Kwanza nijipe pongezi Mimi mwenyewe kwa kufanikisha kumaliza salama kifungo changu(ban) hapa JF.
Napenda kusema haya ili kuondoa Mkanganyiko na maswali yasiokuwa na ulazima, Mimi Mtela Mwampamba ni mtumishi wa Chama cha Mapinduzi na niko katika Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi(UVCCM) na mimi ndie Mkuu wa kitengo cha Habari na mawasiliano ya UMMA makao makuu ya umoja wa vijana wa CCM.
Naomba ifahamike hivyo na nitatoa ushirikiano wa kutosha hapa JF kwa maswala yanayohusu UVCCM na Mwisho napenda kuwakumbusha kwamba Vinavyoelea ziwani hata baharini pia vinaelea na Haramu kwako Halali kwa Mwenzio.
VIVA UVCCM VIVA.
Lini uliona Sangara akaelea baharini? Yaani pumba kwa kwenda mbele. Kweli CCM MAJANGAAAAA........!