wa ccm uliofanyika mwaka jana, na uteuzi wa idara na kamati zake,
Kitengo unachodai wewe ni MKUU wake sio kweli, bali Mwigulu Nchemba ndie MKUU wake na ndie husimamia, huongoza na huratibu shuguli za idara hiyo (nyeti) na zaidi yeye ndie huwasilisha ripoti zake zote kwa mkuu wa idara ya siasa wa TISS mama T.G,
Huyo mama ndie huwasirisha rasmi kwa mwenyekiti wa Chama raisa JK,
Sasa unawahadaa watu hapa bila kujua kuwa tunajua kila kitu hapo lumbumba,
Nenda kawadanganye huko FB sio hapa,
Jifunze kuheshimu wengine ili uepukane na adhabu za hapa JF...karibu tena jukwaani!!
Muulize Lemutuz atakuwekea picha maana anamfahamu vizuri sana mr zero!
Inajulikana wazi umelipataje na huna haja ya kujisifia kaduka kako ka kuhongwa na mwigulu nasema hivo kwasababu kwa akili ako huwewzi kutafuta mtaji hata kidogo bali kupewa na utafirisika si muda.Pia ninaDuka langu pale Mtaa wa ngomati Keko. karibu sana kuna nguo nzuri sana za watoto.