https://www.google.co.uk/maps/@-12.4863729,34.269751,7z
hii ndio ramani inayoonyesha mipaka halisi kati ya Tanzania (TANGANYIKA) na Malawi

Kwa nini unasema hiyo ni mipaka Halisi
umeingalia hiyo ramani vizuri?
mipaka yote ya Tanzania iko kwenye Solid lines, hujiulizi kwa nini huo wa Malawi na Tanzania uko kwenye Dotted line?
ukifatilia hiyo mipaka vizuri ambayo ni ya moja kwa moja yaani mstari bila dotted inamaana unataka kunieleza kuwa hata MALAWI nayo ni sehem ya Tanganyika? au TANGANYIKA ni sehem ya malawi?Kwa nini unasema hiyo ni mipaka Halisi
umeingalia hiyo ramani vizuri?
mipaka yote ya Tanzania iko kwenye Solid lines, hujiulizi kwa nini huo wa Malawi na Tanzania uko kwenye Dotted line?
dotted line hii inamaanisha nini?
ukifatilia hiyo mipaka vizuri ambayo ni ya moja kwa moja yaani mstari bila dotted inamaana unataka kunieleza kuwa hata MALAWI nayo ni sehem ya Tanganyika? au TANGANYIKA ni sehem ya malawi?
https://maps.google.co.uk/maps?ll=-12.4863729,34.269751&z=7&output=classic&dg=ntvb
Mjerumani alipokuwa anatawala Tanganyika Mwingereza alikuwa Malawi, mjerumani aliomba kuachiwa kisiwa fulani jina nimesahau kilichokaribu na ujerumani kilichokuwa kikimilikiwa na uingereza, mwingereza akataka return, mjerumani akamwachia ziwa nyasa na kilomita 10 kutoka ziwani sehemu ya nchi kavu. Baada ya vita kuu kuish mwingereza alitawala tanganyika na malawi hivyo hakuona umubimu wa kuweka mipaka maana kote ni kwake. Na ile agreement haikufutwa, baada ya uhuru sheria za umoja wa mataifa zinasema mipaka kwa nchi zinazopakana na mito au maziwa ni katikati ya mto au ziwa, na kwa bahari ni km 200 kwenda baharini. Utata uliopo ile agreement haikufutwa hadi leo na ndio inayowapa jeuri malawi ya kudai eneo hilo.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kisiwa kilikua kinaitwa Heligoland mkuu.Mengine yote uliyosema ni kweli.