Ukweli kuhusu mpaka wa Tanzania na Malawi

Ukweli kuhusu mpaka wa Tanzania na Malawi

Wewe umeangalia Ramani ngapi?

Niliangalie ile ramani iliyofikiwa baada ya makubaliano kati ya serikali ya Tanganyika ikiwa chini ya mjerumani na ile ya Malawi ikiwa chini ya mwingereza baada ya berlin conference (1884). Makubaliano haya pia ya wakoloni hawa ndiyo yaliyoleta mlima kilimanjaro kutoka kenya na kuwa tanganyika na pia kuitoa mombasa kutoa tanganyika na kuipeleka kenya. Nafikiri sisi kama waTZ tunasimamia sheria za sasa za dunia juu ya umiliki wa ziwa liloko mipakani linavyogawiwa sawa kwa sawa miongoni mwa nchi majirani.
 
Kikwete atakuwa ameacha legacy mbaya kama akiruhusu Malawi wachukue Ziwa letu!
 
Umenena vyema ila wakati ule mkataba unaandikwa,hawakuwapo viongozi wa serikali ya Tanganyika wala Malawi! Walikuapo Germans na British tu.
Niliangalie ile ramani iliyofikiwa baada ya makubaliano kati ya serikali ya Tanganyika ikiwa chini ya mjerumani na ile ya Malawi ikiwa chini ya mwingereza baada ya berlin conference (1884). Makubaliano haya pia ya wakoloni hawa ndiyo yaliyoleta mlima kilimanjaro kutoka kenya na kuwa tanganyika na pia kuitoa mombasa kutoa tanganyika na kuipeleka kenya. Nafikiri sisi kama waTZ tunasimamia sheria za sasa za dunia juu ya umiliki wa ziwa liloko mipakani linavyogawiwa sawa kwa sawa miongoni mwa nchi majirani.
 
Ziwa limewekwa na Mwenyeezi Mungu, mipaka imewekwa na binaadam. Malawi na Tanzania wote walitumie na kulitunza na kulienzi kwa faida ya binaadam wote awe wa Malawi au Watanzania au wa kwingine kokote.

Upi sahihi kabisa dada yangu Faiza... Shida ni uqezekano wa kupata mafuta
 
Kinacho shangaza, ziwa Nyasa limegawana nusu kwa nusu baina ya Msumbiji na Malawi lakini Ziwa hilo hilo inapokuja upande wa Tanzania Wamalawi wanasema ziwa lote ni la lao!! Kisa Watanzania tuna Lakes na mito mingi.
 
!
!
upite katikati au upite pembeni, wewe kama wewe hufaidiki chochote


ni kweli unawaza kijinga manake inaonekana hujui hata nini nini kinachogombewa kimipaka. Tz haitaki umiliki wa ziwa, inataka mpaka upite katikati ya ziwa kwa mujibu wa sheria za mipaka na maji za kimataifa kama ilivyo upande wa ziwa kati ya msumbiji na malawi, tz na DRC kwa ziwa tanganyika, au ziwa vitoria kwa Ug, TZ na kenye. Lakini malawi wanataka ziwa lote upande wa tz liwe lao na si kama ilivyo upande wa kusini mwa ziwa ambako mpaka unapita katikati ya ziwa kati yao na msumbiji.


chungulia ramani au google kisha uje na arguments zilizobora zaidi.
 
!
!
Hii elimu inakuwaga na module zipi na ngapi?na labda na kiwango cha ufaulu kwa maana ya GPA



