Ukweli kuhusu mpaka wa Tanzania na Malawi

Colonial maping zinasemaje?

Si wakati wote colonial laws zinatumika. Kwa mipaka inayopita kwenye maji kuna sheria yake maalum ya kimataifa inatumika. Refer mipaka yote ya nchi ambazo zinatenganishwa na maji utaona. Sheria hiyo iliwekwa kwa sababu maalum ikiwamo ku move/shift kwa maji. Aldhi huwa hai move!. Pia mkataba huo wa kikoloni,kwa kutambua shida ya hapo juu,umesema kwenye kipengele namba 6 kwamba Tanzania na Malawi zinatakiwa kuja kukaa na kurekebisha maeneo ya mpaka ambayo yana utata. Kitu hiki Banda Sr. alikuwa anakikwepakwepa na alikua hataki kufanya mpaka alipofariki.Marais waliokuja baada ya Banda waliuona utata huu waka choose kuwa silent. Huyu Banda Jr kadandia train kwa mbele!
 
Ziwa ni la malawi

Si kweli mkuu...mpaka ni permanent haumove kama malawi inavyodai kuwa ufukwe ndiyo mpaka. una mikataba ya kimataifa kuhusu mipaka linapokuja suala la kupakana linapohusu maji na sheria/mkataba wa kikolono kwa kutambua shida ambayo ingejitokeza kipengele namba sita kinasema kwamba Tanzania na Malawi zinatakiwa kukaa pamoja na kurekebisha maeneo ya mpaka yenye utata. Kitu hikiKamuzu Banda alikuwa anakikwepa mpaka mpaka alipofariki. Marais wa malawi waliofuata Muluzi na Bingu wa Mutharika walipoliona hili waliamua kunyamaza kimya hata pale TZ ilipowataka kukaa meza moja la kulishughulikia kutokana na kuhamahama kwa mto songwe. Mipaka yote kwa nchi zinazozunguka Tanzania na nchi zote za africa mazungumzo yalifanyika baada ya uhuru miaka ya 1960, lakini wetu na malawi Kamuzu banda alijifanya kichwa maji.
 
!
!
tuache uchoyo, sie tuna ziwa victoria, sijui tanganyika bahari na kadhalika na tumeshindwa kuuondoa umasikini!si tuwape tu jamaa walitumie jamani?.........usikute tukahangaika weeeeee then tukafanikiwa kulimiliki, lakini mafuta yakigunduliwa kesho yake yanapanda bei yakajirudiarudia yaleyale ya mtwara na gesi kisha kinafuatia mgao wa umeme na kuupandisha bei
 
Kama sababu ziko low kiasi hicho basi hata China angewaachia Japan tule tuvilima tutatu baharini na Uganda wangeiachia Kenya kale ka kisiwa ka Migingo!. Kinachomata ni haki yako na ulithi wa nchi kwa vizazi vilivyopo na vijavyo!

!
!
tuache uchoyo, sie tuna ziwa victoria, sijui tanganyika bahari na kadhalika na tumeshindwa kuuondoa umasikini!si tuwape tu jamaa walitumie jamani?.........usikute tukahangaika weeeeee then tukafanikiwa kulimiliki, lakini mafuta yakigunduliwa kesho yake yanapanda bei yakajirudiarudia yaleyale ya mtwara na gesi kisha kinafuatia mgao wa umeme na kuupandisha bei
 
!
!
tuache uchoyo, sie tuna ziwa victoria, sijui tanganyika bahari na kadhalika na tumeshindwa kuuondoa umasikini!si tuwape tu jamaa walitumie jamani?.........usikute tukahangaika weeeeee then tukafanikiwa kulimiliki, lakini mafuta yakigunduliwa kesho yake yanapanda bei yakajirudiarudia yaleyale ya mtwara na gesi kisha kinafuatia mgao wa umeme na kuupandisha bei

Kwa hiyo ndugu zetu wakitaka kuogelea lazima waombe viza na waonyeshe passport ndo waruhusiwe?
 
Kwa hilo tutapigana tu maana kama hakutakua na muafaka,chukulia hivi wasuluhishi waseme mpaka ni kwenye mwambao wa Ziwa upande wa Tz sisi tutakubali? Au waseme ni katkati Malawi watakubali?!
 
!
!
tuache uchoyo, sie tuna ziwa victoria, sijui tanganyika bahari na kadhalika na tumeshindwa kuuondoa umasikini!si tuwape tu jamaa walitumie jamani?.........usikute tukahangaika weeeeee then tukafanikiwa kulimiliki, lakini mafuta yakigunduliwa kesho yake yanapanda bei yakajirudiarudia yaleyale ya mtwara na gesi kisha kinafuatia mgao wa umeme na kuupandisha bei

Unajua maana ya kulinda mipaka ya nchi?
 
Mipaka wameweka Wakristo....
Ziwa limewekwa na Mwenyeezi Mungu, mipaka imewekwa na binaadam. Malawi na Tanzania wote walitumie na kulitunza na kulienzi kwa faida ya binaadam wote awe wa Malawi au Watanzania au wa kwingine kokote.
 
!
!
tuache uchoyo, sie tuna ziwa victoria, sijui tanganyika bahari na kadhalika na tumeshindwa kuuondoa umasikini!si tuwape tu jamaa walitumie jamani?.........usikute tukahangaika weeeeee then tukafanikiwa kulimiliki, lakini mafuta yakigunduliwa kesho yake yanapanda bei yakajirudiarudia yaleyale ya mtwara na gesi kisha kinafuatia mgao wa umeme na kuupandisha bei

Watanzania wanaoishi kwa kutegemea uvuvi na usafiri uwapatie mbinu mbadala kabla ya kuamua hivyo.
 
!
!
tuache uchoyo, sie tuna ziwa victoria, sijui tanganyika bahari na kadhalika na tumeshindwa kuuondoa umasikini!si tuwape tu jamaa walitumie jamani?.........usikute tukahangaika weeeeee then tukafanikiwa kulimiliki, lakini mafuta yakigunduliwa kesho yake yanapanda bei yakajirudiarudia yaleyale ya mtwara na gesi kisha kinafuatia mgao wa umeme na kuupandisha bei

inaonekana hushindwi kuruhusu binti yako akafanye ufuska ili alete pesa ya kula kwakuwa una maisha magumu
 
Back
Top Bottom