Mtela Mwampamba
JF-Expert Member
- Dec 19, 2012
- 537
- 347
- Thread starter
- #101
Njaa mbaya sana umeona uji hautoshi bora ukimbilie keki ya ufisadi kwa magamba....![]()
Hapo ndio nyumbani kwetu karibu sana.
Njaa mbaya sana umeona uji hautoshi bora ukimbilie keki ya ufisadi kwa magamba....![]()
hawa jamaa hawasikiki tena,chezea CCM wewe,umalaya unapohamishiwa hadi kwenye siasa matokeo yake ndio haya..acheni kuendekeza njaa vijana mtapakatwa.
Tupo tunatekeleza Ilani ya chama chetu CCM. CCM Safiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Kumbe njaa ndio inakusumbua mpaka kuongea uongo ili kumfurahisha savimbi...pole sana.Hapo ndio nyumbani kwetu karibu sana.
Kwanza nijipe pongezi Mimi mwenyewe kwa kufanikisha kumaliza salama kifungo changu(ban) hapa JF.
Napenda kusema haya ili kuondoa Mkanganyiko na maswali yasiokuwa na ulazima, Mimi Mtela Mwampamba ni mtumishi wa Chama cha Mapinduzi na niko katika Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi(UVCCM) na mimi ndie Mkuu wa kitengo cha Habari na mawasiliano ya UMMA makao makuu ya umoja wa vijana wa CCM.
Naomba ifahamike hivyo na nitatoa ushirikiano wa kutosha hapa JF kwa maswala yanayohusu UVCCM na Mwisho napenda kuwakumbusha kwamba Vinavyoelea ziwani hata baharini pia vinaelea na Haramu kwako Halali kwa Mwenzio.
VIVA UVCCM VIVA.
Sio vituko nasema kweli nimeajiriwa toka mwezi wa Tano na nimeamua kusema ili kuondoa mkanganyiko wa kuniuliza kwamba nasema nikiwa kama nani!!!
Duh hicho kitengo ulikua nacho tokea ukiwa BAVICHAA au kilikua wazi kukusubiri? Ina maana UVCCM hawakua na mtu makini wa kuweza kushika hiyo nafasi...??? Hongera sana, inaonesha ni namna gani BAVICHA ilivyo na vijana makini ambao wakitoka tu hawakosi nafasi UVCCM.
Mtela Mwampamba wa CCM, UMEMALIZA!
Hawa pro CHADEMA walidhani upo CCM kwa kutanga tanga?, you're in CCM to stay, we're all in CCM to stay. Period.
Kwanza nijipe pongezi Mimi mwenyewe kwa kufanikisha kumaliza salama kifungo changu(ban) hapa JF.
Napenda kusema haya ili kuondoa Mkanganyiko na maswali yasiokuwa na ulazima, Mimi Mtela Mwampamba ni mtumishi wa Chama cha Mapinduzi na niko katika Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi(UVCCM) na mimi ndie Mkuu wa kitengo cha Habari na mawasiliano ya UMMA makao makuu ya umoja wa vijana wa CCM.
Naomba ifahamike hivyo na nitatoa ushirikiano wa kutosha hapa JF kwa maswala yanayohusu UVCCM na Mwisho napenda kuwakumbusha kwamba Vinavyoelea ziwani hata baharini pia vinaelea na Haramu kwako Halali kwa Mwenzio.
VIVA UVCCM VIVA.
Kwanza nijipe pongezi Mimi mwenyewe kwa kufanikisha kumaliza salama kifungo changu(ban) hapa JF.
Napenda kusema haya ili kuondoa Mkanganyiko na maswali yasiokuwa na ulazima, Mimi Mtela Mwampamba ni mtumishi wa Chama cha Mapinduzi na niko katika Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi(UVCCM) na mimi ndie Mkuu wa kitengo cha Habari na mawasiliano ya UMMA makao makuu ya umoja wa vijana wa CCM.
Naomba ifahamike hivyo na nitatoa ushirikiano wa kutosha hapa JF kwa maswala yanayohusu UVCCM na Mwisho napenda kuwakumbusha kwamba Vinavyoelea ziwani hata baharini pia vinaelea na Haramu kwako Halali kwa Mwenzio.
VIVA UVCCM VIVA.
Mods huu upuuzi ukiendelea kufanywa na hawa wapuuzi tutakuwa hatulitendee haki Jukwaa. Naomba adhabu zichukuliwe kwa huyu mpuuzi.

Nimemwachia Josephine Mushumbuzi aendelee nayo!!!
Mkuu leo ni mala ya kwanza nasoma maandishi yako bila kuitaja CHADEMA, Dr Slaa na Mbowe.
Umebadilika sana Hongera kwa kupewa mavyeo huko CCM sasa hauna njaa tena si kama ulivyokuwa Misri eeeh!