Honours

[TABLE="class: wikitable"]
[TR]
[TH="colspan: 2"]Order[/TH]
[TH]Country[/TH]
[TH]Year[/TH]
[TH]Ref[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD]Most Excellent Order of the Pearl of Africa (Grand Master)[/TD]
[TD]
23px-Flag_of_Uganda.svg.png
Uganda[/TD]
[TD="align: center"]2007[/TD]
[TD="align: center"][SUP][4][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD]Order of the Green Crescent of the Comoros[/TD]
[TD]
23px-Flag_of_the_Comoros.svg.png
Comoros[/TD]
[TD="align: center"]2009[/TD]
[TD="align: center"][SUP][5][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD]Order of Abdulaziz Al Saud[/TD]
[TD]
23px-Flag_of_Saudi_Arabia.svg.png
Saudi Arabia[/TD]
[TD="align: center"]2009[/TD]
[TD="align: center"][SUP][6][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD]Order of Excellence[/TD]
[TD]
23px-Flag_of_Jamaica.svg.png
Jamaica[/TD]
[TD="align: center"]2009[/TD]
[TD="align: center"][SUP][7][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD]Order of Oman (First Class)[/TD]
[TD]
23px-Flag_of_Oman.svg.png
Oman[/TD]
[TD="align: center"]2012[/TD]
[TD="align: center"][SUP][8][/SUP][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Awards


  • Sullivan Honor
  • 2007: The AAI African National Achievement Award (on behalf of Tanzania).[SUP][9][/SUP]
  • 2009: US Doctors for Africa Award.[SUP][10][/SUP]
  • 2011: Social Good Award from the United Nations Foundation[SUP][11][/SUP]
  • 2011: South-South Award for Global Health, Technology and Development[SUP][12][/SUP]
  • 2012: FANRPAN Policy Leadership Award from the Food, Agriculture and Natural Resources Policy Analysis Network.[SUP][13][/SUP]
Honorary degrees

[TABLE="class: wikitable"]
[TR]
[TH]University[/TH]
[TH]Country[/TH]
[TH]Degree[/TH]
[TH]Year[/TH]
[TH]Ref[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]University of St. Thomas (Minnesota)[/TD]
[TD]
23px-Flag_of_the_United_States.svg.png
United States[/TD]
[TD]Honorary Doctor of Law[/TD]
[TD="align: center"]2006[/TD]
[TD="align: center"][SUP][14][/SUP][SUP][15][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Kenyatta University[/TD]
[TD]
23px-Flag_of_Kenya.svg.png
Kenya[/TD]
[TD]Doctor of Humane Letters[/TD]
[TD="align: center"]2008[/TD]
[TD="align: center"][SUP][16][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Fatih University[/TD]
[TD]
23px-Flag_of_Turkey.svg.png
Turkey[/TD]
[TD]Doctorate in International Relations[/TD]
[TD="align: center"]2010[/TD]
[TD="align: center"][SUP][17][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Muhimbili University[/TD]
[TD]
23px-Flag_of_Tanzania.svg.png
Tanzania[/TD]
[TD]Doctor of Public Health (Honoris Causa)[/TD]
[TD="align: center"]2010[/TD]
[TD="align: center"][SUP][18][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]University of Dodoma[/TD]
[TD]
23px-Flag_of_Tanzania.svg.png
Tanzania[/TD]
[TD]Honoris Causa[/TD]
[TD="align: center"]2010[/TD]
[TD="align: center"][SUP][19][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]University of Dar es Salaam[/TD]
[TD]
23px-Flag_of_Tanzania.svg.png
Tanzania[/TD]
[TD]Honorary Doctor of Law[/TD]
[TD="align: center"]2011[/TD]
[TD="align: center"][SUP][20][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]University of Guelph[/TD]
[TD]
23px-Flag_of_Canada.svg.png
Canada[/TD]
[TD]Honorary Doctor of Law[/TD]
[TD="align: center"]2013[/TD]
[TD="align: center"][SUP][21][/SUP][SUP][22][/SUP][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 


KWA UFUPI

  • Malawi na Tanzania zimewasilisha ushahidi na majibu ya maswali kuhusu umiliki wa maeneo kwenye Ziwa Nyasa, kwa jopo la wasuluhishi linaloongozwa na Rais mstaafu wa Msumbiji

Ungetusaidia sana kama ungeyaweka hapa Maswali husika yanayotakiwa kujibiwa... that is kama unayafahamu.
 
