Ukweli kuhusu mpaka wa Tanzania na Malawi

Ukweli kuhusu mpaka wa Tanzania na Malawi

Kwa hilo tutapigana tu maana kama hakutakua na muafaka,chukulia hivi wasuluhishi waseme mpaka ni kwenye mwambao wa Ziwa upande wa Tz sisi tutakubali? Au waseme ni katkati Malawi watakubali?!

Walk away from trouble if you can...but..Sometimes you have to fight to be a Man.-Kenny Rogers..in 'Coward of the Country'
 
!
!
tuache uchoyo, sie tuna ziwa victoria, sijui tanganyika bahari na kadhalika na tumeshindwa kuuondoa umasikini!si tuwape tu jamaa walitumie jamani?.........usikute tukahangaika weeeeee then tukafanikiwa kulimiliki, lakini mafuta yakigunduliwa kesho yake yanapanda bei yakajirudiarudia yaleyale ya mtwara na gesi kisha kinafuatia mgao wa umeme na kuupandisha bei

umesoma mpaka darasa la ngapi wewe? maana hata aliyefeli darasa la pili hawezi kuwa na mawazo finyu na ya kijinga namna hii. Nyumba unayoishi mbona haifanani na ikulu kwa nini usiwape wenye uwezo wa kujenga ikawa nzuri zaidi ya hivyo ilivyo?
 
1
1
mawazo ya kijinga sana haya ninayowaza na sijui kwa nini nawaza hivi....ila ninachofahamu ni kwamba ziwa liwe malawi au liwe tanzania wewe kama wewe hufaidiki chochote
 
Wee, Story zangu na FF msituingilie. Msome tu na msepe maana mtajifanya mnajibu POINT kumbe wenzenu tuna enjoy tu mjadala. Ukiona ujumbe nimemjibu FF na neno Ukrito lipo, basi pishia mbali na UKOME kuanzia leo hii.
Acha tabia chafu .....sasa udini unatoka wapi si ujinga huu ....changia mada huwezi kaa kimya

FF, samahani huyu jamaa katuingilia na UDINI wetu, hahahaa 🙂
Ndio maana linaleta kasheshe sasa.
TUENDELEE.......Linaleta Kasheshe kwa sababu wanaolitatua siyo WAKRISTO.
 
1
1
mawazo ya kijinga sana haya ninayowaza na sijui kwa nini nawaza hivi....ila ninachofahamu ni kwamba ziwa liwe malawi au liwe tanzania wewe kama wewe hufaidiki chochote

ni kweli unawaza kijinga manake inaonekana hujui hata nini nini kinachogombewa kimipaka. Tz haitaki umiliki wa ziwa, inataka mpaka upite katikati ya ziwa kwa mujibu wa sheria za mipaka na maji za kimataifa kama ilivyo upande wa ziwa kati ya msumbiji na malawi, tz na DRC kwa ziwa tanganyika, au ziwa vitoria kwa Ug, TZ na kenye. Lakini malawi wanataka ziwa lote upande wa tz liwe lao na si kama ilivyo upande wa kusini mwa ziwa ambako mpaka unapita katikati ya ziwa kati yao na msumbiji.

chungulia ramani au google kisha uje na arguments zilizobora zaidi.
 
Mpaka upite katikati au upite pembeni yote sawa tu, hatuna matumizi nalo
 
Wee, Story zangu na FF msituingilie. Msome tu na msepe maana mtajifanya mnajibu POINT kumbe wenzenu tuna enjoy tu mjadala. Ukiona ujumbe nimemjibu FF na neno Ukrito lipo, basi pishia mbali na UKOME kuanzia leo hii.

FF, samahani huyu jamaa katuingilia na UDINI wetu, hahahaa 🙂

TUENDELEE.......Linaleta Kasheshe kwa sababu wanaolitatua siyo WAKRISTO.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dokta Al Haj, Jakaya Khalfan Mrisho Kikwete, wa kanisa lipi vile?
 
!
!
tuache uchoyo, sie tuna ziwa victoria, sijui tanganyika bahari na kadhalika na tumeshindwa kuuondoa umasikini!si tuwape tu jamaa walitumie jamani?.........usikute tukahangaika weeeeee then tukafanikiwa kulimiliki, lakini mafuta yakigunduliwa kesho yake yanapanda bei yakajirudiarudia yaleyale ya mtwara na gesi kisha kinafuatia mgao wa umeme na kuupandisha bei

Hapo umenena mkuu, hebu niachie mimi tu huyo mkeo, maana hata ukiendelea kukaa naye hatakusaidia kitu!
 
Ziwa limewekwa na Mwenyeezi Mungu, mipaka imewekwa na binaadam. Malawi na Tanzania wote walitumie na kulitunza na kulienzi kwa faida ya binaadam wote awe wa Malawi au Watanzania au wa kwingine kokote.

Unaweza ambiwa umeongea Busara kama ingelikuwa miaka ile ya Suleiman but sio Sasa ni sawa na kusema Ardhi imewekwa na Mwenyezi Mungu Wakristo wakajenge Kanisa Mecca katikati..

