Wana jf, huyo maamuma asiwadanganye chochote,
Ofisi ya CCM makao makuu au ngazi yoyote ile haimtambui Mtela Mwampamba aka Ganzi kuwa ni kiongozi wa kikundi au idara yoyote ndani ya ccm,
Kilichopo nikuwa yupo kwenye ofisi ya Mwigulu Nchemba na amekuwa akishiriki au akiambatana na Mwigulu katika kazi zake tu, hivyo amejivika ufalme huo,
Mwigulu hawezi kukupa ukuu wa ofisi yake bila kufuata utaratibu wa chama!
Kwamjibu wa uchaguzi wa ccm uliofanyika mwaka jana, na uteuzi wa idara na kamati zake,
Kitengo unachodai wewe ni MKUU wake sio kweli, bali Mwigulu Nchemba ndie MKUU wake na ndie husimamia, huongoza na huratibu shuguli za idara hiyo (nyeti) na zaidi yeye ndie huwasilisha ripoti zake zote kwa mkuu wa idara ya siasa wa TISS mama T.G,
Huyo mama ndie huwasirisha rasmi kwa mwenyekiti wa Chama raisa JK,
Sasa unawahadaa watu hapa bila kujua kuwa tunajua kila kitu hapo lumbumba,
Nenda kawadanganye huko FB sio hapa,