Na hicho ndicho alichotumwa kufanya huko CCM
Sio hivyo mkuu nazani umesahau kwamba hata Dk Slaa ni Padre kitaaluma but kwa sasa ni katibu mkuu wa chadema!!! na usisahau kwamba Mbowe ni Disco Joker(DJ) kitaaluma but kwa sasa ni mwenyekiti wa chadema taifa!!!!! tuko pamoja mkuu.

Kaka naomba unijibu swali langu moja tu. Ina maana UVCCM wanaajiri tu bila kujua kama mtu anajua ilan ya CCM au la?
Vinginevyo wewe kwel utakuwa msaliti maana inawezekana ulianza kuisoma ilani ya CCM na kuielewa hata kabla ya kutoka CDM. Upi ukwel hapa?
ulichoulizwa umekielewa?..Afande Pasua na Nyombi hamna pa kujificha..Ndio mkuu!!!!
Kwanza nijipe pongezi Mimi mwenyewe kwa kufanikisha kumaliza salama kifungo changu(ban) hapa JF.
Napenda kusema haya ili kuondoa Mkanganyiko na maswali yasiokuwa na ulazima, Mimi Mtela Mwampamba ni mtumishi wa Chama cha Mapinduzi na niko katika Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi(UVCCM) na mimi ndie Mkuu wa kitengo cha Habari na mawasiliano ya UMMA makao makuu ya umoja wa vijana wa CCM.
Naomba ifahamike hivyo na nitatoa ushirikiano wa kutosha hapa JF kwa maswala yanayohusu UVCCM na Mwisho napenda kuwakumbusha kwamba Vinavyoelea ziwani hata baharini pia vinaelea na Haramu kwako Halali kwa Mwenzio.
VIVA UVCCM VIVA.
hapa bila madesa usitegee majibu yenye tija.Le mutuz a.k.a William Malecela alikuja hapa na kulalamika kuwa UVCCM mmekuwa kimya kwenye mijadala ya rasimu ya katiba na akafika mbali na kuhoji UVCCM ya sasa imekuwa sio machachari kama ile ya enzi zile za mwaka 47.
Ningependa wewe kama msemaji wa UVCCM utoe ufafanuzi juu ya maswali yafuatayo:
Je UVCCM mmesusia mpango wa kuhamasisha wanachama wenu kutetea maslahi ya CCM kwenye katiba mpya kama wafanyavo Jumuiya ya Wazazi CCM hadi kufikia hatua ya mjumbe wa jumuiya hiyo ya wazazi kulalamika mitandaoni??
Je UVCCM mmegoma kulishwa maneno na Nape Nnauye that why hamuonekani mkiendesha mabaraza ya katiba kama aliyolalamika William Malecela hapa jamvini???
Sio hivyo mkuu nazani umesahau kwamba hata Dk Slaa ni Padre kitaaluma but kwa sasa ni katibu mkuu wa chadema!!! na usisahau kwamba Mbowe ni Disco Joker(DJ) kitaaluma but kwa sasa ni mwenyekiti wa chadema taifa!!!!! tuko pamoja mkuu.
Sio vituko nasema kweli nimeajiriwa toka mwezi wa Tano na nimeamua kusema ili kuondoa mkanganyiko wa kuniuliza kwamba nasema nikiwa kama nani!!!
Sio hivyo mkuu nazani umesahau kwamba hata Dk Slaa ni Padre kitaaluma but kwa sasa ni katibu mkuu wa chadema!!! na usisahau kwamba Mbowe ni Disco Joker(DJ) kitaaluma but kwa sasa ni mwenyekiti wa chadema taifa!!!!! tuko pamoja mkuu.
Na Juliana Shonza ni nani?