Hivi wamalawi unaweza kuwaeleza wakakuelewa kwa maneno yako?
 
Wee, Story zangu na FF msituingilie. Msome tu na msepe maana mtajifanya mnajibu POINT kumbe wenzenu tuna enjoy tu mjadala. Ukiona ujumbe nimemjibu FF na neno Ukrito lipo, basi pishia mbali na UKOME kuanzia leo hii.

FF, samahani huyu jamaa katuingilia na UDINI wetu, hahahaa 🙂

TUENDELEE.......Linaleta Kasheshe kwa sababu wanaolitatua siyo WAKRISTO.

Wewe mkuu wangu wa kule kwa walima matovorwa, na FaizaFoxy mama yangu mdogo naona mnakwenda OP, rudini kwenye topic!
 
Last edited by a moderator:
Dokta wa nini vile?

[h=3]Honours[/h] [TABLE="class: wikitable"]
[TR]
[TH="colspan: 2"]Order[/TH]
[TH]Country[/TH]
[TH="width: 60px"]Year[/TH]
[TH]Ref[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 80px"][/TD]
[TD]Most Excellent Order of the Pearl of Africa (Grand Master)[/TD]
[TD]
23px-Flag_of_Uganda.svg.png
Uganda[/TD]
[TD="align: center"]2007[/TD]
[TD="align: center"][SUP][4][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 80px"][/TD]
[TD]Order of the Green Crescent of the Comoros[/TD]
[TD]
23px-Flag_of_the_Comoros.svg.png
Comoros[/TD]
[TD="align: center"]2009[/TD]
[TD="align: center"][SUP][5][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 80px"][/TD]
[TD]Order of Abdulaziz Al Saud[/TD]
[TD]
23px-Flag_of_Saudi_Arabia.svg.png
Saudi Arabia[/TD]
[TD="align: center"]2009[/TD]
[TD="align: center"][SUP][6][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 80px"][/TD]
[TD]Order of Excellence[/TD]
[TD]
23px-Flag_of_Jamaica.svg.png
Jamaica[/TD]
[TD="align: center"]2009[/TD]
[TD="align: center"][SUP][7][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 80px"][/TD]
[TD]Order of Oman (First Class)[/TD]
[TD]
23px-Flag_of_Oman.svg.png
Oman[/TD]
[TD="align: center"]2012[/TD]
[TD="align: center"][SUP][8][/SUP][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[h=3]Awards[/h]
  • Sullivan Honor
  • 2007: The AAI African National Achievement Award (on behalf of Tanzania).[SUP][9][/SUP]
  • 2009: US Doctors for Africa Award.[SUP][10][/SUP]
  • 2011: Social Good Award from the United Nations Foundation[SUP][11][/SUP]
  • 2011: South-South Award for Global Health, Technology and Development[SUP][12][/SUP]
  • 2012: FANRPAN Policy Leadership Award from the Food, Agriculture and Natural Resources Policy Analysis Network.[SUP][13][/SUP]
[h=3]Honorary degrees[/h] [TABLE="class: wikitable"]
[TR]
[TH]University[/TH]
[TH]Country[/TH]
[TH]Degree[/TH]
[TH="width: 60px"]Year[/TH]
[TH]Ref[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]University of St. Thomas (Minnesota)[/TD]
[TD]
23px-Flag_of_the_United_States.svg.png
United States[/TD]
[TD]Honorary Doctor of Law[/TD]
[TD="align: center"]2006[/TD]
[TD="align: center"][SUP][14][/SUP][SUP][15][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Kenyatta University[/TD]
[TD]
23px-Flag_of_Kenya.svg.png
Kenya[/TD]
[TD]Doctor of Humane Letters[/TD]
[TD="align: center"]2008[/TD]
[TD="align: center"][SUP][16][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Fatih University[/TD]
[TD]
23px-Flag_of_Turkey.svg.png
Turkey[/TD]
[TD]Doctorate in International Relations[/TD]
[TD="align: center"]2010[/TD]
[TD="align: center"][SUP][17][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Muhimbili University[/TD]
[TD]
23px-Flag_of_Tanzania.svg.png
Tanzania[/TD]
[TD]Doctor of Public Health (Honoris Causa)[/TD]
[TD="align: center"]2010[/TD]
[TD="align: center"][SUP][18][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]University of Dodoma[/TD]
[TD]
23px-Flag_of_Tanzania.svg.png
Tanzania[/TD]
[TD]Honoris Causa[/TD]
[TD="align: center"]2010[/TD]
[TD="align: center"][SUP][19][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]University of Dar es Salaam[/TD]
[TD]
23px-Flag_of_Tanzania.svg.png
Tanzania[/TD]
[TD]Honorary Doctor of Law[/TD]
[TD="align: center"]2011[/TD]
[TD="align: center"][SUP][20][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]University of Guelph[/TD]
[TD]
23px-Flag_of_Canada.svg.png
Canada[/TD]
[TD]Honorary Doctor of Law[/TD]
[TD="align: center"]2013[/TD]
[TD="align: center"][SUP][21][/SUP][SUP][22][/SUP][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Honours