Nimejitahidi kufuatilia kwasasa umiliki wa ziwa nyasa ila kwa sasa naona ni "lake Malawi"
Hivyo inaonesha kwasasa umiliki wa ziwa hilo ni Malawi na inaelekea Malawi ina "be backed" na mataifa makubwa hivyo Tanzania kama kweli ni ziwa letu tufuatilie mapema iwezekanavyo.
Picha: by Google Earth
Inaonesha mpaka kwa sasa unapita ufukweni mwa Tanzania
 

Attachments

  • 1392621820089.jpg
    1392621820089.jpg
    60.9 KB · Views: 240
Nimejitahidi kufuatilia kwasasa umiliki wa ziwa nyasa ila kwa sasa naona ni "lake Malawi"
Hivyo inaonesha kwasasa umiliki wa ziwa hilo ni Malawi na inaelekea Malawi ina "be backed" na mataifa makubwa hivyo Tanzania kama kweli ni ziwa letu tufuatilie mapema iwezekanavyo.
Picha: by Google Earth
Inaonesha mpaka kwa sasa unapita ufukweni mwa Tanzania

...aisee Mkuu nimepiga mbizi kwenye google earth kumbe ni kweli !!!!

..Hongera kwa kutuamsha tulikuwa usingizini !!!
 
Nimejitahidi kufuatilia kwasasa umiliki wa ziwa nyasa ila kwa sasa naona ni "lake Malawi"
Hivyo inaonesha kwasasa umiliki wa ziwa hilo ni Malawi na inaelekea Malawi ina "be backed" na mataifa makubwa hivyo Tanzania kama kweli ni ziwa letu tufuatilie mapema iwezekanavyo.
Picha: by Google Earth
Inaonesha mpaka kwa sasa unapita ufukweni mwa Tanzania

ukiangalia hapo kuna doted lines pamoja na mpaka uliopo ardhini. hiyo inaonesha hawana uhakika kama ndio mpaka sahihi.
 
Mgogoro Umalizwe kwa Faida za Pande zote Mbili !!
HAYO MANENO NI KAMA SAUTI YA NYUKI MASIKIO MWA WAMALAWI AMBAO WANATAKA ZIWA LOTE WAMILKI WAO. IKIWEZEKANA WAJE NA VITABU VYA RISITI KUWAKATIA WAVUVI WATANZANIA WANAOVUA ZIWA NYASA. SHIDA NI KWAMBA HILO JAMBO NIGUMU UKIZINGATIA WAKITUA TU PWANI WAKO ARDHI YA TZNANIA NA POSITION YA ZIWA HUTEGEMEA SANA LILIVYOJAA KWAHIYO SABABU HIYO KINGO ZA ZIWA HILO HUHAMAHAMA KUTEGEMEA UWINGI WA MVUA ZINAZONYESHA KWA MWAKA HUU TUTARAJIE ENEO LA TANZANIA KUMEGWA NA WAMALAWI KUTOKANA NA MVUA NYINGI ZINAZONYESHA. HII MAANAKE NINI MPAKA WA UKINGO WA MAJI WA KUUTEGEMEA HIVYO WAZO LA KUWA KATIKA YA ZIWA NDO MPAKA NI SAHIHI KABISA HIVYO WAMALAWI HUHITAJI PhD KUKUBALIANA NA HILI AU KUTUNISHIANA NA MISULI TENA . JAMBO HILI LILIMSHINDA DR. HASTINGS KAMUZU BANDA WA MUYAYA.
 
katika pekua pekua yangu nimepata kuona mahali kwamba Tanzania haina haki na ziwa Nyasa, tofauti na ziwa Tanganyika ama ziwa Victoria ambazo tunagawana maji na nchi kadhaa, lakini inasemekana kwamba Wamalawi wanadai kuwa Ziwa nyasa ambalo wao wanaliita ziwa malawi ni mali yao na mpaka halali ni ukingo wa ziwa na si ndani ya maji. je wana JF mnalionaje suala hili?

Hivi siku ziwa likikauka itakuwaje?? Au kama Ziwa likiongezeka itakuwaje??
 
Back
Top Bottom