[TABLE="class: wikitable"]
[TR]
[TH="colspan: 2"]Order[/TH]
[TH]Country[/TH]
[TH]Year[/TH]
[TH]Ref[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD]Most Excellent Order of the Pearl of Africa (Grand Master)[/TD]
[TD]
23px-Flag_of_Uganda.svg.png
Uganda[/TD]
[TD="align: center"]2007[/TD]
[TD="align: center"][SUP][4][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD]Order of the Green Crescent of the Comoros[/TD]
[TD]
23px-Flag_of_the_Comoros.svg.png
Comoros[/TD]
[TD="align: center"]2009[/TD]
[TD="align: center"][SUP][5][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD]Order of Abdulaziz Al Saud[/TD]
[TD]
23px-Flag_of_Saudi_Arabia.svg.png
Saudi Arabia[/TD]
[TD="align: center"]2009[/TD]
[TD="align: center"][SUP][6][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD]Order of Excellence[/TD]
[TD]
23px-Flag_of_Jamaica.svg.png
Jamaica[/TD]
[TD="align: center"]2009[/TD]
[TD="align: center"][SUP][7][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD]Order of Oman (First Class)[/TD]
[TD]
23px-Flag_of_Oman.svg.png
Oman[/TD]
[TD="align: center"]2012[/TD]
[TD="align: center"][SUP][8][/SUP][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Awards

  • Sullivan Honor
  • 2007: The AAI African National Achievement Award (on behalf of Tanzania).[SUP][9][/SUP]
  • 2009: US Doctors for Africa Award.[SUP][10][/SUP]
  • 2011: Social Good Award from the United Nations Foundation[SUP][11][/SUP]
  • 2011: South-South Award for Global Health, Technology and Development[SUP][12][/SUP]
  • 2012: FANRPAN Policy Leadership Award from the Food, Agriculture and Natural Resources Policy Analysis Network.[SUP][13][/SUP]
Honorary degrees

[TABLE="class: wikitable"]
[TR]
[TH]University[/TH]
[TH]Country[/TH]
[TH]Degree[/TH]
[TH]Year[/TH]
[TH]Ref[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]University of St. Thomas (Minnesota)[/TD]
[TD]
23px-Flag_of_the_United_States.svg.png
United States[/TD]
[TD]Honorary Doctor of Law[/TD]
[TD="align: center"]2006[/TD]
[TD="align: center"][SUP][14][/SUP][SUP][15][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Kenyatta University[/TD]
[TD]
23px-Flag_of_Kenya.svg.png
Kenya[/TD]
[TD]Doctor of Humane Letters[/TD]
[TD="align: center"]2008[/TD]
[TD="align: center"][SUP][16][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Fatih University[/TD]
[TD]
23px-Flag_of_Turkey.svg.png
Turkey[/TD]
[TD]Doctorate in International Relations[/TD]
[TD="align: center"]2010[/TD]
[TD="align: center"][SUP][17][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Muhimbili University[/TD]
[TD]
23px-Flag_of_Tanzania.svg.png
Tanzania[/TD]
[TD]Doctor of Public Health (Honoris Causa)[/TD]
[TD="align: center"]2010[/TD]
[TD="align: center"][SUP][18][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]University of Dodoma[/TD]
[TD]
23px-Flag_of_Tanzania.svg.png
Tanzania[/TD]
[TD]Honoris Causa[/TD]
[TD="align: center"]2010[/TD]
[TD="align: center"][SUP][19][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]University of Dar es Salaam[/TD]
[TD]
23px-Flag_of_Tanzania.svg.png
Tanzania[/TD]
[TD]Honorary Doctor of Law[/TD]
[TD="align: center"]2011[/TD]
[TD="align: center"][SUP][20][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]University of Guelph[/TD]
[TD]
23px-Flag_of_Canada.svg.png
Canada[/TD]
[TD]Honorary Doctor of Law[/TD]
[TD="align: center"]2013[/TD]
[TD="align: center"][SUP][21][/SUP][SUP][22][/SUP][/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Dokta wa Matembezi!
 
kuna ushahidi mwingi unaoonesha mpaka ukiwa kwenye ukingo wa mashariki. ndiyo kusema tz hatuna chetu. lakini tutakuwa watumwa wa wakoloni mpaka lini? baada ya watu kukaa na kulitegemea ziwa kwa miongo ya miaka, sasa tunafuata mipango ya wakoloni wanaosema ninyi wamalawi ziwa lote mali yenu na watanzania hawana kitu? lazima busara za kidiplomasia zitumike kuwarejeshea watz haki yao. ile ya wakoloni inaweza kuwa sheria lkn lazima nchi za kiafrika tutatue migogoro yetu kiutu na kwa kuangalia maslahi ya wote.
 
Back
Top Bottom